Majibu ya baadhi ya watu kwa mtoa mada, yanaonyesha kiwango cha busara alichonacho mtu... MZIGO WENYE THAMANI YA 5,000/- Nilazimishwe kuweka lamination ya 15,000/-... Mapovu yenu yatoeni kwa uhalisia, si kisa wewe unapenda usafi..... kila mtu akileta akipendacho kule hakuna atakayesafiri... MAANA WENGNE HAWAPENDI KUSAFIRI NA WATU WENGINE
1. KWANI HAKUNA LAMINATION YENYE BEI CHINI YA HAPO?...
2. Kwani hawawezi kuangalia kiasi gani cha LAMINATION kitumike kwenye mzigo upi?... Maana kimzigi kidogo hakiwezi kuwa sawa na mzigo mkubwa unaotumia lamiation zaidi.
By the way, sitashangaa kusikia mmoja au zaidi, waliotoa majibu hayo hawajawahi kusafiri na ndege na kukutana na adha hiyo