cmoney
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 3,606
- 5,626
Zinakua wraped na kuwekwa cold PMC au AKE ya peke yake isije vuja na kuchafua miizigo myengineKwani zile nyama za mbuzi zilizopekekwaga uarabuni zilipigwa lamination(wrapping)
Zinakua wraped na kuwekwa cold PMC au AKE ya peke yake isije vuja na kuchafua miizigo myengineKwani zile nyama za mbuzi zilizopekekwaga uarabuni zilipigwa lamination(wrapping)
Next time, jiandae. Nunua industrial rolls zako 100 za shrink wrap kutoka alibaba.com for pennies, halafu kila ukisafiri kisaldo chako unakipiga layers mara 3 zaidi ya huko airport. Problem solved.Nimejiuliza sana, kwanini lamination ya mizigo inayodhaniwa inaweza kuchafua ndege mfano ndoo ya samaki iwe lazima kufanyiwa lamination tena kwa gharama kubwa vile?
Abiria umefunga vizuri samaki zako kwenye ndoo safi lakini unalazimishwa kufanya lamination.
Kama wenye ndege hawataki kuchafua ndege yao basi wao ndo wawajibike kutengeneza sehemu ya kuhifadhia mizigo michafu.
Siku moja nimeunganisha kibox na kindoo kidogo nikaambiwa lamination ni 15,000 ilihali mzigo mmoja ni 5,000.
Halafu mbona Mwanza tu ndo wenye hizi lamination?? Au hii ni biashara ya nani??.
Wasukuma eti eehDah wasukuma mnafeli sana aisee...hamchelewi beba samaki mkaenda nao ndege kama klm au swiss air mtaishia ziacha pale check in ...mnaambiwa mizigo inachanganyana mle unatakapaka shombo suti za watu huelewi...basi tanguliza mzigo na basi utaukuta visamaki vyenyewe vya buku 5 utadhani dar hamna mabucha..unajua gharama za furmigation za ndege wewe kuondoa shombo
Zilipigwa. Na hazikwenda Uarabuni bali Mwanza kwenda Dar. Hamna ndege mpya ya shirika hilo iliyowahi kanyaga Uarabuni mpaka muda tunaojadiliana.Kwani zile nyama za mbuzi zilizopekekwaga uarabuni zilipigwa lamination(wrapping)
Good!Napenda sana usafi kuliko kitu chochote,waache wafanye kazi yao
Lamination inafanyika kwenye ndoo za samaki, ukitaka kujua kama JKNIA ipo beba vibua au tasi kupeleka mwanza.Nimejiuliza sana, kwanini lamination ya mizigo inayodhaniwa inaweza kuchafua ndege mfano ndoo ya samaki iwe lazima kufanyiwa lamination tena kwa gharama kubwa vile?
Abiria umefunga vizuri samaki zako kwenye ndoo safi lakini unalazimishwa kufanya lamination.
Kama wenye ndege hawataki kuchafua ndege yao basi wao ndo wawajibike kutengeneza sehemu ya kuhifadhia mizigo michafu.
Siku moja nimeunganisha kibox na kindoo kidogo nikaambiwa lamination ni 15,000 ilihali mzigo mmoja ni 5,000.
Halafu mbona Mwanza tu ndo wenye hizi lamination?? Au hii ni biashara ya nani??.
Pale airport Mwanza kibox kidogo tu unaambiwa elfu 10, tena haina hata receiptWengi mlio comment humu mmekurupuka na inaonyesha pia wenye kusafiri na ndege ni wachache logic sio kwamba lamination hazitakiwi ila Gharama husika na mzigo husika hakuna lamination simple like that....tuchukulie kamfano kadogo tu hizi lamination za stationary Bei znaendana na Ukubwa (Size) karatasi karatasi za A4 ni 500Tsh while A3 ni 1000tsh...mfano mwingine ni kwenye Kusafirisha Persels (Mizigo) kila mzigo una bei yake so...kwa nini hawa jamaa nao wasiweke huduma zao kwa namna iyo?...Mbona tunaibiana aise
Na ndio maana wenye akili zao walisema tusifurahie sana usafiri wa ndege, ni luxury baba, iwe Ulaya, Marekani, Scandinavia, Melanesia, Australasia, Marekani Kusini n.k....Tena hao bei zao ni kubwa kuliko zetu...Nimejiuliza sana, kwanini lamination ya mizigo inayodhaniwa inaweza kuchafua ndege mfano ndoo ya samaki iwe lazima kufanyiwa lamination tena kwa gharama kubwa vile?
Abiria umefunga vizuri samaki zako kwenye ndoo safi lakini unalazimishwa kufanya lamination.
Kama wenye ndege hawataki kuchafua ndege yao basi wao ndo wawajibike kutengeneza sehemu ya kuhifadhia mizigo michafu.
Siku moja nimeunganisha kibox na kindoo kidogo nikaambiwa lamination ni 15,000 ilihali mzigo mmoja ni 5,000.
Halafu mbona Mwanza tu ndo wenye hizi lamination?? Au hii ni biashara ya nani??.
Kwa kuwa ndege ni za kwao wanategemea being nafuu kwa kila kitu wanachosafiri hata kama ni mbuzi. Hawajali wasafiri wengine wanahisi vipi.Kama huna hela panda basi acha kulalamika, wasukuma mkoje lakini?
Nimejiuliza sana, kwanini lamination ya mizigo inayodhaniwa inaweza kuchafua ndege mfano ndoo ya samaki iwe lazima kufanyiwa lamination tena kwa gharama kubwa vile?
Abiria umefunga vizuri samaki zako kwenye ndoo safi lakini unalazimishwa kufanya lamination.
Kama wenye ndege hawataki kuchafua ndege yao basi wao ndo wawajibike kutengeneza sehemu ya kuhifadhia mizigo michafu.
Siku moja nimeunganisha kibox na kindoo kidogo nikaambiwa lamination ni 15,000 ilihali mzigo mmoja ni 5,000.
Halafu mbona Mwanza tu ndo wenye hizi lamination?? Au hii ni biashara ya nani??.
Wamwone awanunulie ndege ya mizigo (cargo) maana zizopo ni za abiria. Kama bishara yake ni ya samaki basi awaone ATCL kabla hajapeleka samaki kiwanjani watamshauri tu.Rais msukuma pia mkuu na ndo aliyenunua hizo ndege.
Pole mkuu, inawezekana bei iko juu lakin pale hawaangalii thamani ya mzigo, kufanya wrapping kwa mizigo kama samaki inasaidia kuweka hali ya usafi kwny ndege na kulinda mizigo ya abiria wengine bila kujali wew umefungaje mzigo wako.Nimejiuliza sana, kwanini lamination ya mizigo inayodhaniwa inaweza kuchafua ndege mfano ndoo ya samaki iwe lazima kufanyiwa lamination tena kwa gharama kubwa vile?
Abiria umefunga vizuri samaki zako kwenye ndoo safi lakini unalazimishwa kufanya lamination.
Kama wenye ndege hawataki kuchafua ndege yao basi wao ndo wawajibike kutengeneza sehemu ya kuhifadhia mizigo michafu.
Siku moja nimeunganisha kibox na kindoo kidogo nikaambiwa lamination ni 15,000 ilihali mzigo mmoja ni 5,000.
Halafu mbona Mwanza tu ndo wenye hizi lamination?? Au hii ni biashara ya nani??.
Next time, jiandae. Nunua industrial rolls zako 100 za shrink wrap kutoka alibaba.com for pennies, halafu kila ukisafiri kisaldo chako unakipiga layers mara 3 zaidi ya huko airport. Problem solved.
Ukubwa wa bei unaupimaje? Sidhani kama elfu 30 ni kubwa kwa US ukilinganisha na uchumi wao, kwetu hapa kipato cha mwananchi kwa siku ni dola 1, hivyo elfu 5 kwake ni kubwa sana.Na ndio maana wenye akili zao walisema tusifurahie sana usafiri wa ndege, ni luxury baba, iwe Ulaya, Marekani, Scandinavia, Melanesia, Australasia, Marekani Kusini n.k....Tena hao bei zao ni kubwa kuliko zetu...
Kama hutaki kuingia gharama wacha kubeba samaki! Yaani utuchafulie Ndege zetu za gharama kwa samaki wako wa elfu 50?Nimejiuliza sana, kwanini lamination ya mizigo inayodhaniwa inaweza kuchafua ndege mfano ndoo ya samaki iwe lazima kufanyiwa lamination tena kwa gharama kubwa vile?
Abiria umefunga vizuri samaki zako kwenye ndoo safi lakini unalazimishwa kufanya lamination.
Kama wenye ndege hawataki kuchafua ndege yao basi wao ndo wawajibike kutengeneza sehemu ya kuhifadhia mizigo michafu.
Siku moja nimeunganisha kibox na kindoo kidogo nikaambiwa lamination ni 15,000 ilihali mzigo mmoja ni 5,000.
Halafu mbona Mwanza tu ndo wenye hizi lamination?? Au hii ni biashara ya nani??.
Iwe gharama yao si ya mtejaKuna watu vichwa ngumu kweli..kwa hiyo unataka mizigo yako ipige michoro kwenye bodi unadhani hiyo ni vitz..koma kabisa..unadhani wao wameenda shule bure..labda ungesema air Tanzania waanze utaratibu wa kuuza vifungashio maalumu ya mizigo yetu kuepuka uharibifu na usumbufu.
hahahahaaaKwa kuwa ndege ni za kwao wanategemea being nafuu kwa kila kitu wanachosafiri hata kama ni mbuzi. Hawajali wasafiri wengine wanahisi vipi.