Lamborghini langu hili hapa

Lamborghini langu hili hapa

Kumbe jibu unalo!!

Leo wapi sasa? Popote utakapoenda usisahau kuvaa zile stiletto nyekundu....lol

hahahah lol
wewe uliona wapi hizo stilletto... tena nyukundu mmhh
hahah lol
 
Land Rover: Ikiwa ya polisi inaitwa TZR, Ikiwa model ya 109 inaitwa ndondo,
Scania: mende

Hili tuliliita Leyland CD

Ashlok_Leyland_old_Indian_bus.jpg
 
Utalitembeza mtaa gani Tanzania, kwani hata kwenye lami mpya tunaweka matuta.
 
Kwani Land Rover au Scania kwa Kiswahili yanaitwaje?

Land Rover ni lendi lova, Scania ni skanya, RAV 4 ni lava foo, Mitsubishi ni Mistubishi, Toyota Hiace ni Toyota Haisi, Hilux ni Hilaksi, tukumbushane mengine
 
Kitu chenyewe...walijua ukiwa na kitu kama hicho utaweka totos mpaka nyuma...sasa kuna siti 2 tu. Yani wewe na mkeo hakuna kimwana...ehhehe!
 
Back
Top Bottom