Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,051
- 462
hahahaah lol nilizani ni mi tu naoana hii lugha ya wageni ni ngumu lol
na dhani inaitwa Lamboriginii.......
mmmhhh au muulize Tigger hapo juu naona ye mtaalum lol
Ujue wewe Afrodenzi soo, hata mie nadhani Lamboriginii inafaa lakini sasa kasheshe katamke kwetu hukoooo watakujia juu maana tuanjuaga Lambo ni muigizaji na mchapa ngumi kwenye Film..