lameck laedo
Senior Member
- May 15, 2016
- 174
- 76
Hahaa wewe laki moja mimi jamaa yangu alituma elfu 5 (5000), Akarudisha.
Hahaha mbavu zangu. Laki pesa?umatuma laki kweli? ana roho ngumu au alikuwa anakudai
We sema huna tu.....Kuna watu wana vipaji... Mm siwez hata iweje
sista unachosema uko sawa kabisa, sina pesa wala kipaji cha kuhongaWe sema huna tu.....
wanawake mnawazaga kuhongwa tu, kwa nn na nyie msihonge?Sio siri......Kuhongwa kuna raha yake na kunaongeza raha ya mapenzi
Wengine tunahonga saa, boxer, soxy tena kwa pesa niliyohobgwa!! lakini baada ya kuhakikisha nimeshahongwa vya maana. Jerrymsigwawanawake mnawazaga kuhongwa tu, kwa nn na nyie msihonge?
Umeme siku hizi umeshuka bei sana mkuu kwa mimi ninaishi vijijini natumia elfu tisa tu kwa mwezi.Walau laki 5. Kaka unajua laki haitoshi hata luku ya mwezi? Khaaa
Hahaha.......upo sahihi mkuu lakini huyo mpige chini tu maana anaonekana yupo after money hakujali wala nini.Naona wengi mnanikejeli,lakin mapenz wkt mwingne ni upofu wakuu.
Na chenji ingebaki mkuu hahahaha....kha!!! laki nzima jamani...sasa hiyo laki sii ungeweza pata totoz ya kweli ukajigegedea kwa raha zako. alafu na ugumu huu wote wa sasa duh!!
King'asti unahonga au unatoa?Hujapenda wewe. Ukipenda wala hujifikirii.
Mie nikipenda nahonga kila nilichonacho baba.
King'asti unahonga au unatoa?
Na isitoshe ye anaiona kubwa mwenzie kaona kama kampa efu kumi vile ndo maana ata hakuona aja ya kutoa shukuraniumatuma laki kweli? ana roho ngumu au alikuwa anakudai
Na isitoshe ye anaiona kubwa mwenzie kaona kama kampa efu kumi vile ndo maana ata hakuona aja ya kutoa shukurani
Teh teh..Hapo unatoa bana..Sio kuhonga huko..Btw mpe hongera shemNahonga.
Kwa moyo wangu wote
Kwa roho yangu yote
Na kwa akili zangu zote