Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Halafu wanawake awatumiwi hela,muite aje kuchukua.Unagegeda kwanza ndio umpe hela.
Jamani,me nadhani mapenz na warembo wa kitanzania yamenishndwa,nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye m pesa yake,lakin yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna!nimepiga voda huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshndkana.hvi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?
Je hadi yake inaendana na hiyo hela? Sio tunatoa hela tu inategemea. A hadhi yako.
Naomba unitajie mmoja mwenye hadhi ya Mengi. Au unamaanisha hawa waliojichubua na kuweka makalio feki?Ukianza kuongelea hadhi sasa utaleta shida. Kuna wa hadhi za kina Reggie Mengi si inabidi muwasuse?
Naomba unitajie mmoja mwenye hadhi ya Mengi. Au unamaanisha hawa walijichubua na kuweka makalio feki?
Ahaha tupia picha nikuthaminishe.Mke wake?
Au nijitaje na Mie ndio kikohozi kikutue?
Nipende mimi basi.Hujapenda wewe. Ukipenda wala hujifikirii.
Mie nikipenda nahonga kila nilichonacho baba.
Unaweza penda kwa pembeni nahitaji kujisikia jinsi ilivyo pale nitakapohongwa na mwanamke,Nishapenda na sijioni niking'atuka kwa paw miaka laki Tisa tisini elfu Mia nane na Saba.
Cc snowhite
Unaweza penda kwa pembeni nahitaji kujisikia jinsi ilivyo pale nitakapohongwa na mwanamke,
Hujapenda wewe. Ukipenda wala hujifikirii.
Mie nikipenda nahonga kila nilichonacho baba.
Siku ukibadili itikadi mlango uko wazi. Sisi wanadamu tunabadilika kila saa. Na kuna mambo hutufanya tubadilike. Wanaofanya hivyo wengine hufikia hatua kwamba ni lazima afanye hivyo.Hakuna nafasi baba. Yaani kuanzia unyayo hadi unywele nampenda yeye tu. Nimevunjika vunjika mabawa hata kuruka siwezi.
Pole kijana, laki moja mbona ndogo sana kwa kuhonga!!!Jamani,me nadhani mapenz na warembo wa kitanzania yamenishndwa,nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye m pesa yake,lakin yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna!nimepiga voda huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshndkana.hvi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?