Laki moja yangu inaniuma sana, hata asante sijapewa

Laki moja yangu inaniuma sana, hata asante sijapewa

Ulipokuwa ukimaliza kumgonga ulimpa asante kwa kukutegea kiuno vizuri ili umalize safari ya mwendokasi salama?
Usikute na yeye analipiza kwa kutokuwa muungwana pale unaposhusha mzigo a.k.a wazungu weupe.
 
kha!!! laki nzima jamani...sasa hiyo laki sii ungeweza pata totoz ya kweli ukajigegedea kwa raha zako. alafu na ugumu huu wote wa sasa duh!!
 
Yule mbunge wa kuku na mbuzi alisahau kitu muhimu sana,hii sekta ya mapenzi inamzunguko mkubwa sana wa pesa,miamala inayofanyika kwa jina la mapenzi kwa siku ni mingi sana,inabidi hizi hongo nazo zikatiwe kodi na risiti zitolewe pato la nchi liongezeke
 
cha ajabu unaweza ukamtumia hata vocha yanin muda wa maongezi na akitaka kusema asante napo atabeep, unavyotuma wewe hupigiwi hata siku 1 na akitaka kuongea na wewe anabeep tu wewe unapiga sasa huuliza kubeep napo salio linakatwa, hawa dada zetu tuwasamehe tu manake ni majipu
 
Mweh.

Laki nzima unamtumia mchuchu??

Si ungemtumia hata mama yako angenunua vitenge pea 5??
 
poleeee sana uyo alikuwa mfanyabiashara
pia mapenz c pesa wanaume wengi wanadhana wakiwapatia wanawake pesa ndo wstapendwa kumbe rahashaaaa,soinabidi ujifunze kulingana na makosaa
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
hahah pole sana laki nzima nzima aiseee kwa usawa huu wa uncle magu....alfu no asante hehehe.
 
Back
Top Bottom