pochilangu
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 244
- 95
Laki kwa ajili ya nini, we ndo mzazi wake? Au akicheka unaona Euro cup
Nimecheka mpka machozi hakika umechoka
Laki kwa ajili ya nini, we ndo mzazi wake? Au akicheka unaona Euro cup
Huko kwenye nchi yako ukiwapa huwa wanasemaje???????????????Jamani mimi nadhani mapenzi na warembo wa kitanzania yamenishinda. Nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye M-pesa yake, lakini yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna.
Nimepiga Vodacom huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshindikana.
Hivi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?
Bwana wee...na njaa hii watoto wanashuka bei wenyeweeeNa chenji ingebaki mkuu hahahaha....
vipi ushapata kibarua??hongera zake
Duh wanaume wengine mna guts, si ungemtumia mama ako tu anunue doti ya kitenge? Ona sasa