Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,379
- 2,854
Jamani mimi nadhani mapenzi na warembo wa kitanzania yamenishinda. Nimemtumia mrembo laki moja nzima kwenye M-pesa yake, lakini yeye hata kujishaua tu kusema baby asante ya kinafiki hakuna.
Nimepiga Vodacom huduma kwa wateja nikawadanganya nimeituma kimakosa wanirudishie pesa yangu ila naona imeshindikana.
Hivi warembo wote wa hii nchi wako kama huyu?
Mimi nilimtumia 10,000/= Tshs.......hata Asante ya kujifanyisha sikupata, hata nikajuta.....Ningemtumia MAMA yangu, Ningepata BARAKA tele..
Hii inauma sana, Wanawake mBadilike sasa.