Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

Kama ukitokea uchaguzi alafu wawe wagombea wawili 2 wa MACCM na MiCUF kati ya Lameck Madelu Vs Prof.Lipumbu.

Basi kura yangu nitampa bw. Lameck Madelu wa MACCM tena kwa moyo mkunjufu.

Usiulize kwanini.

Sikuulizi ila na deduce:

Umetumia concept ya 'lesser of the two evils' sio. Ha haa haaaaaaaaaaaaa! Watu bhana.

'tena kwa moyo mkunjufu'
 
ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2. Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3. Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4. Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5. Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6. Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii mchumi wa kimataifa tungekula neema za nchi my take: Ukiipigia ccm kura usilalamike kuhusu ugumu wa maisha, jitambue anza mabadiliko pale popote ulipo kwa kuwanyima ccm udiwani, ubunge na baadae kuitoa madarakani 2015.

na mimi nakuunga mkono kwa kukuambia kuwa kampeni hii isiishie tu hapa kwenye jf..hakikisha kitaa unamwaga sera na kuwafumbua macho wananchi........wakiichagua sisim wajue wameliwa...wasije wakamlalamikia mtu.
 
Bebu tuufanye panzi ni chadema na cuf na kunguru ni sisim.....basi panzi wakipigana kunguru anajichukulia tu! Hivyo fight kati yetu wapinzani ni mtaji kwa ccm...take note!
 
na mimi nakuunga mkono kwa kukuambia kuwa kampeni hii isiishie tu hapa kwenye jf..hakikisha kitaa unamwaga sera na kuwafumbua macho wananchi........wakiichagua sisim wajue wameliwa...wasije wakamlalamikia mtu.
mkuu sasa kambi popote kitaa
 
Hebu tuufanye panzi ni chadema na cuf na kunguru ni sisim.....basi panzi wakipigana kunguru anajichukulia tu! Hivyo fight kati yetu wapinzani ni mtaji kwa ccm.. so tubadilike tuwe na mkakati wa kuikomboa nchi na wala si nani mliberali na nani mkristo? maana zote ni mbumba tu.take note!
 
Bora ya kikwete kuliko nchi angepewa slaa hata Nyerere angefufuka angetushangaa Ameshindwa Utii wa kanisa Leo tumpe nchi hana busara Wala hekma jazba tu nchi haifanyiwi majaribio
 
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2. Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3. Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4. Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5. Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6. Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
Ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii MCHUMI WA KIMATAIFA tungekula neema za nchi MY TAKE: UKIIPIGIA CCM KURA USILALAMIKE KUHUSU UGUMU WA MAISHA, JITAMBUE ANZA MABADILIKO PALE POPOTE ULIPO KWA KUWANYIMA CCM UDIWANI, UBUNGE NA BAADAE KUITOA MADARAKANI 2015.

mkuu bajeti umeisoma vizuri au umewasha tu kompyuta na kuanza kuandika post make umeandika vitu ambavyo havipo halafu umeacha vya maana vilivyoongelewa.
 
Lipumba hawezi shinda ameanza kugombea uraisi tangu nipo sekondari na ajawahi kumkaribia mshindi hata mara moja, CDM tukichua Nchi tutamwajiri Prof Lipumba km mtaalamu wa uchumi kwa Serikali ya CDM
 
Lipumba NO,afadhali aongezewe aliyepo miaka mingine 10.
 
Kwenye ukweli tuseme kweli lipumba mchumi na anaweza kubadilisha uchumi wa nchi hi muda wa siku 1OO tu mutaona bila ushabiki wa chama
 
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2. Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3. Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4. Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5. Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6. Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
Ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii MCHUMI WA KIMATAIFA tungekula neema za nchi MY TAKE: UKIIPIGIA CCM KURA USILALAMIKE KUHUSU UGUMU WA MAISHA, JITAMBUE ANZA MABADILIKO PALE POPOTE ULIPO KWA KUWANYIMA CCM UDIWANI, UBUNGE NA BAADAE KUITOA MADARAKANI 2015.

Naamini hata hivyo nchi hii na serikali yake iko mikononi mwake maana ndiye (kwa maneno yake mwenyewe) aliyeokoa jahazi! Hivyo naamini mengi yanayotekelezwa na serikali ni lazima yana mkono wake moja kwa moja japo si kwa uwazi kama ambavyo ungetarajia. Je, kwa hali hii tuliyonayo bado unadhani anatufaa mwaka 2015, tujadili!
 
Kwenye ukweli tuseme kweli lipumba mchumi na anaweza kubadilisha uchumi wa nchi hi muda wa siku 1OO tu mutaona bila ushabiki wa chama
Ilo kwao ni tusi, wao washapanga kumpa Padre wao ambaye hivi sasa kageukia uzinzi.
 
lipumba hawezi shinda ameanza kugombea uraisi tangu nipo sekondari na ajawahi kumkaribia mshindi hata mara moja, cdm tukichua nchi tutamwajiri prof lipumba km mtaalamu wa uchumi kwa serikali ya cdm
unamfahamu mtu anaitwa michael satta kamsome kisha ukija uache utumbo wako
 
Anaweza akafanya kazi vizuri, ila wasiwasi wangu anaweza kutumia nguvu nyingi katika kupigania maslahi ya Waislam akasahau kujenga nchi, hili la dini limetisha sana baada ya kuona Youtube aliyohutubia Msikitini na ndiyo siku niliyoanza kumtilia mashaka.
Lakini lipumba sio shekh wala imamu nawala hana taaluma ya dini kulinganisha na Slaa mwenye taaluma ya mambo ya dini ya kikristo. Sasa nani kati yao atakae pigania maslahi ya dini yake?
 
Back
Top Bottom