Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

CCM hawana lao NA lipumba is not presidential material. anaendekeza uislamu

Lugha matatizo" what is presidential material"
Na kuendekeza uislamu ndo kufanyaje!
Kupenda sana wali na nyama au!?
 
Achau ujinga wako wa kimadrassat wewe, umewahi kumsikia Dr Slaa akihutubia waumini wa kikristo? nyie vijitu ni tatizo sana duniani hivi unafahamu chuki zenu za kidini ndo zimezaa akina boko haramu, Alqaed nakadhalika, kwa taarifa yako duniani kuna makundi ya kigaidi zaidi ya miambili yoote ni ya dini iliyoruhusu vihotuba vya kishenzi kama alichotoa Lipumba, tuwe wakweli jamani huu uislam unaonewa na nani kila mahara ni kupigana Jihadi? any way Nigeria na Tanzania labda kweli mnaonewa na Wakristo, je somaria wale wanaojitoa muhanga wanaonewa na nani? Au mauaji yanayotokea Irani mara kwa mara kuna viongozi wa kikristo kule mnaopambana nao? Sitaki kuhiyimisha kwamba Uislam ni dini ya laana ila naamini ni baadhi ya waumini wake ndo wanayo ifanya ionekani ni dini inayohatarisha amani ya dunia

Mvaa tai! Najaribu ku guess tu we lazima utakuwa kama sio mkurya basi mnyakyusa!😀
Unapenda sana kutumia herufi" R" pasipo stahili. Mfano ; "SomaRia" na kila "mahaRa" n; k.😀( its a joke) usije ua!

Sasa basi!

Hizo nchi zote ulizotaja na nyingine nyingi Chanzo cha fujo si dini bali ni siasa ya nchi.
Na wananchi kuchoshwa na viongozi walio ng'ang'ania madarakani miaka chungu mbovu bila kukubaki ku share nguvu ya uongozi!

Now
Suala la wapiganaji uwaitao magaidi!

Hii ni kawaida ya mtu anaepigania haki ya nchi yake asiyekuwa na ndege za vita na mizinga kuitwa "gaidi"

Na yule mvamizi mwenye midege na silaha za kuua kwa wingi anaitwa " mkombozi"

Tumeisha yazoea haya!

Je! Umesahau waingereza , wamarekani na wazungu woote walikuwa wakimwita mandela na wafuasi wake "Gaidi" wakati anapigania uhuru wa afrika ya kusini!?!?

Leo baada ya wananchi wake kujikomboa. Hao hao wanamwita" hero"
Shujaa! Na kumpa tuzo za nobell prize.
Bambaf kabisa hawa! Bata mzinga. Mvfsssssss!

Sasa Mva tai! Tusiwaige hawa wakoloni.

Anaepigania uhuru wa nchi yake kama kumsaidi hatuwezi basi japo.tumpe haki yake ya kumuita jina analo stahiki.
Sio gaidi bali ni " mpigania uhuru!.

Ahsant sana
.
Na MUNGU Aibariki Tanzania na watu wake.

Sema ameen.
 
Mkuu, inaelekea we uko nje ya nchi, Lipumb mwenyewe alimsaidia Kikwete kuingia madarakani, huyo mchumi unayemsifia aliona Kikwete anaweza zaidi yake, nadhani hata Kikwete naye ni mchumi vile? Majaribio haya tena kwasasa tumekoma, hatudanganyiki!

Kumauachia kikwete kuingia madarakani. Sio tija ya kuonyesha kuwa lipumba hakuweza kuongoza nchi. Bali huenda kwa wakati huo .
Nafasi ya yeye kuchaguliwa haikuwa nzuri kama ya kikwete. Na hio ndio faida ya kutumia busara ns kuona mbele!
Ukiona uwezekano wa wewe kupata kiti ni mdogo. Basi kuliko kuadhiri. Inamwachia mwenzako unaemuamini!

Sasa si tumjaribu huyo lipumba tuone hio awamu yake ya mwanzo itakwenda vipi!
Manaake atleast lipumba wanamkubali bara na visiwani japo si wote.

Akituharibia nchi tunambwaga tu! Halafu tunachagua mwingine.

Lkn slaa visiwani hana wafuasi wa kutosha kabsaa. Sasa vipi utaongoza nchi nusunusu!?
 
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1.Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2.Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3.Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4.Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5.Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6.Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
Ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii MCHUMI WA KIMATAIFA tungekula neema za nchi MY TAKE: UKIIPIGIA CCM KURA USILALAMIKE KUHUSU UGUMU WA MAISHA, JITAMBUE ANZA MABADILIKO PALE POPOTE ULIPO KWA KUWANYIMA CCM UDIWANI, UBUNGE NA BAADAE KUITOA MADARAKANI 2015.

Huyo mdini akafie mbali
 
Hivi mtu mwenye uelewa anaweza kumtenganisha Lipumba na CCM. Nakumbuka kama walishawahi kuungana wakawa mwili mmoja kwa sababu wana mawazo sawa ya kiuchumi, kisiasa na kiutamaduni. Ni lipi jipya alilo nalo Lipumba. Maji yakiwa kwenye mto au bahari yanabakia kuwa maji tu. SAWA SAWAAAAAAAA!
 
ukimpa nchi Lipumba jiandae na mpasuko w audini.....hongera Profesa uliyosomeshwa kwa kodi za watanzania wote halafu unawagawa kwa udini wako....lazima uwe mpumbavu au mshenzi kumsupport Lipumba
 
Kitoabu naona upo bize sana kumtetea lipumba, Ukimaliza umuwahi haraka shehk Basalleh akupe buku2 yako na futari.
 
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2. Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3. Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4. Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5. Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6. Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
Ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii MCHUMI WA KIMATAIFA tungekula neema za nchi MY TAKE: UKIIPIGIA CCM KURA USILALAMIKE KUHUSU UGUMU WA MAISHA, JITAMBUE ANZA MABADILIKO PALE POPOTE ULIPO KWA KUWANYIMA CCM UDIWANI, UBUNGE NA BAADAE KUITOA MADARAKANI 2015.
Teh tehe tehee teheee teheeee teheeeeeee! kweli shetani na wahuni Mungu na waungwana: ati mpaka leo wapo wenye imani na 'Prof.' Lipumba. Lakini, sishangai sana: kama 'kipofu' ameweza kuwa Rais, iweje 'chongo' ajidharau??!!
 
Tusifanye makosa tena 2015 tumpe mtaalamu wa uchumi hii mtafurahia utajiri wa tanzania


weeeeeeeeeew si ndo yule wa mrengo wa kushoto huyo?
sas akitangaza kuweka wazi kile kitendo kilicholeta tifu bungen?ITAKWAJE
 
akiwepa lipumba nchi naamia kenya bora niwe mkimbizi, yaaaan ni bora hata mwinyi kuliko yeye....yule!!!
 
Mkuu, inaelekea we uko nje ya nchi, Lipumb mwenyewe alimsaidia Kikwete kuingia madarakani, huyo mchumi unayemsifia aliona Kikwete anaweza zaidi yake, nadhani hata Kikwete naye ni mchumi vile? Majaribio haya tena kwasasa tumekoma, hatudanganyiki!
Mkuu mwambie huyo jamaa inaonekana ana muda mrefu hatembelei jf akajua kuwa lipumba alisaidia chama hiki kuwa madarakani
 
We mleta mada hujielewi hata kidogo ni shabiki wa lipumba hivi kakuambia atagombea tena kwa Mara ya tano kumbuka umejiunga jf may 2013 halafu unauliza ushahidi wa lipumba kumsaidia jk.
 
Mmmh! Huyo Prof. tena. Mimi nafikiri huyo yuko kimataifa zaidi. Labda tumpe nchi Mchumi Daraja la Kwanza, Bw. Lameck a.k.a. Mwigulu, halafu muone! Teh teh teh.


uuuuuuuuuna sema?
sijaiona comment yako,unaweza rudia?
 
Back
Top Bottom