Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

Kama ukitokea uchaguzi alafu wawe wagombea wawili 2 wa MACCM na MiCUF kati ya Lameck Madelu Vs Prof.Lipumbu.

Basi kura yangu nitampa bw. Lameck Madelu wa MACCM tena kwa moyo mkunj

Usiulize kwanini.


Hehehehehe!!!!!!!hapo sasa idadi ya wapiga kura itapungua
 
Haki kwa wote ni jambo la kuzingatia ewe mwananchi

Hiyo ndio kauli ambayo hawataki kuisikia wenzetu, maana inamlenga zaidi kumkomboa Müslim kutoka ktk mikono ya DHULMA kwahiyo usitegemee kuungwa mkono na jamii inayo nufaika na mfumo wa kiutawala ulio madarakani hivi sasa. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, wanajua umuhimu wakumuweka madarakani Professor lakini wanahofu juu yakupokwa madaraka yao nakuanza kugaiwa kwa haki. Ama hakika HAKI ni adui kwa walio zoea dhulma.
 
hiyo ndio kauli ambayo hawataki kuisikia wenzetu, maana inamlenga zaidi kumkomboa müslim kutoka ktk mikono ya dhulma kwahiyo usitegemee kuungwa mkono na jamii inayo nufaika na mfumo wa kiutawala ulio madarakani hivi sasa. Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, wanajua umuhimu wakumuweka madarakani professor lakini wanahofu juu yakupokwa madaraka yao nakuanza kugaiwa kwa haki. Ama hakika haki ni adui kwa walio zoea dhulma.
cuf ni kwaajili ya wote wenye kudhulumiwa awe mislamu au mkisto aau mhindu au mpagani haki kwa wote
 
Tusifanye makosa tena 2015 tumpe mtaalamu wa uchumi hii mtafurahia utajiri wa tanzania

Anaweza akafanya kazi vizuri, ila wasiwasi wangu anaweza kutumia nguvu nyingi katika kupigania maslahi ya Waislam akasahau kujenga nchi, hili la dini limetisha sana baada ya kuona Youtube aliyohutubia Msikitini na ndiyo siku niliyoanza kumtilia mashaka.
 
anaweza akafanya kazi vizuri, ila wasiwasi wangu anaweza kutumia nguvu nyingi katika kupigania maslahi ya waislam akasahau kujenga nchi, hili la dini limetisha sana baada ya kuona youtube aliyohutubia msikitini na ndiyo siku niliyoanza kumtilia mashaka.
mvaa tai usiwe na hofu bila ccm kutoka tabu na shida zitaendelea kwa wabongo
 
Lipumba ni jembe kwa maana ya uelewa wa masuala ya uchumi na tumemwona akichangia kuchambua mambo ya msingi sana kwa umahiri mkubwa. Lakini suala la kumkabidhi nchi ni jambo la kutafakari kwa makini maana na yeye ni binadamu mwenye udhaifu/mapungufu/mitazamo ya kibinafsi/matamanio ................nk. Tuendelee kumtumia pasipo kumkwaza yeye mwenyewe na wengine.
 
lipumba ni jembe kwa maana ya uelewa wa masuala ya uchumi na tumemwona akichangia kuchambua mambo ya msingi sana kwa umahiri mkubwa. Lakini suala la kumkabidhi nchi ni jambo la kutafakari kwa makini maana na yeye ni binadamu mwenye udhaifu/mapungufu/mitazamo ya kibinafsi/matamanio ................nk. Tuendelee kumtumia pasipo kumkwaza yeye mwenyewe na wengine.
i like it
 
Hata kikwete nae ni Mchumi kwa hiyo Uchumi wa Lipumba sio Hoja maana ndie alikuwa Mshauri Enzi za Mwinyi na hakuna lolote la maana alilotufanyia.Lipumba kwangu ni Mtu ambaye ataingiza Nchi yetu katika Vita vya Kidini hivyo ni wa kuepuka kama UKOMA.
Nibora ungekaa kimya tu, kuropoka kwako kumedhihirisha ukilaza wako.
 
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2. Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3. Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4. Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5. Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6. Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
Ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii MCHUMI WA KIMATAIFA tungekula neema za nchi MY TAKE: UKIIPIGIA CCM KURA USILALAMIKE KUHUSU UGUMU WA MAISHA, JITAMBUE ANZA MABADILIKO PALE POPOTE ULIPO KWA KUWANYIMA CCM UDIWANI, UBUNGE NA BAADAE KUITOA MADARAKANI 2015.

Kweli ni mchumi lkn ni mdini. 2010 alimpigia kikwete kampeni misikitini hivyo hafai kabisa na amejidhalilisha.
 
Kama ukitokea uchaguzi alafu wawe wagombea wawili 2 wa MACCM na MiCUF kati ya Lameck Madelu Vs Prof.Lipumbu.

Basi kura yangu nitampa bw. Lameck Madelu wa MACCM tena kwa moyo mkunjufu.

Usiulize kwanini.
Nikwakua Mkirsto mwenzio.
 
Back
Top Bottom