Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

Chadema chama cha kanisa

Usiishie hapa tu,Nenda mpaka Bungeni Mwambie Makinda na Ndugai kwamba chama walichopo-CCM sio chao.Wapo Ugenini,Warudi nyumbani CDM.Msimulie na Julius Mtatiro jinsi alivyopotea.Fanya hivyo kwa vyama vyote,baada ya hapo tulia Kivulini ujipongeze kwa kazi iliyotukuka.
 
Ingekuwa vyema km na hospital za kanisa, shule za kanisa, misaada ya kanisa...mngefanya the same km miaka ya nyuma

Mkuu hujaona KCMC wamepandisha bei ya gharama za matibabu hospitali ikabaki na wagonjwa 20 tu?
 
Lakini lipumba sio shekh wala imamu nawala hana taaluma ya dini kulinganisha na Slaa mwenye taaluma ya mambo ya dini ya kikristo. Sasa nani kati yao atakae pigania maslahi ya dini yake?

Achau ujinga wako wa kimadrassat wewe, umewahi kumsikia Dr Slaa akihutubia waumini wa kikristo? nyie vijitu ni tatizo sana duniani hivi unafahamu chuki zenu za kidini ndo zimezaa akina boko haramu, Alqaed nakadhalika, kwa taarifa yako duniani kuna makundi ya kigaidi zaidi ya miambili yoote ni ya dini iliyoruhusu vihotuba vya kishenzi kama alichotoa Lipumba, tuwe wakweli jamani huu uislam unaonewa na nani kila mahara ni kupigana Jihadi? any way Nigeria na Tanzania labda kweli mnaonewa na Wakristo, je somaria wale wanaojitoa muhanga wanaonewa na nani? Au mauaji yanayotokea Irani mara kwa mara kuna viongozi wa kikristo kule mnaopambana nao? Sitaki kuhiyimisha kwamba Uislam ni dini ya laana ila naamini ni baadhi ya waumini wake ndo wanayo ifanya ionekani ni dini inayohatarisha amani ya dunia
 
Usiishie hapa tu,Nenda mpaka Bungeni Mwambie Makinda na Ndugai kwamba chama walichopo-CCM sio chao.Wapo Ugenini,Warudi nyumbani CDM.Msimulie na Julius Mtatiro jinsi alivyopotea.Fanya hivyo kwa vyama vyote,baada ya hapo tulia Kivulini ujipongeze kwa kazi iliyotukuka.

CCM siku zote ni chama cha kiislam, waislam wa pwani.....ambao kila siku wapo nyuma ya time.
 
Achau ujinga wako wa kimadrassat wewe, umewahi kumsikia Dr Slaa akihutubia waumini wa kikristo? nyie vijitu ni tatizo sana duniani hivi unafahamu chuki zenu za kidini ndo zimezaa akina boko haramu, Alqaed nakadhalika, kwa taarifa yako duniani kuna makundi ya kigaidi zaidi ya miambili yoote ni ya dini iliyoruhusu vihotuba vya kishenzi kama alichotoa Lipumba, tuwe wakweli jamani huu uislam unaonewa na nani kila mahara ni kupigana Jihadi? any way Nigeria na Tanzania labda kweli mnaonewa na Wakristo, je somaria wale wanaojitoa muhanga wanaonewa na nani? Au mauaji yanayotokea Irani mara kwa mara kuna viongozi wa kikristo kule mnaopambana nao? Sitaki kuhiyimisha kwamba Uislam ni dini ya laana ila naamini ni baadhi ya waumini wake ndo wanayo ifanya ionekani ni dini inayohatarisha amani ya dunia
Ila mkuu umeenda nje ya topic kwahiyo na shindwa kukuelewa.
 
Mkuu hujaona KCMC wamepandisha bei ya gharama za matibabu hospitali ikabaki na wagonjwa 20 tu?

Inamaana hawa jamaa ndio wanaongeza gharama za matibabu huku kodi wanayotoa ni kidogo sana?..kazi zao za kuuza sanda,kuchinja, kuuza gahawa, vitabu vya propaganda ,uganga, madrassa,vyote havilipi kodi...wachache weny kazi rasmi huwa wanawalilia viongozi misikitini kodi zao zinapigwa chini.

NIlizoea kuwaona ktk mahspitali wakitibu ,mabusha, sukari, pressure, na magonjwa mengine ya ulafi na uchafu na ujinga.....ila sikujua kuwana tally higher ukilinganisha na wengine.Na wamejaa kila hospitali nchini....Wanakula mno..sukari na mafuta ten akwa kiasi kikubwa sana....ktk nyumba zao kujamba ni km nyumba yenye chiriku.Hawana dhambi ya ulafi, mwishowe wanajikuta wakiadhibiwa na magonjwa.
 
Ukisoma na kusikiliza bajeti iliopita inadhihirisha wananchi bado tutaendelea kutaabika
1. Serikali bado kimya juu ya misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini
2. Bado serikali kimya juu ya faida ya dhahabu kwa makampuni ambayo imepanda sana wakati wao wanalipa kodi kwa bei ya zamani ambapo dhahabu ilikua chini
3. Haijaeleza ni vp itawakomboa vijana ambao ni wengi na hawana ajira
4. Kupunguza asilmia moja kwenye kodi ya mishahara ni kama dhihaka kwa wafanyakazi
5. Kuongeza kodi kwenye petrol na diesel ni kuongeza ukali wa maisha kwa mwananchi maskini
6. Kuongeza kodi kwenye mpesa ambayo ni mkombozi kwa wananchi wa vijijini ambao hawatumii miamala ya benki ni kuwakomoa wananchi
Ndugu wananchi lau tungemkabidhi nchi hii MCHUMI WA KIMATAIFA tungekula neema za nchi MY TAKE: UKIIPIGIA CCM KURA USILALAMIKE KUHUSU UGUMU WA MAISHA, JITAMBUE ANZA MABADILIKO PALE POPOTE ULIPO KWA KUWANYIMA CCM UDIWANI, UBUNGE NA BAADAE KUITOA MADARAKANI 2015.

Lakini hapa hujatuambia kwanini unadhani kuwa Prof Lipmba angetuondoa hapa!
 
Mkuu, katafute ile video inayo onyesha huyo mchumi jinsi alivyosaidia kuupata utawala uliopo. Ukisha angalia vizuri njoo tujadiliane.
 
Agombee tu wala hajakatazwa Watanzania ndo watakaopiga kura Kama akipita sawa maana litakua ndo chaguo la Watanzania asipopita ndo hivyo. Na huwezi kumlazimisha mtu amchague kila mtu atachagua kutokana na Utashi wake na ni haki yake

Kabila: maneno yako kidogo yanafanana na wahenga wenye hekima. Heko !heko!
 
Back
Top Bottom