Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

Tusifanye makosa tena 2015 tumpe mtaalamu wa uchumi hii mtafurahia utajiri wa tanzania
Profesa alikuwa mshauri wa kiuchumi wa Museveni, still uchumi wetu umewapita Waganda. Je kipi kipya anacholeta Mhe. Lipumba ambacho hajatueleza tangu kaanza kugombea mwaka 1995?
 
profesa alikuwa mshauri wa kiuchumi wa museveni, still uchumi wetu umewapita waganda. Je kipi kipya anacholeta mhe. Lipumba ambacho hajatueleza tangu kaanza kugombea mwaka 1995?
unaongozwa na hisia lau ungetumia free mind ungeona
 
uache jaziba weka mifano ya nchi zenye uchumi mzuri ambazo maraisi wake ni wachumi wa kimataifa
kagame anaiba rasilimali za kongo anajenga nchi yake ww unamsifia hali m23 wanaua wakongo ili waibe maliasili obama anaua watu iraq kamuua gadafi ,lengo ni kuiba mafuta we ukowapi au mawazo yameshazikwa
 
Haya wataje Hal maraisi wachumi wa kimataifa na nchi zao
 
Kama ukitokea uchaguzi alafu wawe wagombea wawili 2 wa MACCM na MiCUF kati ya Lameck Madelu Vs Prof.Lipumbu.

Basi kura yangu nitampa bw. Lameck Madelu wa MACCM tena kwa moyo mkunjufu.

Usiulize kwanini.
 
kagame anaiba rasilimali za kongo anajenga nchi yake ww unamsifia hali m23 wanaua wakongo ili waibe maliasili obama anaua watu iraq kamuua gadafi ,lengo ni kuiba mafuta we ukowapi au mawazo yameshazikwa
Ushauri ulionipa hapo juu ndio unaostahili kupewa hapo kwenye bold, kwa sababu nazo ni hisia pia. Tuendelee na mjadala
 
Haya yot yasingetufika kama vijana tungeamka. Elimu tunayo mbona tunalalamika ajira hakuna? Tuzi- create ajira sisi wenyewe na kama mazingira hayaruhusu tutafute sera mbadala TOA CCM madarakani na chagua chama makini kitachoruhusu mazingira ya kujikwamua wenyewe kiuchumi.
Wa TZ tuko usingizini hata wenye ajira hawachapi kazi ni wavivu kwani huduma wizarani, DAWASCO, TANESCO hovyo kabisa.
Vijana wenye fani mbalimbali tunatakiwa tuwezeshwe kujiari kwa mfumo wa vikundi au mtu mmoja mmoja. Katika kila sekta kuna fursa ya vijana kuanzisha shughuli na zikawa endelevu.
 
kagame anachukua madini kongo obama anaiba mafuta iraq na libya hv hufikr au unaitaji antvirus

Bora hao wanaoiba kwa kwa kuendeleza nchi zao kuliko wanaoiba na kunenepesha mitumbo yao. Shame on you CCM.
 
Mkuu, inaelekea we uko nje ya nchi, Lipumb mwenyewe alimsaidia Kikwete kuingia madarakani, huyo mchumi unayemsifia aliona Kikwete anaweza zaidi yake, nadhani hata Kikwete naye ni mchumi vile? Majaribio haya tena kwasasa tumekoma, hatudanganyiki!
Hudanganyiki wewe na nani? Mbona sisi watu wa ukanda wa pwani na kusini, Lipumba ndio chaguo letu.
 
Lakini Lipumba hana kadi ya CCM kama Slaa.

atakuwaje na kadi wakati yeye nimwandani wa ccm mkuu! amwkuwa mwili mmoja na ccm kadi yanini wakati ukiwa na kadi ya cuf wewe ni mwanaccm?
 
Tusifanye makosa tena 2015 tumpe mtaalamu wa uchumi hii mtafurahia utajiri wa tanzania

Wewe ndugu yangu usijidanganye; huyu Lipumba anapiga siasa tu na nimchumia tumbo mbona alipokuwa mshauri wa uchumi enzi ya Sheikh Mwinyi mambo yalikuwa kama yalivyo kwenye bajeti ya leo; kodi ni kwenye pombe, sigara na petrol pamoja na soda!! Viongozi wanatumia magari ya serikali hivyo maisha yao hayadhuliki na ongezeko la bei ya petrol. Hivi kwanini hatujiulizi kuwa kwanini haya makampuni ya simu yanayotengeneza fedha nyingi sana hayatozwi kodi nchini mwetu kama wenzetu wanavyoyatoza? Serikali yetu badala ya kuyatoza makampuni ya simu kodi stahiki inawatoza wananchi kwa kuwa na simu za mikononi!!!

Huwezi kuboresha maisha ya wananchi kwa kuongeza bei ya petrol kwani ukiongeza bei ya petrol kila sector inayotumia mafuta hayo bidhaa zake zitapanda bei; sasa transport sactor inayotumia mafuta hayo ikipanda ujue kila kitu nchini kitapanda bei kwani hakuna bidhaa au huduma isiyohitaji usafiri ili kumfikia mtumiaji!!!
 
kagame anaiba rasilimali za kongo anajenga nchi yake ww unamsifia hali m23 wanaua wakongo ili waibe maliasili obama anaua watu iraq kamuua gadafi ,lengo ni kuiba mafuta we ukowapi au mawazo yameshazikwa

ndugu zako ccm wanaua laia wake ili waibe vivuri pesa zako!
 
Back
Top Bottom