Laiti nchi angekabidhiwa prof Lipumba (must read)

Lipumba kashapoteza uhalali wa kuwa kiongozi wa nchi hii,kwani tayari ameshawabagua watanzania na kuonyesha dhamira na utashi wake kuwa yeye anataka kuwa rais wa kundi la watu fulani wenye imani yake.viongozi kama hawa ni wa kuwaogopa kama ukoma na mimi nashangaa waandishi wa habari wa nchi hii na kiongozi kama tendwa ambao wanadhani kwa kuhoji kauli ile ya lipumba hadharani ni kuliuzi kundi fulani kubwa na kuongeza mpasuko wa kidini.lakini ukweli ni kwamba moto haufunikwi kwa gunia na unafiki huu ndio uliotufikisha hapa. Sidhani hata muislamu aliye na nia safi kwa nafsi yake, familia na jamaa zake angependa kuona nchi hii inaingia katika mgogoro na vita ambavyo kamwe havina mshindi.Imani iko ndani ya moyo wa mtu na kamwe haiwezi kuondolewa kwa upanga.SISI WANANCHI WENGI WA NCHI HII NI WALALA HOI NA HATA KULA ZETU NI ZA MASHAKA,VITA VIKIANZA TUTAKIMBILIA WAPI.HAO WAKINA LIPUMBA NA VIZA ZAO WATAKWEA MAPIPA NA KUSEPA,TUTABAKI SISI NA KUMALIZANA.SISI WA IMANI NYINGINE NA WAPAGANI TUNAMSUBIRI MH. LIPUMBA MWAKA 2015 ATUJIBU SWALI HILI, KWANINI SISI TUMPE KURA IKIWA YEYE AMESHAJIPAMBANUA NA WATU WA IMANI MOJA, IN SHORT U-PROFESA WAKE NAUTILIA MASHAKA KAMA ANAFIKIRI ATAWEZA KUINGIA IKULU TU KWA KURA ZA NASABA FULANI KTK TANZANIA HII YENYE WATU milioni 44 WA IMANI TOFAUTI NA WASIO NA DINI.
 
unaandika uharo halafu unapost
 
tungejuta. Tanzania ingegeuka saudi arabia. mahakama ya kadhi kila kituo cha daladala.
 
Back
Top Bottom