Laiti mngejua vinavyofanyika maofisini!

Laiti mngejua vinavyofanyika maofisini!

Alafu bado tunalalamika wageni kuchukua kazi za wazawa....wakati wazawa tumewekeza kwenye ngono.....badala ya kuzingatia ufanisi wa kazi.......

Vichwa vyetu vimebeba mawazo ya ngono tu muda wote.....kila kitu tunakitazama kingono ngono tu.....tukikaa huko sehemu za kazi badala ya kutuliza mawazo kwenye kazi....tunawaza ngono tu........

Ni muajiri gani mwenye kuthubutu kumpa ajira mtu kama huyo ili kampuni yake isonge mbele...!!!??
Naona ni moja ya sababu za kuwa nyuma Waafrika. Angalia Dodoma kipindi cha Bunge
 
Naona ni moja ya sababu za kuwa nyuma Waafrika. Hatuna muda wa kufikiria ukiwa na degree au PhD basi umemaliza ni kula, pombe na ngono. Angalia Dodoma kipindi cha Bunge, tunawasomi mechanics engineers lkn hata bodaboda tuna import.
 
Za leo wana MMU.

Leo bwana ni siku ya mapumziko ofisi nyingi za serikali ziko off.

Mimi leo nimekosa cha kufanya nikasema embu niende ofisini. Sasa kufika huko nikafanya vitu vyangu na Youtube inanishindisha mle ofisini.

Basi kuna ofisi moja opposite na mimi (TASAF), nilianza kusikia kama kelele ya mwanamke anagomba kumbe ndo walikua wanaanza majambozi.

Mimi uvumilivu ulinishinda, nilitamani nikawachungulie ikashindikana, kumbuka tuko kama watu wa 4 hivi. Nikaenda kwa braza mmoja aliniazima chaji walau nipige jicho la kiwizi lakini sikufanikiwa nikarudi nikachajisha simu yangu kisha nikatoka nje kwenda kujisaidia.

Wakati natembea zile mshikemshike zilikua zinapungua ili nisijue kinachoendelea. Mtu wa watu nikaenda toilet kumbe maji ya shida kwa bahati nzuri nkapata kidogo. Wakati najisaidia alikuja mtu akakojoa kidogo halafu akaondoka huku akivuta pumzi ya uchovu nikajua huyu ndio aliekua anafanya mchezo.

Ila kwa bahati mbaya sijamjua, nataka nifanyie kazi ile sauti ili nimtambue huyu kamanda maana ni hatari sana.

By the way hawa ni wanandoa maana ofisi yote watu wanaohusika humo sio chini ya 35years.

Hiko kitendo kimenisikitisha sana kweli mtu halindwi, maana hata ufanyeje atakusaliti tuu kama hakupendi. Sio mwanaume wala mwanamke yani viumbe wote ni shida.

Nawashauri mkiwafuma wapendwa wenu kwenye hivi visa wala msiogope. Just take easy maana ndio ulimwengu wa sasa.

sasa wewe ulienda ofcn kufanya kazi au kupiga chaboooo
 
Ni kutojithamini
Kujidharau
Kujishusha thamani
Kama umeolewa kwanini usitulie
Unaweza kuta ni wanandoa... Yaani mtu na mkewe wameamua tu kubadili mazingira ya kufanyia tendo lao la ndoa. Si unajua kuna wengine hupenda adventures
 
Kifupi maofisini wanawake asilimia kubwa wanatumika saana tena kwa bei poa kabisa sawa na bure
 
Tabia hii ya kuzibuana inaanzia vyuoni hivyo kwenye ajira inakuwa kawaida tu maana vyuoni ni mobile pussy wanagawa kwa wachuo malecturer hadi boda boda nje ya chuo kwa mazoea hayo ndio ujenga tabia hadi ofisini.
 
Alafu bado tunalalamika wageni kuchukua kazi za wazawa....wakati wazawa tumewekeza kwenye ngono.....badala ya kuzingatia ufanisi wa kazi.......

Vichwa vyetu vimebeba mawazo ya ngono tu muda wote.....kila kitu tunakitazama kingono ngono tu.....tukikaa huko sehemu za kazi badala ya kutuliza mawazo kwenye kazi....tunawaza ngono tu........

Ni muajiri gani mwenye kuthubutu kumpa ajira mtu kama huyo ili kampuni yake isonge mbele...!!!??
Mkuu mbona uko very myopic hivyo? Umesahau hata Clinton amefanya sana huo mchezo tena ofisini kwake? Acha fikra za kitumwa hizo. Hao wazungu unaodhani hawana akili za kingono wamekuaminisha ili ujidharau kwa rangi yako in relation to ngono. This matter has nothing to do with our races
 
Mimi nimezungumzia mambo ya Tanzania na namna vijana Kitanzania wanaolalamikia ajira zao kuporwa na wageni ilhali wao nguvu zao akili zao wamezielekeza kwenye ngono badala ya uzalishaji......

Hayo mambo ya huko kwa wakina Clinton watajua wao wenyewe kwa kuwa sihusiki nayo....

Alafu ni utumwa kuona kila jambo linalofanyika huko kwa wazungu basi ni halali kufanyika huku kwetu.......kwa hiyo kama Clinton alifanya ngono ofisini ndio amehalalisha sisi huku kufanya ngono maofisini kwa kuwa yeye ni kiongozi wa taifa kubwa....!!!???

JIKOMBOE NDUGU......
 
Uchafu tu na zaidi kwa mwanamke. Afadhali hata mwanaume anaweza cum kwa muda mchache anaofanya hayo, sa mwanamke sijui anafaika nini kuwa screwed kwa hizo dakika zaidi ya kuchovywa, kupakwa na kuachwa na mangenye yake.
Wengine wako fasta mkuu, na wengi wanaoridhika haraka ndio hukubali kugongwa ktk mazingira yoyote yale maana anajua anatoka na kitu kama sisi tunavyojua dk5 zinatosha kukojoa,
Kuna mmoja nilikua namgongea stoo ya boss, yaani hata kwa siku anakuja mara 2, akijua uko peke yako huko, yaan ukimpelekea fasta dk 5 ashamaliza.
 
Hiyo ni kawaida sana kwa office zetu sanasana Za hapa dar yaani mtu anakungutwa mpaka anajisahau kuwa yale sio maeneo husika kelele na mautamu yakimzidi
 
Nilikutana na maza mmoja alitaka kuniperemba ,kuja kujua ni mke wa nani nilitoka mkuku
Hey kwani haipiti [emoji12] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Za leo wana MMU.

Leo bwana ni siku ya mapumziko ofisi nyingi za serikali ziko off.

Mimi leo nimekosa cha kufanya nikasema embu niende ofisini. Sasa kufika huko nikafanya vitu vyangu na Youtube inanishindisha mle ofisini.

Basi kuna ofisi moja opposite na mimi (TASAF), nilianza kusikia kama kelele ya mwanamke anagomba kumbe ndo walikua wanaanza majambozi.

Mimi uvumilivu ulinishinda, nilitamani nikawachungulie ikashindikana, kumbuka tuko kama watu wa 4 hivi. Nikaenda kwa braza mmoja aliniazima chaji walau nipige jicho la kiwizi lakini sikufanikiwa nikarudi nikachajisha simu yangu kisha nikatoka nje kwenda kujisaidia.

Wakati natembea zile mshikemshike zilikua zinapungua ili nisijue kinachoendelea. Mtu wa watu nikaenda toilet kumbe maji ya shida kwa bahati nzuri nkapata kidogo. Wakati najisaidia alikuja mtu akakojoa kidogo halafu akaondoka huku akivuta pumzi ya uchovu nikajua huyu ndio aliekua anafanya mchezo.

Ila kwa bahati mbaya sijamjua, nataka nifanyie kazi ile sauti ili nimtambue huyu kamanda maana ni hatari sana.

By the way hawa ni wanandoa maana ofisi yote watu wanaohusika humo sio chini ya 35years.

Hiko kitendo kimenisikitisha sana kweli mtu halindwi, maana hata ufanyeje atakusaliti tuu kama hakupendi. Sio mwanaume wala mwanamke yani viumbe wote ni shida.

Nawashauri mkiwafuma wapendwa wenu kwenye hivi visa wala msiogope. Just take easy maana ndio ulimwengu wa sasa.

Mtu aliaga anaenda kumalizia viporo kazini hahahaaaaa...halafu za hivyo wanapigaga kavukavu ndio ubaya
 
Hivi kwa stahili hii sisi ambao hatuja oa tutashawishika kuachana na u bachelor na kuoa kweli? Eeeeh Mungu tusaidie
Unayefikir ni size yako analinjemba la miaka 40, na ukidhubutu kumwambia mpime ukimwi ndo mwanzo wa kukimbiana na wewe unaogopa kumvaa bila kupima kweli kaz mnayo!!
 
Back
Top Bottom