Laiti mngejua vinavyofanyika maofisini!

Laiti mngejua vinavyofanyika maofisini!

huyo mwanamke kajichapa mwenyewe? ?? waliyechapana naye sio mume wa mtu?
hapana nimehakikisha jana ni kaka tuu mdogo wa miaka 24 hajaona bado.
niliskia akipiga stori live.
walikua na genye za mda
Sijaona wanawake wakipanic juu ya waume zao kuchukuliwa na wanawake wengine, au hakuna mwenye mume afanyae kazi tasaf? Au maumivu ni kwa wanaume tu?
nimejifunza kitu hapa
 
Mkuu mbona uko very myopic hivyo? Umesahau hata Clinton amefanya sana huo mchezo tena ofisini kwake? Acha fikra za kitumwa hizo. Hao wazungu unaodhani hawana akili za kingono wamekuaminisha ili ujidharau kwa rangi yako in relation to ngono. This matter has nothing to do with our races
It has everything to do with races... Muafrika na ngono?? Acha hiyo kitu...
 
Kuna kijamaa fulani kifupi mkewe alikuwa anafanya CRDB kinawararua sana ofisini si wake za watu wala changudoa ki jamaa kinasema mchagua k#m@ k#m@mae!
 
Kuna kijamaa fulani kifupi mkewe alikuwa anafanya CRDB kinawararua sana ofisini si wake za watu wala changudoa ki jamaa kinasema mchagua k#m@ k#m@mae!
kama nakafahamu, embu niambie ni ya wapi mkuu nihakikishe kama ni huyo ninaye mhisi!
 
We noma ss kuhangaika kote hko ulitaka kujua nn wakat ulishagundua knacho endelea au ulivutiwa Na doz ss wataka umtafte mshkaj nn, teh tehe!!
 
Wengine wako fasta mkuu, na wengi wanaoridhika haraka ndio hukubali kugongwa ktk mazingira yoyote yale maana anajua anatoka na kitu kama sisi tunavyojua dk5 zinatosha kukojoa,
Kuna mmoja nilikua namgongea stoo ya boss, yaani hata kwa siku anakuja mara 2, akijua uko peke yako huko, yaan ukimpelekea fasta dk 5 ashamaliza.

Halafu ule ute ute mnaenda kuunawia wapi? au ndo zile harufu ukiingia ofisi unasikia kimpori mpori?
 
Za leo wana MMU.

Leo bwana ni siku ya mapumziko ofisi nyingi za serikali ziko off.

Mimi leo nimekosa cha kufanya nikasema embu niende ofisini. Sasa kufika huko nikafanya vitu vyangu na Youtube inanishindisha mle ofisini.

Basi kuna ofisi moja opposite na mimi (TASAF), nilianza kusikia kama kelele ya mwanamke anagomba kumbe ndo walikua wanaanza majambozi.

Mimi uvumilivu ulinishinda, nilitamani nikawachungulie ikashindikana, kumbuka tuko kama watu wa 4 hivi. Nikaenda kwa braza mmoja aliniazima chaji walau nipige jicho la kiwizi lakini sikufanikiwa nikarudi nikachajisha simu yangu kisha nikatoka nje kwenda kujisaidia.
Wewe NI ke au me?
Wakati natembea zile mshikemshike zilikua zinapungua ili nisijue kinachoendelea. Mtu wa watu nikaenda toilet kumbe maji ya shida kwa bahati nzuri nkapata kidogo. Wakati najisaidia alikuja mtu akakojoa kidogo halafu akaondoka huku akivuta pumzi ya uchovu nikajua huyu ndio aliekua anafanya mchezo.

Ila kwa bahati mbaya sijamjua, nataka nifanyie kazi ile sauti ili nimtambue huyu kamanda maana ni hatari sana.

By the way hawa ni wanandoa maana ofisi yote watu wanaohusika humo sio chini ya 35years.

Hiko kitendo kimenisikitisha sana kweli mtu halindwi, maana hata ufanyeje atakusaliti tuu kama hakupendi. Sio mwanaume wala mwanamke yani viumbe wote ni shida.

Nawashauri mkiwafuma wapendwa wenu kwenye hivi visa wala msiogope. Just take easy maana ndio ulimwengu wa sasa.
Wewe
 
Halafu ule ute ute mnaenda kuunawia wapi? au ndo zile harufu ukiingia ofisi unasikia kimpori mpori?
Nina kastori flani hivi kuhusu kutiana ofcn na mmoja wa wahusika ni Kasie.

Upako wa kukasimulia kastori hako haujanishukia kwa leo labda kesho.
Basi kesho sibanduki JF mamii,nataka utupe kinagaubaga na idadi ya mabao bila kusahau mitindo,kama vile mbwa kachoka,mbuzi kagoma,kunguru kanasa,chuma mboga na tigo au vipi?
 
Back
Top Bottom