Laiti mngejua vinavyofanyika maofisini!

Laiti mngejua vinavyofanyika maofisini!

Hata Yule dada wa crdb alimegwa ofisin!!wonders shall never end
 
ndio maana niamini kuwa we ni mtumishi pale halafu dizain leo kaama watumishi walielewa mchezo nimesikia kauli nying za mafumbo huenda mchezo ulijulikana maana dunia haina siri
Ombea ofisi yako na kila kitu kinachofanyika !!

Kwetu kulikuwa na dalili watu waendapo semina. Tulikuwa watu 2 tukaanza maombi ya toba kwa ajili ya ofisi yote, kuvitakasa viti, meza na ofisi yote baadaye kupindua viti vyote vya wazinzi, na washirikina wote.
Tukachukua nafasi zetu kama walinzi kwenye lango la ofisi kuhakikisha kisicho cha Mungu hakipiti.
Kama wewe ni msomaji wa Biblia mkumbuke Modekai, Ester na mfalme.
 
nashukuru sana, maombi yanasaidia mno hawa wanawake ni noma
 
nashukuru sana, maombi yanasaidia mno hawa wanawake ni noma
Sorry sio wanawake tu bali woote.
Unaweza ajiriwa mahali usipokuwa makini ukaharibikia pale na hata kifo ukikipatia pale kwa kuingia kwenye tabia za ofisi.
 
Mimba nyingine ni za maofisini huko huko usishangae sana.
 
Sex imekuwa cheap sana maofisini hasa wanandoa wanaocheat its shocking and we need to see what is the problem at home!!!
 
Ndio maana hata kutembelea mwenza ofisini kwake sio afya kabisa kwa sasa. Unaweza kwenda kwa nia njema tu kuonyesha love, huku mijamaa inakung'ong'a tu.

Ngono imekuwa sehemu ya starehe, mtu aweza kufanya na yoyote, popote bila kujali hisia.
 
Hii issue ipo sana.
 
Tuliooa tunaumia sana na jinsi mambo yalivyo hivi sasa,but tuendelee kumuomba MOLA awanusuru wake zetu kwenye huo uchafu,nampenda sana mama watoto sijui nikisikia hayo mambo hali yangu itakuaje.
Amini ni wako peke yako brooo......hahahahahaaaa....
 
Sasa wewe umeandiks nini hapa??

Hehe, wakati mwengine si rahisi kunielewa. Lakini nilikuwa naongea kwa jumla hali yetu ilivyo na pia socially kwa mfano wa tabia mbovu kama hizi.
 
Mimi ningewagongea malango halafu nawauliza kuna shida gani mbona hakuna utulivu
 
Uchafu tu na zaidi kwa mwanamke. Afadhali hata mwanaume anaweza cum kwa muda mchache anaofanya hayo, sa mwanamke sijui anafaika nini kuwa screwed kwa hizo dakika zaidi ya kuchovywa, kupakwa na kuachwa na mangenye yake.
 
Back
Top Bottom