Laiti mngejua vinavyofanyika maofisini!

Laiti mngejua vinavyofanyika maofisini!

a wapi acha wewe kama ni kweli niambie ni sehemu gani hpa nchini. na ni ofisi gani kwa data zaid ili niamini
Kwahyo unataka nijitaaje ili ufanye confirmation ya ushahid wako?
 
Kwahyo unataka nijitaaje ili ufanye confirmation ya ushahid wako?
ndio maana niamini kuwa we ni mtumishi pale halafu dizain leo kaama watumishi walielewa mchezo nimesikia kauli nying za mafumbo huenda mchezo ulijulikana maana dunia haina siri
 
Kuna huyu jamaa ofisi yake iko ghorofani juu peke yake yaan anavikaza hivi vitoto vyanachuo balaa... Tatizo ni ushahidi wa jinsi ya kumkamata. Wakazwaji nao hawasemi
MAGOGONI Eeeeh?
Yule mangi muuza vocha kanipa story bana
 
Lazima itakuwa mkoani...head office hatukutani na office yeyote..huku bandari huku habari na kila watu wanakaa ofcn kwao.

Hata ukipita nje huwezi sikia chochote..isitoshe watu wanajiheshimu hawana tabia hizo..mkuu
 
Nadhani mtoa mada umechelewa tu kujua, pole dada...
Utazoea tu scene kama hizo, ulimwengu haubadiliki bali macho yako ndio hufunguka zaidi.
Hapa ni Afrika, tunamangana kama mambuzi!
 
Back
Top Bottom