God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Za leo wana MMU.
Leo bwana ni siku ya mapumziko ofisi nyingi za serikali ziko off.
Mimi leo nimekosa cha kufanya nikasema embu niende ofisini. Sasa kufika huko nikafanya vitu vyangu na Youtube inanishindisha mle ofisini.
Basi kuna ofisi moja opposite na mimi (TASAF), nilianza kusikia kama kelele ya mwanamke anagomba kumbe ndo walikua wanaanza majambozi.
Mimi uvumilivu ulinishinda, nilitamani nikawachungulie ikashindikana, kumbuka tuko kama watu wa 4 hivi. Nikaenda kwa braza mmoja aliniazima chaji walau nipige jicho la kiwizi lakini sikufanikiwa nikarudi nikachajisha simu yangu kisha nikatoka nje kwenda kujisaidia.
Wakati natembea zile mshikemshike zilikua zinapungua ili nisijue kinachoendelea. Mtu wa watu nikaenda toilet kumbe maji ya shida kwa bahati nzuri nkapata kidogo. Wakati najisaidia alikuja mtu akakojoa kidogo halafu akaondoka huku akivuta pumzi ya uchovu nikajua huyu ndio aliekua anafanya mchezo.
Ila kwa bahati mbaya sijamjua, nataka nifanyie kazi ile sauti ili nimtambue huyu kamanda maana ni hatari sana.
By the way hawa ni wanandoa maana ofisi yote watu wanaohusika humo sio chini ya 35years.
Hiko kitendo kimenisikitisha sana kweli mtu halindwi, maana hata ufanyeje atakusaliti tuu kama hakupendi. Sio mwanaume wala mwanamke yani viumbe wote ni shida.
Nawashauri mkiwafuma wapendwa wenu kwenye hivi visa wala msiogope. Just take easy maana ndio ulimwengu wa sasa.