Ni line ya voda vile vile pia kaka ananiambia akiipiga namba yangu anaambiwa hana salio wakati salio lipo.Haiwezekani kabisa kuna shida ya kimtandao mahali..mimi pia nina shida na line yangu nikiwa offline tu ukinipigia unaambiwa huna muda wa maongezi na voda wameshindwa kabisa kulitatua hili tatizo
Mkuu, hilo tatizo maana yake ni kwamba kumewekwa divergence kwenye simu yako ambayo ni namba ya kigeni , kwamba ukiwa haupo hewani ipige kwenye namba hiyo sasa lazima imwambie anaepiga hana salio.Haiwezekani kabisa kuna shida ya kimtandao mahali..mimi pia nina shida na line yangu nikiwa offline tu ukinipigia unaambiwa huna muda wa maongezi na voda wameshindwa kabisa kulitatua hili tatizo
Piga *#61# zote zisomeCheck hack Dm nikupe jinsi ya kucheki
Kawaida kivipi mkuu kwamba line moja kuwa na mmiliki zaidi ya mmoja ni kwaida?Mkuu hii ni issue ya kawaida na mtandao wa simu hauhusiki
Kumbe hili tatizo sio mimi tuu..na adhani pia namba yangu inaingiliana na nyingine kuna mtu juzi WhatsApp kanitumia risiti za malipo na maelezo marefu akini refer mimi kama mkuu wa chuoNi line ya voda vile vile pia kaka ananiambia akiipiga namba yangu anaambiwa hana salio wakati salio lipo.
Mimi simu yangu sio mtumba na sijawahi kuwa na simu hizo zilizotumika kabla nje au ndani ya nchiMkuu, hilo tatizo maana yake ni kwamba kumewekwa divergence kwenye simu yako ambayo ni namba ya kigeni , kwamba ukiwa haupo hewani ipige kwenye namba hiyo sasa lazima imwambie anaepiga hana salio.
Mara nyingi tatizo hili hutokea kwa watu wanaonunua simu za Mtumba (used abroad) kunakuwa na namba ipo tayari by default ,
Pia wakati mwingine hutokea mtu akipiga na ukiwa hupatikani inasema namba unayopiga sio sahihi , hili ni tatizo hilohilo
Haiwezekani sema mda mwingine wanajisahauMara kadhaa kaka akinipigia ananiambia mbona namba yako kuna mtu huwa anapokea.Basi nikawa napuuzia kuwa labda huwa anakosea. Ni line ambayo ina zaidi ya miaka 8 na nimesajili kwa kutumia kitambulisho cha NIDA
Basi juzi juzi jamaa mwingine ananiambia mbona namba yako kuna mtu mwingine anapokea ikipigwa.Ikabidi nianze kufuatilia.Nikaipiga namba yangu kutumia simu hiyo hiyo ilimo line ila kwa kutumia mtandao mwingine. Duuh jamaa akapokea na nikamsalimia na kukata simu.
Ikabidi niwapigie wenye mtandao na kuwaelewesha lakini wananijibu kwamba inawezekana nime forward call lakini mimi nikiangalia kwenye setting forward call ziko disabled.
Je waungwana nifanyeje maana ina onekana kabisa line moja inamilikiwa na watu wawili .