Lahaulaa! Msaada haraka!

Lahaulaa! Msaada haraka!

Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook

Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae

wewe janja sana wewe !!!
 
Ndo akome alomwambia nani kuwa mtoto wa kike huwa anatukanwa?anataka kuleta mambo ya ujafarai kwa shyrose banji!akale jeuri yake ili siku nyingine ajifunze kumuheshimu mwanamke.sijui anatokea kishumundu huyo,aakh...kanikera sana.

Yule Ajuza naye alizidi kung'ang'ania wajukuu. Siku zake zilikuwa zinahesabika
 
aendelee kutuma nyinginyinghi tu mwisho wataona ni matatizo ya mtandao
 
Ahsante sana wameelewa ila bado walinipigia wakilaumu kweli kweli. Sijui niwaambie vipi? Maan wanasema huyu mdogo wako hana adabu anatutusi halafu anasema ni virus!!!
(ii)anatutusi anawasingizia wengine kama wameiba simu yake!!!

Nikawajibu ngoja nimtafute mdogo wangu nimuulize vizuri...
Sasa sijui wameelewa au bado hawajaaelewa. Kwa namna navyowajua wazazi wetu hiyo ni issue !
Bado nahitaji zaid ushauri.

Aendelee kuwaambia kwamba ni kweli simu iliibiwa na ameshablock ile namba na kusajiri nyingine, sasa mambo yatakuwa sawa.., hawawezi wakaprove kama ni kweli simu haikuibiwa...., tena awaambie kwamba hii issue imempa shida sana sababu ni watu wengi sana wanampigia wanamlaumu kwahiyo wamsamehe na kumpa pole sababu kapata shida sana kuelewesha wengi waliokuwa kwenye phone.., kwahiyo badala ya kumlaumu wamuonee huruma.
 
wewe ni hatari,kama wewe ni she basi jamaa ajiandae kudanganywa na kama wewe ni he basi mama ajiandae kudanganywa,maana inaonesha jinsi gani ulivyo mtaalamu wa kutunga uongo,hongera sana

Hapana Mkuu mimi ni He na sio muongo kabisa lakini ninachoamini, kama ukweli utamuumiza sana nimpendaye ni bora nimdanganye kuliko kumwabia ukweli utakaomuumiza..
 
Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook

Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae

Perfect! Nadhani ni njia nzuri sana! Lakini aonyeshe kuwa amepigiwa simu na marafiki wengi wakitaka kufahamu kuwa kwa nini anawatukana (Hata hiyo tusi lenyewe linategemea) ndio akawafahamisha kuwa ameibiwa simu na kwamba ametoa taarifa polisi kwa kampuni ya simu kwa ajili ya kuifunga line yake! You better harry up and advice accordingly.
 
Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook

Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae

wazazi wake wamo humu ndani na wamesoma hii msg akipiga cm cjui itakuaje,..... hahahahaha
 
Ushauri wa kuibiwa simu ulikuwa mzuri but wazazi hawaamini lakini with time itaisha tu. Sasa wewe waambie ni kweli imeibiwa ama imeingia virusi ila ya virusi haijakaa vizuri sana. Ya kuibiwa ndio fresh. Sisitiza tu kuna wabaya wake wameiiba hiyo simu kwa suala la kumkomoa ndo maana wanatukana ovyo kumharibia mahusiano na ndugu ujidai hata wewe umeipata hiyo meseji. Yote haya ni uongo tu kwa ajili ya kuokoa jahazi lakini mdogo wako tabia yake ya kutukana ni mbaya
 
Imeshakula kwake. Hakuna msaada hapo zaidi ya kujaribu kuomba msamaha. Simu hiyo hiyo ndio anayoingia nayo kanisani, anaongea na wazazi wake, mpenzi wake...apate majuto kidogo
 
Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook

Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae
Awapigie (unfortunately keshawapigia) kwani anajua kuwa hao wezi waliwatumia wazazi wake hizo msg? Kwa nini wazazi wasishtuke? Hizo kamba bado hazina mashiko na ndio maana wazazi wameshituka
 
Lazima huyu ni toto tundu maana hata wazazi wenu wanahisi kuna jambo. Mshauri pia arekebishe tabia. I can not imagine atawaangaliaje siku atakutana nao!
 
Hapana Mkuu mimi ni He na sio muongo kabisa lakini ninachoamini, kama ukweli utamuumiza sana nimpendaye ni bora nimdanganye kuliko kumwabia ukweli utakaomuumiza..

lolest khaaa!!
 
Ahsante sana wameelewa ila bado walinipigia wakilaumu kweli kweli. Sijui niwaambie vipi? Maan wanasema huyu mdogo wako hana adabu anatutusi halafu anasema ni virus!!!
(ii)anatutusi anawasingizia wengine kama wameiba simu yake!!!

Nikawajibu ngoja nimtafute mdogo wangu nimuulize vizuri...
Sasa sijui wameelewa au bado hawajaaelewa. Kwa namna navyowajua wazazi wetu hiyo ni issue !
Bado nahitaji zaid ushauri.
Wewe ndio umekosea, issue unaijua halafu wanakupigia wazazi kukuuliza unawaambia ngoja nimpigie???????????? wewe ungesema hata mimi kuna mtu kanitumia ujumbe wa matusi ungekuwa umesawazisha
 
Mwambie aache matusi, hiyo si tabia nzuri na sasa ameumbuka nadhani atakoma na kuacha kama ni muungwana!!!!!!!!!!!! mwe, kaa, jaaa teh
 
Awapigie (unfortunately keshawapigia) kwani anajua kuwa hao wezi waliwatumia wazazi wake hizo msg? Kwa nini wazazi wasishtuke? Hizo kamba bado hazina mashiko na ndio maana wazazi wameshituka

Atasema kwamba ni watu wengi amekutana nao marafiki zake wanasema wamepokea ujumbe wa matusi, kwahiyo kuwapigia wazazi ni tahadhari wakitukunwa wasishangae sababu wengine waliokuwa kwenye inbox wametukunwa
 
Wewe ndio umekosea, issue unaijua halafu wanakupigia wazazi kukuuliza unawaambia ngoja nimpigie???????????? wewe ungesema hata mimi kuna mtu kanitumia ujumbe wa matusi ungekuwa umesawazisha
Ilikua sijaupata huu msaada.
Japo nami nlionesha kusikitika kwangu.
Sijui itakuaje? Ndio hivyo najitahidi kukusanya huu ushauri ili mdogo anusurike na radhi za wazee.
 
pole kaka jifunze matumizi ya simu sio kutukana
 
Awapigie simu wazazi wote awaambie yafuatayo
Kama wanajua technology.. awaambie simu yake imeibiwa na kuna rafiki yake kamwambia aliyeiba anatukana watu walio kwenye phonebook

Kama hawajui technology... awaambie kuwa kuna virus ameingia kwenye simu yake na anatengeneza message za matusi na zinajituma kwenye phonebook yote.., kwahiyo anapiga kuwapa taadhari wakitukanwa wasishangae

Mkuu umeniwahi nilifikiri hivyo pia. Kuomba samahani si rahisi vile bora atunge hadithi ambayo watakubaliana nayo. Ikiwezekana abadilishe namba ya simu.
 
Hapana Mkuu mimi ni He na sio muongo kabisa lakini ninachoamini, kama ukweli utamuumiza sana nimpendaye ni bora nimdanganye kuliko kumwabia ukweli utakaomuumiza..
Kaka avatar yaonesha upo juu!
Nkifika Bongo ntakutafuta maana umekua muhim humu JF na kwetu pia!
Thank u in advance.
 
Back
Top Bottom