Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

kwa experience yangu pale kwenye ufukara ndio huwa na kero nyingi za ma mkwe, lakini cha kushangaza na sisi 2kipata wakamwana 2nakuwa kama mama wakwe zetu, the story continues....,.,

Hio haikwepeki for its an ongoing circle kama pete ya ndoa... Unamfanyia jeuri Ma'mkwe na upatapo mkwamwana unaanza kuumia yeye akifanya ulofanya....
 
I always tell you that you are a wonderful person and am always happy that as time goes on you prove am right about what i think about you... Na kimbembe unacho dear all boys that means itabidi uweke nguvu ya ziada kuwaelewa ili walau upate hata mmoja ambae utam feel kama mwanao wa kumzaa, Mungu angekujalia hata wa kike mmoja... wana raha zao ajabu... My daughter is very young but in actions ni mdada for she is so eager to grow up anahisi kuna mambo anakosa.. I tell her nothing speacial huku...lol... of course aniamin for she thinks wakubwa we have all unlimited fun.... I know she is going to be trouble and it makes me very proud of her (sorry am not bragging, just sharing the experience)...
Wow kumbe una kasichana, basi tutaweza fanya mipango awe mkwe hahahahahah! hapo wewe huna presha coz hakuna mtoto wa kike anaesahau home
 
Wow kumbe una kasichana, basi tutaweza fanya mipango awe mkwe hahahahahah! hapo wewe huna presha coz hakuna mtoto wa kike anaesahau home

Nina kabinti mwaya.... Lazima wazazi tufanye mambo tuwakutanishe... Na kizazi cha dot com wakijua tumewachagulia watagoma kabisa... Dawa ni wangu aje holiday in the pretense ya kubadilisha mazingira aone atavutiwa na yupi... Na malezi gaga najitahidi kiasi changu kwa upande wa maadili - but binadamu sa nyingine huendeshwa na nature yake kuliko hata the way amelelewa... Kama wazazi we always hope they turn up to be beings we are rightly proud of as well as the society inayo mzunguka.....
 
Yah hilo ndilo la muhimu mwali! yote twamwachia Mungu tu
 
Yah hilo ndilo la muhimu mwali! yote twamwachia Mungu tu

Dalili nzuri saaana hii... Tunakubaliana almost in everything... Lucky them!...(the kids)...lol
 
Mie ninavyopendakusikilizwa sijui huyu mama itakuwaje maana kila kitu anataka asikilizwe yeye tu. hapo napo nijifanye mjinga nijipendekeze?
 
Mie ninavyopendakusikilizwa sijui huyu mama itakuwaje maana kila kitu anataka asikilizwe yeye tu. hapo napo nijifanye mjinga nijipendekeze?

LOL...LOL... Shantel hope you dont mind, umenifurahisha hivyo nimecheka saana...

Shantel kwa mtazamo wangu kama unapenda kusikilizwa saana, naamani mwanae hio kazi ataifanya vizuri zaidi... Kikubwa kama huwezi mhendo ni kukaa nae mbali kuepusha kukwazana... Best of lak gal
 
Ana kiherehere huyu mama sijawahi ona, jambo la kwanza na la kusikitisha kuna kaka wa huyu BF wangu alikuwa anaoa yule bride akaweka colour ya wedding pink, kwa hiyo matron na wadsimamizi na marafiki na ndugu wote wakavaa pink, Guess what! yeye alipenda kuvaa nguo ya kijani kwa hiyo akalazimishwa ukumbi upambwe kijani, bibi harusi kuingia mlangoni akagoma yaani alikaa nje mpaka wazee nawazee wakamshauri aingie ndani.Mama kama huyu uta mhandle vipi?
 
That is definitely war Shantel!!!.... Kwenda kubadilisha theme ya harusi yangu sababu anataka Kijani... Mungu wangu alafu KIJANI of all colors... Namuonea hurama huyo dada....Yaani umenikumbusha hadi hadithi (in fact its a movie) sijui kama you like watching movies but kuna movie Moja ya J-Lo inaitwa MONSTER IN LAW..

En ways in short Shantel huyo BF wako kama ndo mumejaliwa kuoana una bahati maana umemjua in advance... Mama wa namna hio anataka kuoonesha nguvu alonayo dhidi ya mwanae... Na huyo ukitaka kushinda hiyo vita usimuhusishe mwanae coz unamuumiza tu na sometimes ana stick na mamake hata kama anajua the Mom is wrong... Shantel huyo mama unafanya vitu in advance na unapiga kabisa marufuku kua utaki ahusishwe katika decisions zikusuzo wewe directly.... Itakua kazi kumkwepa but you try your best... Na ukweli ni kua a being kua Mtu mzima haina maana kua actions zake ni logical au kua ana busara...
 
Hata bday kama mmeamua kufanya wenyewe yaani kama kwenda mahala wawili atahakikisha muda wote anapiga simu kuulizia, looo huyu ni kiboko, ila keshajua mie sipendi mchezo na mtoto wake kiasi ana msimamo, ila si unajua mama ni mama kuna wakati inabidi niumie mimi
 
Shantel; Ana kiherehere huyu mama sijawahi ona, jambo la kwanza na la kusikitisha kuna kaka wa huyu BF wangu alikuwa anaoa yule bride akaweka colour ya wedding pink, kwa hiyo matron na wadsimamizi na marafiki na ndugu wote wakavaa pink, Guess what! yeye alipenda kuvaa nguo ya kijani kwa hiyo akalazimishwa ukumbi upambwe kijani, bibi harusi kuingia mlangoni akagoma yaani alikaa nje mpaka wazee nawazee wakamshauri aingie ndani.Mama kama huyu uta mhandle vipi?

Vipi huyo BF wako angeyasema hayo maneno juu ya mama yako mzazi ungejisikiaje? Chukulia ni mama yako ndo ana tabia kama hiyo ungedeal vipi naye? Juwa huyo ni mama wa BF na baadaye anaweza kuwa mkwe wako....... juwa jinsi ya kuhandle tabia maana huwezi kumbadili mtu mzima, anamjuwa huyo BF wako toka ana siku moja lazima umuheshimu. Ukipenda mwanae penda na mama yake. Ni ngumu umchukie mama yake BF wako na huyo BF wako alijuwe hilo mkakaa kwa Amani kwenye ndoa yenu huko baadaye. Labda kama ni mambo ya kufurahisha nafsi zenu tu na hamna mpango wa mda mrefu.

Unaonekana umeshakuwa na Negative altitude na huyo mama ya kusema anapenda kusikilizwa yeye zaidi... na wewe unapenda usikilizwe tuuuuuuuu !!!!!!!!! Siku ya siku na wewe utakuwa mama mkwe wa mtu mwingine na tabia yako inaweza kuwa mbaya zaidi ya huyo mama wa BF.

BTW, binadamu hatufanani tabia kwa hiyo kuna kuchukuliana masha yanasonga mbele.
 
Hata bday kama mmeamua kufanya wenyewe yaani kama kwenda mahala wawili atahakikisha muda wote anapiga simu kuulizia, looo huyu ni kiboko, ila keshajua mie sipendi mchezo na mtoto wake kiasi ana msimamo, ila si unajua mama ni mama kuna wakati inabidi niumie mimi

Nimekupata Shantel... Ila naona nawe unatakiwa ujiangalie vizuri maana umeshajenga mbonge la negativity na bado hajawa mkweo... Najua yote unayoongea ni kweli but ya nini kushindana nae??? Hata hivyo hayo ni mawazo/mtazamo na ushauri wangu, si lazima kufauata.
 
Vipi huyo BF wako angeyasema hayo maneno juu ya mama yako mzazi ungejisikiaje? Chukulia ni mama yako ndo ana tabia kama hiyo ungedeal vipi naye? Juwa huyo ni mama wa BF na baadaye anaweza kuwa mkwe wako....... juwa jinsi ya kuhandle tabia maana huwezi kumbadili mtu mzima, anamjuwa huyo BF wako toka ana siku moja lazima umuheshimu. Ukipenda mwanae penda na mama yake. Ni ngumu umchukie mama yake BF wako na huyo BF wako alijuwe hilo mkakaa kwa Amani kwenye ndoa yenu huko baadaye. Labda kama ni mambo ya kufurahisha nafsi zenu tu na hamna mpango wa mda mrefu. [/COLOR]

Unaonekana umeshakuwa na Negative altitude na huyo mama ya kusema anapenda kusikilizwa yeye zaidi... na wewe unapenda usikilizwe tuuuuuuuu !!!!!!!!! Siku ya siku na wewe utakuwa mama mkwe wa mtu mwingine na tabia yako inaweza kuwa mbaya zaidi ya huyo mama wa BF.

BTW, binadamu hatufanani tabia kwa hiyo kuna kuchukuliana masha yanasonga mbele.

Thank you for your post... But Ngo hakuna binti huongea vibaya kuhusu mama mkwe wake kwa the husband mpaka amuweke sawa kwanza kwa taratibu... Leo itakua eeh mama yako nae, kesho dah pale alinikwaza, kesho kutwa mpenzi naumia, siku zinavyozidi kwenda mwanaume mjinga anazidi kulainika mpaka mwishowe anakua completely upande wa the wife....
 
Akina dada na kina mama, mloolewa ama kutoolewa naamini na kutumaini kuwa ukisoma hii thread inaweza kukusaidia (si lazima) wewe kuweza muelewa Mama mkwe wako vizuri. Naomba basi tukumbuke na kuchukua busara zetu za ziada kua ni mzaa chema na kuwa na wewe ni mwanamke yatakufikia tu mwanao atapokua mkubwa kiasi cha kuoa.. Hivyo jua she is threatened by you basi kikubwa wewe hapa ni kumvumilia (mradi asivuke mpaka) mana mnaposhindana/hitirafiana mara kwa mara unamuumiza pia hubby…

Sababu zinazo fanya most Mama mkwe kukuchukia/kutokupenda/kutokukubali;

  1. Yeye ndie mama wa mumeo, kamfahamu mumeo toka hajakabidhiwa kwake na babake akiwa hana uhai wowote mpaka hapo ulipomkuta akiwa tayari ana miaka zaidi ya 27 (maybe) and onwards… Hivyo katika mawazo yake huyu mama ni Who does she think she is thinking kwamba anaweza mteka mwanangu kirahisi rahisi…
  2. Mara nyingi most watoto wa kiume hupendwa saaana na mama zao.. huo upendo huwajenga karibu sana na most guys hua wanaenda hata confide mambo yao kwa mama zao because at that time she is the most prominent woman in his life.. Na kama tuelewavyo mapenzi kitu kingine once akipata mwanamke kampenda na kumuoa automatically mambo yanabadirika na hata ajitahidi namna gani huyo kijana lazima mama ataona tu utofauti – Basi huona wewe binti umenyang’anya privilege yake..
  3. Akina mama wengi hasa wenye tabia za ovyo ovyo hufanya mambo mengi kwa waume zao.. atamlisha kila uchafu, atamuendea kwa kila mganga, sometimes humuendesha mumewe kama gari bovu, wengine hutumia njia zozote zile mumewe kutokua na nduguze hata wazazi – Basi pale mtoto wake wa kiume anapopata mke ndo ana realize kua mtoto wake yawezekana atafanywa na kuchezewa vibaya kama babake alivyomfanyia…Mkuki kwa ngurue…. Hi indo huwachanganya kabisa…
  4. La mwisho (but not limited) na muhimu ukweli ni kwamba wewe ni mwanamke…. After all; all women tend to hate each other especially if they have the attention of the same man – wote wawili (mke na mama) wanataka kuonesha kwamba wao ni bora zaidi kwa hio mwanaume wakisahau kua kati yao hakuna mshindi, maana wote wana umuhimu na nafasi tofauti kwa huyo mwanaume….

JF Members Please comment….

Safi sana.
 
Heri mmejisemea na kujijibu wenyewe. If you live with your mother under the same roof with your wife, know that it's like you are married to two women. Hahahahahaaaaaaaaa! They will behave the same and solutions to their problems will be the same, but you will get slightly different services from them.

CIAO!
 
Heri mmejisemea na kujijibu wenyewe. If you live with your mother under the same roof with your wife, know that it's like you are married to two women. Hahahahahaaaaaaaaa! They will behave the same and solutions to their problems will be the same, but you will get slightly different services from them. CIAO!

Interesting observation...
 
Jinsi unavomuelewa mama mkwe wako si jinsi mtu mwingine atakavomuelewa mama mkwe wake, kuna wa mama mkwe wa baya wewe, yuko radhi hata akuue so kwa swala hili, mimi binafsi na weza sema naishia hapa. Kama wewe una mkwe mzuri muombee tu na wengine pia wajue la kufanya. Asipo kua mkorofi atakua na roho mbaya, asipokua mbaguzi na mwenye wivu basi mchawi, let say anakuulia watoto kila unapozaa au mimba zinatoka kwa mauzauza, hapo unataka umuele kiaje waaii.
 
Back
Top Bottom