AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,113
- Thread starter
- #161
Jinsi unavomuelewa mama mkwe wako si jinsi mtu mwingine atakavomuelewa mama mkwe wake, kuna wa mama mkwe wa baya wewe, yuko radhi hata akuue so kwa swala hili, mimi binafsi na weza sema naishia hapa. Kama wewe una mkwe mzuri muombee tu na wengine pia wajue la kufanya. Asipo kua mkorofi atakua na roho mbaya, asipokua mbaguzi na mwenye wivu basi mchawi, let say anakuulia watoto kila unapozaa au mimba zinatoka kwa mauzauza, hapo unataka umuele kiaje waaii.
Mamushka sina maana kua Mamamkwe wangu ni muelewa ndio maana nikapost hii thread... Lah! Sababu ya mimi kubwa kupost ni kwamba ndio ukweli wenyewe for most of us dadaz/mamaz hua tunajipanga shari mapema kabla hata ya kuonana na mkwe na kumjua alivo just because the majority wapo hivo... Inakua sia fair... na hata hivo IMO naona hamna haja ya kushindana naye, though kuna mipaka haitakiwi avuke!