Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

Kwenye ile project ndio maana i made a request of a Lawyer lol!!

lol..Mimi mbona read all the signs and look from every angle...lol... Nikashangaa why a busy lady.... nika apply my highlighted statement and understood...
 
Sasa FP wamama kama mama yako ni exceptions saaana... Na huyo mama ina maana hata kwa mama mkwe wake kulikua na full respect... maana she understands na ni muelewa.. Kila siku kwa wanenu kufuata nini???? Na nakubaliana nawe moja kwa moja wakina mama walowengi wakutaka kila saa kuja ishi hapo ndo wale ambao walikua wanasumbua waume zao sasa anahaha ili tu am protect mwanae...

tena mamangu ukimbana sana kuwa hataki kuja kwenu anauliza kwenu anakuja kufanya nini? yeye anasema kwake ni nyumbani, so sisi ndo tunapaswa kwenda nyumbani, siyo yeye kwenda maporini kuzurura. wajukuu anasema wakamtembelee, siyo yeye kutembelea wajukuu.......... kuna siku tulikaa na mdogo wangu (wa kike) tutaanza kujadili kwa nini mama yetu hataki kuja kwetu, na tukamwambia kuwa tunajisikia vibaya sana ambavyo hataki kututembelea, yeye akatuambia kuwa siyo vizuri kupenda kwenda kwenda kwa watoto, wanahitaji kujenga maisha yao wenyewe kadiri wanavyotaka. maana kama mzazi ukifika kwa watoto lazima utaona kuna vitu havipo sana, utaleta mambo yako maana unaona ni watoto tu kumbe unawakwaza
 
FP Utanisamehe kusema hili, mama yako I believe ndo wale mabinti walotoka katika familia ambazo zimefundwa kwa tamaduni na dini... Ukichanganya hivi vitu unapata recipe nzuri saaana (sio lazima awe analala kanisani/msikitini - but ana uelewa unaomfanya awe na busara) Aisee hata kama hujafanana nae jaribu walau ufanane nae kwa tabia... for she sounds like a great Woman... And if your dad is appreciative I believe deep down he knows he is lucky... I hope you are proud of her...

Kimbembe kwa wanaume wanao oa sasa.....
 
Nimeipenda hii... Ni kinamama wachache sana wenye uelewa kiasi hiki.Wengi wanapenda sana kucontrol maisha ya watoto wao mwisho wa siku ndo mikwaruzano iso ya lazima.
 
FP Utanisamehe kusema hili, mama yako I believe ndo wale mabinti walotoka katika familia ambazo zimefundwa kwa tamaduni na dini... Ukichanganya hivi vitu unapata recipe nzuri saaana (sio lazima awe analala kanisani/msikitini - but ana uelewa unaomfanya awe na busara) Aisee hata kama hujafanana nae jaribu walau ufanane nae kwa tabia... for she sounds like a great Woman... And if your dad is appreciative I believe deep down he knows he is lucky... I hope you are proud of her...

Kimbembe kwa wanaume wanao oa sasa.....

Ni kweli Asha D. katika kukaa kwangu nyumbani kwa wazazi wangu sikuwahi kuona babu yangu mzaa mama akaja kwetu. na tulikuwa tukimwuliza mbona babu huji kutembea kwetu anauliza kwenu kuna nini? ila kila mwaka alikuwa anadai wajukuu wote waende kwake. akina mama wao walizaliwa 8, sasa babu akawa anasema akianza kuzungukia wote hao itakuwaje? kwa hiyo njia rahisi ni nyie kwenda kwake. bibi yangu alikuwa anakuja akiumwa au akidanganywa kuna mtu mgonjwa kwetu. na alikuwa anachekesha sana, maana bibi akija kwenu tu, andaeni kabisa nauli ya kurudi. kuna siku mama alimnyima nauli ili abaki, mbona tulimkimbizia stendi maana mama alisema atatutia aibu huyu mzee. kwa hiyo maamini pia inategemea mazingira uliyokulia.
hata wifi za akima mama yangu, wanaelewana sana na walikuwa wanaenlewana sana na wakwe zao.
Dini pia inachangia sana, maana pale kwa dini siyo mchezo...............
 
Thanx AshaD kwa kweli mbona nitakoma mie na midume yangu, ila sitashindwa kutumia akili zangu kuishi vizuri na wakwe zangu, mie mama mkwe keshatangulia mbele za haki wala sikuwahi kumwona kwa hiyo hilo halijanipata sababu wamama wadogo wala jamaa hawapi nafasi ya kunibugudhi, pamoja na hayo naishi nao kwa upendo na ushirikiano kwa kila kitu. Kusema kweli upande wa mume wangu wananipenda mpaka nasikia raha.na niko mstari wa mbele kwenye kila shida na raha wanazokumbana nazo.
 
FP itabidi unitajie ukoo wenu nianze kutafuta vacancies za wadogo na ndugu walotulia.....
 
kama una binti aliyetulia mbaye yupo under 25 tuwasiliane, maana last born wetu ambaye ndo kaka yetu pekee ana 27. yaani kila siku tunaomba apate mke mwema, maana familia yetu ipo so close, tunatamani tupate wifi ambaye atatufanya tuendelee kuwa close. maana wifi ana power yake na hatutataka kaka yetu afikie wakati achague ndugu au familia yake.
 
kama una binti aliyetulia mbaye yupo under 25 tuwasiliane, maana last born wetu ambaye ndo kaka yetu pekee ana 27. Yaani kila siku tunaomba apate mke mwema, maana familia yetu ipo so close, tunatamani tupate wifi ambaye atatufanya tuendelee kuwa close. Maana wifi ana power yake na hatutataka kaka yetu afikie wakati achague ndugu au familia yake.
:a s 103::a s 103::a s 103:
 
Thanx AshaD kwa kweli mbona nitakoma mie na midume yangu, ila sitashindwa kutumia akili zangu kuishi vizuri na wakwe zangu, mie mama mkwe keshatangulia mbele za haki wala sikuwahi kumwona kwa hiyo hilo halijanipata sababu wamama wadogo wala jamaa hawapi nafasi ya kunibugudhi, pamoja na hayo naishi nao kwa upendo na ushirikiano kwa kila kitu. Kusema kweli upande wa mume wangu wananipenda mpaka nasikia raha.na niko mstari wa mbele kwenye kila shida na raha wanazokumbana nazo.

I always tell you that you are a wonderful person and am always happy that as time goes on you prove am right about what i think about you... Na kimbembe unacho dear all boys that means itabidi uweke nguvu ya ziada kuwaelewa ili walau upate hata mmoja ambae utam feel kama mwanao wa kumzaa, Mungu angekujalia hata wa kike mmoja... wana raha zao ajabu... My daughter is very young but in actions ni mdada for she is so eager to grow up anahisi kuna mambo anakosa.. I tell her nothing speacial huku...lol... of course aniamin for she thinks wakubwa we have all unlimited fun.... I know she is going to be trouble and it makes me very proud of her (sorry am not bragging, just sharing the experience)...
 
kama una binti aliyetulia mbaye yupo under 25 tuwasiliane, maana last born wetu ambaye ndo kaka yetu pekee ana 27. yaani kila siku tunaomba apate mke mwema, maana familia yetu ipo so close, tunatamani tupate wifi ambaye atatufanya tuendelee kuwa close. maana wifi ana power yake na hatutataka kaka yetu afikie wakati achague ndugu au familia yake.

Naku PM Mpenzi wasije chakachua..... Mabinti wengi kweli single... Na Lizzy akiona hiii habari...... Nisiseme sana....
 
ah ah ah umenichekesha sana kuna story moja tulipewa kanisani"Kuna dada mmoja aliolewa na akawa anaishi na mama mkwe wake,yani walikuwa hawaelewani hata kidogo,kila siku mume anaamua kesi kati ya mkewe na mama yake,kiukweli jamaa huyu alichoka na kesi so nyumba nzima ikawa ni mchuno tu,Mke nae akaona mama mkwe anaharibu ndoa yake,basi akapitiwa na shetani hao wakaenda kwa mganga,"Mganga nakaa na mama mkwe wangu kwakweli nimemchoka,anaharibu ndoa yangu sina amani nae kabisa naomba umuuwe.,"Mganga akaampa dawa,"hii weka kwenye chakula kila siku na baada ya miezi 3 mama mkwe wako atakufa lkn ili kuonyesha kwamba ww Uhuusiki na kifo hicho anza kumuheshimu mama mkwe wako,msikilize na kuomba msamaha pale unapokosea,mfulie nguo na kumwandalia chakula sawa eeeh?,"sawa"Mdada huyo akaenda nyumbani akabadilika,akawa msikivu kwa mume na mama mkwe wake,kila siku anamwandalia chakula na kumwekea ile dawa,maisha kwa ujumla yakabadilika akawa anapendana sana na mkwewe,mwisho wa siku akaona dawa inakaribia kuisha that means mama mkwe atakufa na wakati wanapendana sana,akaenda kwa mganga"mganga naomba usimuue tena mama mkwe wangu maana tunapendana sana yani plz nakuomba fanya kila njia plz"mganga akamjibu usijali ile dawa niliyokupa ni ya vitamin tu hawezi kufa nenda kwa amani".
Hadithi hii inatufundisha tuwe tunaona makosa yetu kwanza na mapungufu yetu na tujaribu kujirekebisha sisi kwanza,ndio wenzetu nao waone mafanikio yetu na kuiga kupitia kwetu,Thx for useful post Asha D.

ha ha ha ha ha tamu sana hii.. hii hadithi alikufundisha nani vile?
 
Back
Top Bottom