Wengine hawapendi shingo feni na macho balbu ya wanaume ndio maana wanaamua kuficha miguu yao kwa suruali..
hamna lolote...
Wengine hawapendi shingo feni na macho balbu ya wanaume ndio maana wanaamua kuficha miguu yao kwa suruali..
Hahahah hivi wewe mzabzab sio kunguru asiyefugika wewe kweli lol! Mguu upo ...!
Sijasema wavaa Suruali hawaolewi wala hawapendwi.wapi ww mie navaa suruali toka utoto,nina ndoa yangu na nailea vizur tuu,figure yangu bomba,miguu mizur so kuvaa suruali c kuficha malazi.ila yaonekana mtoa mada umelijua jiji uzeen.ni mambo ya kawaida tu.na cku hiz bora mvaa surual anaheshima ya kusitir figure yake kuliko wavaa sket tena vimin vile vya hatar usipime.
Tunaficha stretchmarks! Alaaa!
Sketi zina heshima yake.Ila kuna zingine zina mipasuko hiyo acha tu!!!!!!!!!!mie mwanamke akivaa suruali my first asumption ni kwamba hana miguu mizuri....mwanamke yoyote yule mwenye miguu mizuri atapendelea kuvaa skirt.
also lazima kiwe na tofauti bwana sasa mke na mume wote trouser ndio nini....vaa kama queen bwana ndio unakuwa mwanamke wa kweli.
Wengine hawapendi shingo feni na macho balbu ya wanaume ndio maana wanaamua kuficha miguu yao kwa suruali..
siyo kweli coz msichana hata kama amevaa charanga had miguuni kama hana mvuto hana tuu siyo ndo kigezo cha kupendwa.then huja analyse sababu kuna suruali za vitambaa,skin jeans wenyewe wanasema n.k then kuna mini skirt,macharanga n.k so we unaongelea upande upi mkuu.no research no right to talk!
Kila ndoa na principles zake.kuna wengine wake zao wakivaa sketi wakati wa kutoka out wanarudishwa ili wakavae nguo nyingine. ila wakisikia mlangoni mama mkwe anapiga hodi, wife anaaambiwa kimbia ukavae kanga mama asije akakuona umevaa suruali.Duh!wapi ww mie navaa suruali toka utoto,nina ndoa yangu na nailea vizur tuu,figure yangu bomba,miguu mizur so kuvaa suruali c kuficha malazi.ila yaonekana mtoa mada umelijua jiji uzeen.ni mambo ya kawaida tu.na cku hiz bora mvaa surual anaheshima ya kusitir figure yake kuliko wavaa sket tena vimin vile vya hatar usipime.
Sketi zina heshima yake.Ila kuna zingine zina mipasuko hiyo acha tu!!!!!!!!!!
inaelekea miguu ndo kaugonjwa kako ee! haa haa haa!mie mwanamke akivaa suruali my first asumption ni kwamba hana miguu mizuri....mwanamke yoyote yule mwenye miguu mizuri atapendelea kuvaa skirt.
also lazima kiwe na tofauti bwana sasa mke na mume wote trouser ndio nini....vaa kama queen bwana ndio unakuwa mwanamke wa kweli.
Unajua kuna wanaume wanavutiwa na hizi stretch marks?Tunaficha stretchmarks! Alaaa!
haa haa umeona ee!naona anataka wa TEMBO....
inaelekea miguu ndo kaugonjwa kako ee! haa haa haa!
Unajua kuna wanaume wanavutiwa na hizi stretch marks?
Pamoja mkuu, sketi ndio mpango mzima.hapa tunaongelea zile sketi ambazo mwanamke akisimama sketi inafunika magoti but the leg upo wazi na hamna mpasuo wa mitego...unataka ile classic female look ...simple but beautiful.
hahha ndio bwana mie ugonjwa wangu ni:
miguu, breasts, long fingers, rangi nyeupe, pua, kwapa na urefu
Kweli wanawake wanaovaa suruali mara nyingi wanakasoro na hawajiamini japo sio wote.
Mwanamke mvaa Sketi anamvuto sana, kwanza anakufanya mwanaume ujione mwanaume wa ukweli.