Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,505
- 911,249
Code:
[LIST=1]
[*]Yeye ndie mama wa mumeo, kamfahamu mumeo toka hajakabidhiwa kwake na babake akiwa hana uhai wowote mpaka hapo ulipomkuta akiwa tayari ana miaka zaidi ya 27 (maybe) and onwards… Hivyo katika mawazo yake huyu mama ni Who does she think she is thinking kwamba anaweza mteka mwanangu kirahisi rahisi…
[*]Mara nyingi most watoto wa kiume hupendwa saaana na mama zao.. huo upendo huwajenga karibu sana na most guys hua wanaenda hata confide mambo yao kwa mama zao because at that time she is the most prominent woman in his life.. Na kama tuelewavyo mapenzi kitu kingine once akipata mwanamke kampenda na kumuoa automatically mambo yanabadirika na hata ajitahidi namna gani huyo kijana lazima mama ataona tu utofauti – Basi huona wewe binti umenyang'anya privilege yake..
[*]Akina mama wengi hasa wenye tabia za ovyo ovyo hufanya mambo mengi kwa waume zao.. atamlisha kila uchafu, atamuendea kwa kila mganga, sometimes humuendesha mumewe kama gari bovu, wengine hutumia njia zozote zile mumewe kutokua na nduguze hata wazazi – Basi pale mtoto wake wa kiume anapopata mke ndo ana realize kua mtoto wake yawezekana atafanywa na kuchezewa vibaya kama babake alivyomfanyia…Mkuki kwa ngurue…. Hi indo huwachanganya kabisa…
[*]La mwisho (but not limited) na muhimu ukweli ni kwamba wewe ni mwanamke…. After all; all women tend to hate each other especially if they have the attention of the same man – wote wawili (mke na mama) wanataka kuonesha kwamba wao ni bora zaidi kwa hio mwanaume wakisahau kua kati yao hakuna mshindi, maana wote wana umuhimu na nafasi tofauti kwa huyo mwanaume….
[/LIST]
But if the wife does things to please God and not necessarily an in-law mom or even a husband........the Lord will mellow the stubborn heart of the in-law...................only God can offer peace of GOD to both sides................................migongano iliyopo is about controlling that man...............who meant so much in the lives of either side...............
na watu wote duniani wanaohangaika kuwatawala wenzao ukiwafuatilia kwa karibu wana.......low self-esteem and are attempting to cash in on those relations to fill that nagging emptiness in their miserable lives.............................do not be awed by materialistic possessions...........................................even the rich also cry............................
But sometimes it is worthwhile to keep that notorious in-law mom at bay.......................wanandoa wasiendekeze kuishi na wazazi wao...................it only breeds trouble as two different generational homo sapiens are hemmed in to merge different cultural expectations..................