Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

hii imenichekesha sana, kwa hiyo siku hizi wadada wanaomba kuolewa kusiko na mama mkwe? God forbid!

lol... FP Sio hivyo mpenzi.... Ila ukweli unabaki kua ni nafuu zaidi... kweli mwaya GOD forbid!!!
 
lol... FP Sio hivyo mpenzi.... Ila ukweli unabaki kua ni nafuu zaidi... kweli mwaya GOD forbid!!!

nasema God forbid Asha D maana wengine hapa ni akina mama wakwe watarajiwa........................... tusije kuombewa nasi tukutwe hatupo! LOL!
 
aaaah Lizzy sasa huko kuchakachua.... Kumsikia mamake FP ushachanganikiwa kisa unataka kudeka ufyele....lol

yaani tena atadeka kuanzia kwa mama mkwe mpaka mawifi.................... maana bro ni last born! si patamu hapo?
 
wengine mnatufanya tuingie ndoani kwa kujihami,siku natambulishwa kwa mama mkwe wangu nitakuwa na macho ya kushuku kwanza lol,kwa kweli i will always be myself,sijaingia ndoani ila kama kuna kuishi na mama mkwe nyumbani hii itakuwa ngumu kwangu sidhani kama ni jambo ambalo ningependelea...ndio mwanzo wa kuchunguzana na kusengenyana!kila mtu awe na kwake awe na uhuru wa kufanya apendayo bila kumbugudhi mwengine,nitampenda mama mkwe wangu but she will remain distant friend sidhani kama tukikaa pamoja hatutachokoana lol!
 
Partener naona hunipendi kama unavyonidanganyaga!!!

FP niunganishie mwaya.....hutojuta!!

aaaah Lizzy yamekua hayo..... basi tusigombane kwa ajili ya mwanaume.... Inshallah mimi nakuachia....:A S-cry:
 
wengine mnatufanya tuingie ndoani kwa kujihami,siku natambulishwa kwa mama mkwe wangu nitakuwa na macho ya kushuku kwanza lol,kwa kweli i will always be myself,sijaingia ndoani ila kama kuna kuishi na mama mkwe nyumbani hii itakuwa ngumu kwangu sidhani kama ni jambo ambalo ningependelea...ndio mwanzo wa kuchunguzana na kusengenyana!kila mtu awe na kwake awe na uhuru wa kufanya apendayo bila kumbugudhi mwengine,nitampenda mama mkwe wangu but she will remain distant friend sidhani kama tukikaa pamoja hatutachokoana lol!

Raha jipe mwenyewe dear... Unaamua tu kusuka au kunyoa....lol
 
aaaah Lizzy yamekua hayo..... basi tusigombane kwa ajili ya mwanaume.... Inshallah mimi nakuachia....:A S-cry:
Basi mpenz lets stick to the original plan...
Hata hivyo itakua raha maana sitakua na
mshindani....yani full kujiachia!!!
 
Basi mpenz lets stick to the original plan...
Hata hivyo itakua raha maana sitakua na
mshindani....yani full kujiachia!!!

Finally.... :cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:
 
Me is happy when You is happy!!!
Sasa lini nijiandae...au bado bado??

Dear it always pays kua ready.... Wee jiandae.. hakikisha uko ready at all time.... me too me hapi if you hapi...
 
Shukran wapendwa kwani nimepata ma ujuzi fulani kupitia jukwaa hili nitayafanyia kazi nikibahatika kumpata mama mkwe
 
Back
Top Bottom