Mwanamke anaevaa suruali huwa hana maadili ya Mungu (kidini) waislamu na wakristo hawaruhusu.Wanaruhusuwa na baadhi ya walokole feki ambao wako kifedha zaidi.Mimi kwangu ktk kutafuta mke hicho pia kilikuwa kigezo pia kwamba mvaa suruali kwangu hana nafasi kwa kuwa hana mvuto.
Tehe teh teh!!!!!!!!!!Siwezi kukataa!ila ukiniuliza kwanini, sina jibu.hii michirizi ina sumaku inayovuta mioyo ya kiumehivini kwa nini? na wewe ni mmoja wao Maubero?
mie mwanamke akivaa suruali my first asumption ni kwamba hana miguu mizuri....mwanamke yoyote yule mwenye miguu mizuri atapendelea kuvaa skirt.
also lazima kiwe na tofauti bwana sasa mke na mume wote trouser ndio nini....vaa kama queen bwana ndio unakuwa mwanamke wa kweli.
Sio kweli mzabzab, kuna wanawake wengine wana miguu mizuri tu lakini wanapenda kuvaa suruali, binafsi napenda kuvaa vyote sketi na suruali bt napenda sana kuvaa suruali coz inanifanya nijisikie na kujiona niko safe na very comfortable
wapi ww mie navaa suruali toka utoto,nina ndoa yangu na nailea vizur tuu,figure yangu bomba,miguu mizur so kuvaa suruali c kuficha malazi.ila yaonekana mtoa mada umelijua jiji uzeen.ni mambo ya kawaida tu.na cku hiz bora mvaa surual anaheshima ya kusitir figure yake kuliko wavaa sket tena vimin vile vya hatar usipime.
Tatizo hawataki kukubalina na hilo swala.Ukweli unabaki pale pale kwamba suruali sio vazi la mwanamke
ngoja nisiandikie mate wakati wino ninao..Mwanamke alievaa sketi ni rahisi kupendwa kuliko wavaa suruali.
Kwa mwanamke alievaa suruali mwanaume anaumiza hisia nyingi zaidi kuliko mwanamke alievaa sketi.
Mwanamke alievaa suruali anampa maswali mengi sana mwanaume kabla hajamtokea.!!!
ngoja nisiandikie mate wakati wino ninao..
Anayepinga na apinge sasa!
Tehe teh teh!!!!!!!!!!Siwezi kukataa!ila ukiniuliza kwanini, sina jibu.hii michirizi ina sumaku inayovuta mioyo ya kiume
huyo suruali amekua kama kichekesho.
Mwenye sketi kwanza huchoki kumwangalia, anamvuto sana.!!
Hata hii ni skirt... Sijui mtoa mada anamaanisha skirt gani?????
kama nilivyosema...kuna exceptions jamani ila majority ya ladies with a gud legline atapenda aonyeshe simple as that. sasa kama wewe u fell comfy kwenye suruali basi poa tuu ila sasa tutafutane basi na mie nipate kuiona miguu hiyo lol
Hata hii ni skirt... Sijui mtoa mada anamaanisha skirt gani?????
mhm...exceptions zipo ila majority of women wanaokuwa na miguu mizuri flaunt theirs...ssa kama wewe unaifungia shauri lako....alafu ebu nitafute basi nipate kuiona
Unataka kuona miguu lol! Kwa jinsi ulivyo lazima utanitamani
Njoo kesho rock beach jf mwanza wing tutakapokuna utaiona