idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
Mwanamke anaevaa suruali huwa hana maadili ya Mungu (kidini) waislamu na wakristo hawaruhusu.Wanaruhusuwa na baadhi ya walokole feki ambao wako kifedha zaidi.Mimi kwangu ktk kutafuta mke hicho pia kilikuwa kigezo pia kwamba mvaa suruali kwangu hana nafasi kwa kuwa hana mvuto.
ni kweli mwanamke mvaa suruali anaonekana mwanamke wa kustarehe tu.
Hata kama sio.!!!