matumbo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 7,224
- 3,958
mmmmh:coffee::coffee::coffee::coffee:
Wanawake wakivaa sketi wanavutia saan kuliko surualiSketi zina heshima yake.Ila kuna zingine zina mipasuko hiyo acha tu!!!!!!!!!!
si kweli kama mzuri mzuri tu na si suruali wala scat fikilia tena au rudi darasani
kwanza mwanamke akivaa sketi anakufanya ujiamini zaidi.!!Wanawake wakivaa sketi wanavutia saan kuliko suruali
kumbe bado mpo wenye tabia pendwa?Na sie wavaa magauni marefu mnatuweka kundi gani! Au ndo hivyo tuhesabu maumivu?:A S 20:
Na sie wavaa magauni marefu mnatuweka kundi gani! Au ndo hivyo tuhesabu maumivu?:A S 20:
Unataka kuona miguu lol! Kwa jinsi ulivyo lazima utanitamani
Njoo kesho rock beach jf mwanza wing tutakapokuna utaiona
Na hivi unapenda kugegeda.... leo utataka ukaone miguu yote lol!
hahha ndio bwana mie ugonjwa wangu ni:
miguu, breasts, long fingers, rangi nyeupe, pua, kwapa na urefu
mi ugonjwa wangu ni ---- akiwa amevaa sketi ndo ananiuwa kabisa
Ngoja miye nisome novel yangu. Nimevaa gauni lakini usafiri ukiuona utajikojolea mwenyewe. Navaa gauni kuogopa kusumbuliwa na wasiotulia.