Jamani muwe mnatofautisha mwanamke anayejiuza kwenye public a.k.a changudoa na mwanamke ambaye wala hawazi kutongozwa wala kuwa na wanaume atembeapo. Kama lengo ni kutongozwa na kupata wanaume basi lazima mhusika atavaa ili aonekane vizuri viungo vyake apate watongozaji ila kama uko na mishe zako huwezi jali utavaa hata trouser yako na kazi zinaenda. Mie skirt na magauni ni kanisani au nikiwa na mitoko ya maana. Nikiwa mtaani kujenga taifa full trouser

hii mada inanihusu sana yan...maana nna miguu mibaya cped kuionyesha...vazi langu kubwa trouser...bt pepla say watu watakuzoea ulivyo..so bora uvae tu sket hata kama unamiguu kama kuni za nyongeza,wa2 watakuzoea hvyo hvyo
siyo kweli coz msichana hata kama amevaa charanga had miguuni kama hana mvuto hana tuu siyo ndo kigezo cha kupendwa.then huja analyse sababu kuna suruali za vitambaa,skin jeans wenyewe wanasema n.k then kuna mini skirt,macharanga n.k so we unaongelea upande upi mkuu.no research no right to talk!
Kila mtu ana uhuru wa kusema lakini sio kila uchofikiria au kuota siku hiyo ukasema ukidhania kila mtu akubaliane na wewe.
hahahahha...
Natania bhana..
mie mwanamke akivaa suruali my first asumption ni kwamba hana miguu mizuri....mwanamke yoyote yule mwenye miguu mizuri atapendelea kuvaa skirt.
also lazima kiwe na tofauti bwana sasa mke na mume wote trouser ndio nini....vaa kama queen bwana ndio unakuwa mwanamke wa kweli.
We me na miguu mizuri tena sana lakini navaa sana trouser acheni hisia potofu tena most wenye miguu mizuri huwa hawapendi kuonyesha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Mwanamke alievaa sketi ni rahisi kupendwa kuliko wavaa suruali.
Kwa mwanamke alievaa suruali mwanaume anaumiza hisia nyingi zaidi kuliko mwanamke alievaa sketi.
Mwanamke alievaa suruali anampa maswali mengi sana mwanaume kabla hajamtokea.!!!