Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,464
- 7,257
Wote ni ushamba tu wa men wa kibongo binti kuvaa sketi haimaanishi ndo mke mwema,ila ndo malezi walopewa wanaume hawa kuwa mke ni sketi kufua kupika kupiga deki kuzaa na kulea watoto kama mama zao walivyofanya wamesahau hii ni 21 century
ndio mmepitiliza hadi nguo za chumbani na mumeo mnavaa barabarani? nguo za kuendea disco mnaendea kazini? pumb..
vu zenu nyote mnaovaa vinguo vya kuonyesha mauongo, wengi mnaishia kugegedwa na kugeuzwa nyumba ndogo.mtu unavaa nguo unashindwa kumtofautisha na kahaba wa jolt,kimboka au ambience corner bar au shivars.
Aaaaaa!!!!! Hapo hmna sketi huyo amevaa lakitambaa.!!Kama huyuView attachment 91982
sketi zina mvuto wake jamani mi nilimpenda mke wangu kwa sket alizokuw anapiga akitupia.na suti nilipagawa sikuitamani tena suruali maana mguu wa bia na sketi vinakwenda sambamba. mbona nilitangaza ndoa fasta...... any way kila mtu na mipigo yake,ila kwangu sketi,vitenge ndio nyumbani
ndio mmepitiliza hadi nguo za chumbani na mumeo mnavaa barabarani? nguo za kuendea disco mnaendea kazini? pumb..
vu zenu nyote mnaovaa vinguo vya kuonyesha mauongo, wengi mnaishia kugegedwa na kugeuzwa nyumba ndogo.mtu unavaa nguo unashindwa kumtofautisha na kahaba wa jolt,kimboka au ambience corner bar au shivars.
mhm interesting....so 21st mini skirt skin tut watongozwe wauze papuchi wagegedwe alafu watupwe?
Kwan c ndiyo tabia yenu akili zenu ziko kwenye papuchi
Aaaaaa!!!!! Hapo hmna sketi huyo amevaa lakitambaa.!!
Skirt inanibamba kwakweli, ninapo kutana na mdaada mwenye skirt urefu wa wastani kama kwenye goti ama chini yake kidogo kulingana naumbo lake, haija mbana kumnyima uhuru hua wananivutia sanaaaaa! Suruali ni more casual haswa majins haya cha kwanza naona ni msela tu, yaani ile picha yakike huchelewa kwa secs kufika.
Wanaovaa skirt wamekamilika kila idara, wavaa suruali wako na figure tu ila wamenyimwa vingine vingi.
mzabzab kuna ukweli kwenye assumption yako, lakini sio kwa wote, wengine ni mapenzi yao tu na fashion ...wana miguu mizuri sana lakini wanapenda kuvaa suruali!
mie mwanamke akivaa suruali my first asumption ni kwamba hana miguu mizuri....mwanamke yoyote yule mwenye miguu mizuri atapendelea kuvaa skirt.
also lazima kiwe na tofauti bwana sasa mke na mume wote trouser ndio nini....vaa kama queen bwana ndio unakuwa mwanamke wa kweli.