Ladies Understand your MAMA MKWE..... Its worth it!!!

Wanaume wa kibongo ukivaa sketi wanakutongoza hovyo hadi kero mie most of the time navaa trouser tena zakupwaya usumbufu unapungua ila cku nikivaa sketi natongozwa hadi na mfagizi its so boring
 
Kama huyu..?! Mrembo.jpg
 
Wanaume wa kibongo ukivaa sketi wanakutongoza hovyo hadi kero mie most of the time navaa trouser tena zakupwaya usumbufu unapungua ila cku nikivaa sketi natongozwa hadi na mfagizi its so boring

mhm sasa unatongwazwa becoz unaoneka u comform to wat we men feel a woman should idealy be dressed.
 
Ila kuna wavaa suruali wengine mkafikia muafaka akawa wako siku anaiondoa jeans unamwona kama mpya maana guu guu na linavutia kinoma kwani ulizoea kuliona paja na miguu likiwa limefichwa, na hata sketi isiwe zile fupi sana maana mwili wa bidada unauzoea hata kabla ya tukio. All in all inapendeza kama occassionaly unachanganya kiana si mbaya hata mara moja kwa mwezi mtu akapiga sketi
 
No wanakuwa wanaiona miguu yangu mizuri na figa matata hivyo wananitamani kingono so kuwazima wakware sketi sivai mara kwa mara
mhm sasa unatongwazwa becoz unaoneka u comform to wat we men feel a woman should idealy be dressed.
 
Wanaume wa kibongo ukivaa sketi wanakutongoza hovyo hadi kero mie most of the time navaa trouser tena zakupwaya usumbufu unapungua ila cku nikivaa sketi natongozwa hadi na mfagizi its so boring

ama kweli ukivaa suruali unapoteza mvuto.

Ukivaa sketi unaonyesha urembo wako.
Kubali sketi ni slaa nzuri kwa mwanamke!
 
Wote ni ushamba tu wa men wa kibongo binti kuvaa sketi haimaanishi ndo mke mwema,ila ndo malezi walopewa wanaume hawa kuwa mke ni sketi kufua kupika kupiga deki kuzaa na kulea watoto kama mama zao walivyofanya wamesahau hii ni 21 century
 
Anayetaka kutongozwa na kina idawa , mzabzab et al yes ni silaha kwake
ama kweli ukivaa suruali unapoteza mvuto.

Ukivaa sketi unaonyesha urembo wako.
Kubali sketi ni slaa nzuri kwa mwanamke!
 
Wote ni ushamba tu wa men wa kibongo binti kuvaa sketi haimaanishi ndo mke mwema,ila ndo malezi walopewa wanaume hawa kuwa mke ni sketi kufua kupika kupiga deki kuzaa na kulea watoto kama mama zao walivyofanya wamesahau hii ni 21 century

mhm interesting....so 21st mini skirt skin tut watongozwe wauze papuchi wagegedwe alafu watupwe?
 
sketi zina mvuto wake jamani mi nilimpenda mke wangu kwa sket alizokuw anapiga akitupia.na suti nilipagawa sikuitamani tena suruali maana mguu wa bia na sketi vinakwenda sambamba. mbona nilitangaza ndoa fasta...... any way kila mtu na mipigo yake,ila kwangu sketi,vitenge ndio nyumbani
 
Back
Top Bottom