cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 499
Kulikoni Cheusi?
jana ndo nimeiona hii thread,nikaisoma mwanzo hadi mwisho,nikajikuta najisikia kucheka tu kakangu!
Kulikoni Cheusi?
jana ndo nimeiona hii thread,nikaisoma mwanzo hadi mwisho,nikajikuta najisikia kucheka tu kakangu!
eeeeh mi nilikuwa wapi jamani?ndo kwanza naona leo,zifa zooote zinazo twende basi lkn utatumia sh ngapi ili nibebe kabisa pesa?
kasheshee. mi sifa zangu ntakwambia kweny sim kama utanipigia:hippie:
Baadhi ya sifa nmezitaja hapo juu na naongeza nyingine hapa.
Wanatakiwa wawe na
-Uwezo mzuri wa kujieleza
-Kujua kuandika bila makosa ya herufi
-Wajue kuzungumza Kiswahili fasaha na sanifu (Kiingereza kitafikiriwa pia)
-Wawe wenye upendo, ucheshi, na msingi mzuri wa maadili
tatizo kutokufkiria kabla ya maamuzi
Is the game stil on?
Napita tuu.
asiporudi utafanyaje? Na wewe ulishatoa ng'ombe
Nataka kuanzisha shindano la akina dada - Win a date with Ngabu. Wadau mnasemaje....