Nataka kuanzisha shindano la akina dada - Win a date with Ngabu. Wadau mnasemaje....
Ungeandika hivi; WIN A DATE WITH NYANI, nahisi it sounds kimvutio zaidi.
Hv ulipataga mshindi? Huwa naimagne nyani ngabu ulivyo nakufananisha na mzee Skip wa isidingo! Xory km utakuwa hauko ivyo!
Tahajia....kwikwikwi..... imebidi nichungulie kwenye kamusi. Asante
mabwakuuu
Kama mshindi atapata mkwanja uko juu.ila kuna harufu fulan naihis ya kutafta usuper star ukafa hata ujawai jua bati sh. Ngapi. Anyway!
Nani anatafuta usupastaa?
NN ni zaidi ya supastaa humu.
From Ngabu's vault...
Ila umeona ufukue thread yako tukusome zaidi super star!
Kuna kitu natamani kukijua saaaaaaaaaaaaana!.......... Wewe ni mwanaume wa Dar mkuu?