Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Perhaps janitorial sciences
Hiyo ingefaa sana kwen bungalow la Ikwiriri lol
Perhaps janitorial sciences
Hiyo ingefaa sana kwen bungalow la Ikwiriri lol
kaizer ushamtisha noname imebidi akapate lunch haraka
actually he need a good spank...it has to do with his hangovermuahahaha ...... i c u like to play 😀
yaani nimeshindwa hata na ki-ji-comment hapa
mmh B huko anatakiwa angalau mwenye 2.0 kwa kuanzia tu.....
noname u seem to know alot about kaizer's hangover ......au ulikuwepo alipoipata? 😀
Mmh,Kaizer kulikoni jamani?na huku tena,mi application yangu ni kwa mmoja tu haitabadilka kwenda kwa mwingine?by the way vigezo vya Nyani Ngabu ni cheap mno hivyo nisingwezena naye,anazungumzia eti GPA ya 3.0,aargh,anazungumzia mipira aargh!Lakini kubwa zaidi hili Semenya ndio bomba zaidi kwani wewe unaelewa bana,mambo ya He na She at a time..NN ataniweza kweli?
actually he need a good spank...it has to do with his hangover
Tayari mmeshaiteka mada yangu....mijitu mingine bana!
Tayari mmeshaiteka mada yangu....mijitu mingine bana!
Na wewe kinuka mkojo unajichekesha chekesha nini hapa? Umezidiwa minyege nini?
teh teh teh teh! hahahahahahahaaaaa.
Kwako wewe hata sijishughulishi kukasirika,Raha najipa mwenyewe.Ningekuwa sikufahamu labda.Kwani unatofauti gani na BWABWA wewe? na inawezekana ndio wewe.
Dah niachie hapa nisijekuwa kama wewe................Nikajishusha hadhi na heshima yangu.Kwa heri ya kuonana.
Kick rocks and die you garden utensil
Nyani Ngabu mpaka sasa bado hujapata kidate tu kweli weye hupendwi hata kidogo ...hahaha ndo maana mtaani kwako hawakuone wadada wote
eeeh!Acha kujipendekeza pendekeza wewe...unanipa "thanks" ya nini? Isokomeze huko kwenye kinuka mkojo chako
eeeh!
DUDE NAONA LEO HUJAPIGA SHOULDER KABISA