Ahaaaaa!
Si unajua tena mi slow learner?
Kwahiyo pia najuana na kina Elizaz si ndiyo? (Hapa najua huwezi nigongea kale kakitu ketu)
ah ah hata Gaijin anataka kujua...
umesoma special school ee shemeji...
Sasa kwani NN according to vigezo kila alieweza kutimiza vigezo alitakiwa apewe date au?
manake naona shindano limekuwa na vigezo vya siri tusivyovijua.....u arent playing fair NN
Duh! GPA (not below 3.0)! ishakuwa issue tayari...
Hebu niambie uko tawi lipi la Sheikh Yahya?Hata waliozaliwa Rombo mkuu ukipata ile kitu ya wadumisha mila(mbege) kiblurei huwa kinapanda sana.Nina mashaka na shemeji sahizi yupo tilalila.
ooh hivi mi na Noname tuna suala lipo kati yetu eeh mi nilikuwa slow learner (ndo maana sija PhD so far daamn):rolleyez::confused3:
This is getting treesome, I think I should like some lunch.....
kaizer .....hating doesnt suit you!...nilimaanisha suala la Noname kuwa umdokezee NN ni nani kwani?
jewel una ya 1.7 nini lol
Mie kichwa shemeji,hamtakula hasara kwenye ukoo wenu.
I hpe NN hatakasirika ofutopik kwenye sredi yaake maana naona ameshaamka sahizi.
tehe tehe tehe tehe....so it is...NN, Gaijin and......Noname......(the way I see it)
NN am just gonna do that :rolleyez:
tehe tehe tehe tehe....so it is...NN, Gaijin and......Noname......(the way I see it)
Yamekuwa hayo tena? Mie sio mfuasi wa Baba Elinyio na FetosaHebu niambie uko tawi lipi la Sheikh Yahya?
tehe tehe tehe tehe....so it is...NN, Gaijin and......Noname......(the way I see it)