Laana ya Mapenzi .....

umeongea point, i hope itamfungua mtu mmoja walau atakaepita na kusoma ujumbe wako...
ukishinda dhambi ya uzinzi unafunguliwa milango mingi sana maishani,vijana tumefungwa kwenye hii dhambi,inaturudisha nyuma financially,spiritually, upande wa mahusiano etc, I can testify to that....
huwezi kuiacha kama hujaichukia dhambi yenyewe, kama hujaikata mizizi kwa kujitenganisha na madhabau za mababu nk
ndani ya ulimwengu wa roho kuna mambo mengi sana tunajifunza kila siku
na hata tuliopata ufahamu huu ni kwa neema tu si kwamba ni wasafi, ni wakosefu pia ni kwa huruma yake tunaelewa kidogo, muhimu ni kuendelea kuomba tusianguke kwenye uzinzi
kuombea wenzi wetu watarajiwa, ndugu na marafiki pia wapate ufahamu huu....
Amen to that sis.

Hapo tumeongelea tu effects za sex kwa uchache bila kusahau laana na maagano ya tunaolala nao nazo tunazibeba pia. Bado kuna zile ahadi na viapo tunavyopeana mahaba yakiwa mahabani daaaah. Tuna soul ties nyingi sana, sometimes tunajikuta tunashindwa kumove on na mahusiano mapya, sometimes busy kupasha viporo na maex zetu hadi kuzaa nao na bado tupo ndoani hapo mmh

"Mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena". So yes its not an easy journey ila tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Utadondoka, ila nyanyuka piga hatua zaidi ya mwanzoni. Kaza mwendo mpaka mwisho uvikwe taji yako. Mungu awe nasi katika hatua zetu zote
 
Mungu anisaidie niishinde dhambi hiyo completely!

Kwa Neema yake ataniwezesha na nitaishinda.

Heaven Sent umenilisha chakula cha kiroho katika usiku huu, Endelea kuchochea Karama iliyo ndani yako your a good preacher.

brenda18 Mungu azidi kukubariki kwa hiki unachokifanya kutukumbusha tunaoenenda kinyume cha mapenzi ya Mungu.
 
. Kwa kweli Mungu akutie nguvu katika safari yako unayotaka kuianza, mtegemee yeye always, hatokuacha uaibike. Pamoja na yoooote; utafika tu
 
Amen to that sis.

Hapo tumeongelea tu effects za sex kwa uchache bila kusahau laana na maagano ya tunaolala nao nazo tunazibeba pia. Bado kuna zile ahadi na viapo tunavyopeana mahaba yakiwa mahabani daaaah. Tuna soul ties nyingi sana, sometimes tunajikuta tunashindwa kumove on na mahusiano mapya, sometimes busy kupasha viporo na maex zetu hadi kuzaa nao na bado tupo ndoani hapo mmh

"Mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena". So yes its not an easy journey ila tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Utadondoka, ila nyanyuka piga hatua zaidi ya mwanzoni. Kaza mwendo mpaka mwisho uvikwe taji yako. Mungu awe nasi katika hatua zetu zote
uploadfromtaptalk1500674397227.jpeg

hii picha ni mfano wa ndoa zetu kutokana na mahusiano ya nyuma, kila mtu anaingia akiwa na watu wake nyuma amewabeba, wote hao bado hajavunja maagano nao,lazima viporo vipashwe na maex
 
Mungu anisaidie niishinde dhambi hiyo completely!

Kwa Neema yake ataniwezesha na nitaishinda.

Heaven Sent umenilisha chakula cha kiroho katika usiku huu, Endelea kuchochea Karama iliyo ndani yako your a good preacher.

brenda18 Mungu azidi kukubariki kwa hiki unachokifanya kutukumbusha tunaoenenda kinyume cha mapenzi ya Mungu.
wote tunakosea, na tunaanguka hii dhambi ni mtego haswa, lakini Mungu wetu ni mwenye rehema, mpole na yupo tayari kutusamehe tukijutia na kutubu kwa kweli
Mungu akusaidie, hata ukianguka tena usikate tamaa, unarudi kutubu na kuomba neema ya kuishinda, hakuna mkamilifu....
 
hahah, dada mchungaji tena? nimepata neema ya kufunguliwa kidogo tu, ila sijafika level hizo mpendwa
Wahenga walinena "usibadili bura yako kwa rehani" . Hicho kidogo ulichonacho kinathamani kubwa kuliko kikubwa ambacho huna. Msitari mmoja tu wa maandiko matakatifu watosha kubadilishi maisha ya mtu kwa neema ya Muumba mbingu na ardhi
 
wote tunakosea, na tunaanguka hii dhambi ni mtego haswa, lakini Mungu wetu ni mwenye rehema, mpole na yupo tayari kutusamehe tukijutia na kutubu kwa kweli
Mungu akusaidie, hata ukianguka tena usikate tamaa, unarudi kutubu na kuomba neema ya kuishinda, hakuna mkamilifu....
Amen

Tuendelee kukumbukana katika maombi, naamini kwa wema wake na fadhili zake kwetu atatuwezesha kuzishinda dhambi hizi kwa Neema ya Mungu.
 
View attachment 547698

hii picha ni mfano wa ndoa zetu kutokana na mahusiano ya nyuma, kila mtu anaingia akiwa na watu wake nyuma amewabeba, wote hao bado hajavunja maagano nao,lazima viporo vipashwe na maex
Daah it makes a lot of sense. Imebidi niache usingizi, kuna hii comment niliiandikaga, naipaste hapa. Hiyo picha yako inaendana hivi na hii concept ya scattered soul

Kama kila mtu alizini na mtu/watu engine before huyo mke/mume wa ndoa, basi kila mmoja wenu spiritually ana ndoa na mtu mwingine huko na sio huyo aliyefunga naye ndoa (kama hawakufanya toba na kuvunja maagano yao). "Sex is becoming one in soul". Mnaishi kinyumba kwenye ulimwengu wa mwili, lakini kwenye ulimwengu wa roho, nyie si wanandoa, mlishaunganishwa na watu wengine huko. Mlishafunga ndoa na watu wengine huko before kukutana. Bila kujitenganisha na hao mliounganishwa nao before, je kuna ndoa njema kweli hapo? Ni kama watu wawili mnalazimishana kuishi pamoja. Hata wanandoa wakiachana, kisheria ndoa haitokuwepo coz divorce papers zinatolewa, but spiritually hawa watu wawili bado ni "mtu mmoja". There is no space kwa ajili ya mtu wa tatu, unless utavunja huo muunganiko, ureclaim nafsi yake then ndo ukampe mtu mwingine your free soul.

Kuna kitu pia kinaitwa "Scattered Soul". Hapo juu nilisema "when we have sex with someone we give them a part of us, and we take a part of them into us".
Wengi wetu tumeshapitia multiple relationships, na tuna vifungo vya nafsi through uzinzi Au maneno/ahadi au both. Ulikuwa na 1st girl, ulitoa 10% ya wewe kwenda kwake, ukawa na wa pili, ukampa 20% ya wewe n.k. Hadi unakuja kuoa/kuolewa ni kwamba only 40% of you ndo imebaki na wewe, nyingine yote ushaigawa kwa maex zako. As a result kwenye ndoa huwezi ukawa fully committed, wala kutoa "your all", kwa sababu ulishatoa 60%, so unayoweza kuitoa ni 40% only. Na mahusiano yanahitaji kila mtu kujitoa 100%, so you can imagine ni asilimia ngapi tunazipa ndoa zetu, na kama hizo asilimia zinatosha kufanya ndoa zetu zidumu kwa furaha. So hata mwenzi wako akikupa 100%, wewe utampa tu 40% yako. Don't be surprised ukikuta mtu anakupenda lakini unaona kabisa na inakuumiza kwamba he isn't giving you his all. Sio kosa lake, inawezekana hata yeye anawish akupe his each and everything, lakini alishavigawa vingi sana, kabaki na only 20%, hawezi kukupa zaidi ya hapo. You are simply asking for something he doesn't have, ni bureee coz hawezi kukupa asichonacho. You can imagine kwa special exs zetu sasa ( baby mommas/daddies). Majority ya hawa ni watu ambao no matter what, wana place in our hearts. So kuna % yetu wanayoondoka nayo kabisa as a result unaingia ndoani tayari ukiwa na % pungufu kwa ajili ya mwenzi wako, you cant offer him/her your 100%, then ukizembea ndo balaa litazidi sasa. ........ Yani unaweza kuta moyo wa mtu wote ushajaa, utapata space juu ya titi lake khaaa
 
Wengi wetu tumeshapitia multiple relationships, na tuna vifungo vya nafsi through uzinzi Au maneno/ahadi au both. Ulikuwa na 1st girl, ulitoa 10% ya wewe kwenda kwake, ukawa na wa pili, ukampa 20% ya wewe n.k. Hadi unakuja kuoa/kuolewa ni kwamba only 40% of you ndo imebaki na wewe, nyingine yote ushaigawa kwa maex zako. As a result kwenye ndoa huwezi ukawa fully committed, wala kutoa "your all", kwa sababu ulishatoa 60%, so unayoweza kuitoa ni 40% only. Na mahusiano yanahitaji kila mtu kujitoa 100%, so you can imagine ni asilimia ngapi tunazipa ndoa zetu, na kama hizo asilimia zinatosha kufanya ndoa zetu zidumu kwa furaha. So hata mwenzi wako akikupa 100%, wewe utampa tu 40% yako. Don't be surprised ukikuta mtu anakupenda lakini unaona kabisa na inakuumiza kwamba he isn't giving you his all. Sio kosa lake, inawezekana hata yeye anawish akupe his each and everything, lakini alishavigawa vingi sana, kabaki na only 20%, hawezi kukupa zaidi ya hapo. You are simply asking for something he doesn't have, ni bureee coz hawezi kukupa asichonacho........ Yani unaweza kuta moyo wa mtu wote ushajaa, utapata space juu ya titi lake khaaa
nimeisave hii post yako, very educative dear
asante sana ubarikiwe
 
Amen to that sis.

Hapo tumeongelea tu effects za sex kwa uchache bila kusahau laana na maagano ya tunaolala nao nazo tunazibeba pia. Bado kuna zile ahadi na viapo tunavyopeana mahaba yakiwa mahabani daaaah. Tuna soul ties nyingi sana, sometimes tunajikuta tunashindwa kumove on na mahusiano mapya, sometimes busy kupasha viporo na maex zetu hadi kuzaa nao na bado tupo ndoani hapo mmh

"Mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena". So yes its not an easy journey ila tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Utadondoka, ila nyanyuka piga hatua zaidi ya mwanzoni. Kaza mwendo mpaka mwisho uvikwe taji yako. Mungu awe nasi katika hatua zetu zote
HS unaongeleaje wale wanaotesa wenzao kwa kumtumia shetani ( madawa na ushirikina)

MTU anaona wewe ni potential anakuzunguka kichawi ili akupate? Akikupata anakubeza kila uchao na kukutumia atakavyo...

" Kwenye bible tunasema ameiteka nafsi "

Pia kwenye ndoa unakuta mwena mmoja ( wakike ) ni mwaminifu sana kwa Mungu lakini wa kiume ni kicheche anatembea na watoto wadogo na wamama kwa kwenda mbele hapo wanae aliozaa na mkewe hiyo laana itawapata???

Ndio maana mimi sipendi uzinzi kabisa.. Na I will keep my faith in this marriage hadi pale mungu atakaponiita Ee Mungu nisaidie.

Pass here plz and be blessed
C.cbrenda18

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah it makes a lot of sense. Imebidi niache usingizi, kuna hii comment niliiandikaga, naipaste hapa. Hiyo picha yako inaendana hivi na hii concept ya scattered soul

Kama kila mtu alizini na mtu/watu engine before huyo mke/mume wa ndoa, basi kila mmoja wenu spiritually ana ndoa na mtu mwingine huko na sio huyo aliyefunga naye ndoa (kama hawakufanya toba na kuvunja maagano yao). "Sex is becoming one in soul". Mnaishi kinyumba kwenye ulimwengu wa mwili, lakini kwenye ulimwengu wa roho, nyie si wanandoa, mlishaunganishwa na watu wengine huko. Mlishafunga ndoa na watu wengine huko before kukutana. Bila kujitenganisha na hao mliounganishwa nao before, je kuna ndoa njema kweli hapo? Ni kama watu wawili mnalazimishana kuishi pamoja. Hata wanandoa wakiachana, kisheria ndoa haitokuwepo coz divorce papers zinatolewa, but spiritually hawa watu wawili bado ni "mtu mmoja". There is no space kwa ajili ya mtu wa tatu, unless utavunja huo muunganiko, ureclaim nafsi yake then ndo ukampe mtu mwingine your free soul.

Kuna kitu pia kinaitwa "Scattered Soul". Hapo juu nilisema "when we have sex with someone we give them a part of us, and we take a part of them into us".
Wengi wetu tumeshapitia multiple relationships, na tuna vifungo vya nafsi through uzinzi Au maneno/ahadi au both. Ulikuwa na 1st girl, ulitoa 10% ya wewe kwenda kwake, ukawa na wa pili, ukampa 20% ya wewe n.k. Hadi unakuja kuoa/kuolewa ni kwamba only 40% of you ndo imebaki na wewe, nyingine yote ushaigawa kwa maex zako. As a result kwenye ndoa huwezi ukawa fully committed, wala kutoa "your all", kwa sababu ulishatoa 60%, so unayoweza kuitoa ni 40% only. Na mahusiano yanahitaji kila mtu kujitoa 100%, so you can imagine ni asilimia ngapi tunazipa ndoa zetu, na kama hizo asilimia zinatosha kufanya ndoa zetu zidumu kwa furaha. So hata mwenzi wako akikupa 100%, wewe utampa tu 40% yako. Don't be surprised ukikuta mtu anakupenda lakini unaona kabisa na inakuumiza kwamba he isn't giving you his all. Sio kosa lake, inawezekana hata yeye anawish akupe his each and everything, lakini alishavigawa vingi sana, kabaki na only 20%, hawezi kukupa zaidi ya hapo. You are simply asking for something he doesn't have, ni bureee coz hawezi kukupa asichonacho. You can imagine kwa special exs zetu sasa ( baby mommas/daddies). Majority ya hawa ni watu ambao no matter what, wana place in our hearts. So kuna % yetu wanayoondoka nayo kabisa as a result unaingia ndoani tayari ukiwa na % pungufu kwa ajili ya mwenzi wako, you cant offer him/her your 100%, then ukizembea ndo balaa litazidi sasa. ........ Yani unaweza kuta moyo wa mtu wote ushajaa, utapata space juu ya titi lake khaaa
Kwa kizazi cha leo unaingiaje ndoani bila kufanya "pilot test"? Sis darling is it possible? Najua tunabeba uchafu mwingi kiroho, lakini kwa generation hii, utaolewa vipi bila kumjua mtu wako?

I need an answer, labda nilibugi, itakuwa faida kwa wengi hili nalo likapata ufumbuzi
 
Back
Top Bottom