Laana ya Mapenzi .....

Laana ya Mapenzi .....

Kasie umeibariki mno siku yangu hii.

Ahsante sana, nimejifunza na daima huwa nawaombea watoto wangu Mungu awaepushe na laana zilitokana na matengo yangu niliyoyafanya kwa kujua ama kutokujua..!

Amina!

You guy's!

espy umedosha chozi langu, umenifanya niyawazie mambo kadha Wa kadha.

Aww!, you'll be fine, so long as una moyo wa kupondeka.
 
Back
Top Bottom