Laana ya Mapenzi .....

Laana ya Mapenzi .....

Yes inawezekana. Alikuwa na multiple relationships then akatambua makosa yake na kuamua kutubu na kuamua kuishi bila uzinzi. Wewe ni nani hata umjudge? Unawaza kibinadamu then unaiwekea ugumu kwakuwa tu ulishafanya hapo kabla basi unaona ni sawa tu kuendelea kufanya(SI SAWA). Usiwe comfortable katika dhambi, Mungu wetu ni muaminifu.

Mungu anatambua sisi ni dhaifu na tunaanguka, ndio maana kuna toba na msamaha. Usiwe sababu ya kumrudisha nyuma kiimani kwakuwa tu wewe bado uzinzi kwako ni dhambi pendwa. Inawezekana ukiamua na ukimtumainia Mungu.
I'm fine thank you ma. Unanibarikiiiiiiiii....
Marahabaa dota, how are you?
 
Haha hapo nilimpa pasi Bonny ili mabeki wasinikabe tena... then nikipewa pasi ya counter

Natoboa nyavu.

Ni mapema mno bado chama kinahitaji mchango wangu mzee mwenzangu
Haha haha we jamaa una vituko sana, umenifanya nicheke eti "nikipewa pasi ya counter natoboa nyavu".
 
Haha hapo nilimpa pasi Bonny ili mabeki wasinikabe tena... then nikipewa pasi ya counter

Natoboa nyavu.

Ni mapema mno bado chama kinahitaji mchango wangu mzee mwenzangu
Unakiuka ilani ya uchaguzi ya chama
 
Hii kitu itakua kweli.. Ila kwa sisi wakristu tunas mini kwamba watoto wanazaliwa na dhambi ya asili na tukiwabatiza wanakua wapya.. Hii imekaaje? Au laana haifutiki kiivo
 
Hii kitu itakua kweli.. Ila kwa sisi wakristu tunas mini kwamba watoto wanazaliwa na dhambi ya asili na tukiwabatiza wanakua wapya.. Hii imekaaje? Au laana haifutiki kiivo
Hamna kitu kama laana kwa mtoto. Imani yako itakuponya...
 
Back
Top Bottom