Laana ya Mapenzi .....

Laana ya Mapenzi .....

Kwa kizazi cha leo unaingiaje ndoani bila kufanya "pilot test"? Sis darling is it possible? Najua tunabeba uchafu mwingi kiroho, lakini kwa generation hii, utaolewa vipi bila kumjua mtu wako?

I need an answer, labda nilibugi, itakuwa faida kwa wengi hili nalo likapata ufumbuzi[emoji12]
Uzuri kwa Mungu kuna njia mbili tu, Njia ya Uzima na njia ya Mauti. So choice inabaki kwako kuchagua njia ipi utakayoiendea. Na uzuri unajua kabisa mwisho wako utakuwaje kutokana na choice yako. Ingawa bado tuna neema ya kuanza tena, but kipi ni bora ujenge msingi then usimamishe nyumba yako; au ujenge nyumba, then uje uibomoe afu uanze kujenga upya msingi then ndo nyumba isimame? (Sijui kama ka mfano kangu kanafit) Prevention Vs Cure kind of a thing

Kusema kuwa ndoa bila pilot test haiwezekani, ni kwa sababu wewe binafsi ndo umeona kuwa haiwezekani (Unfortunately wengi wetu ndivyo yunavyoamini na tuna sababu nyingi tu za kujustify hilo). "Aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo". Brod darling wewe ni mmoja kati ya wanaume wachache ambao mnaamini katika kuwa faithful kwenye ndoa, na unaliishi hilo, right? Kuanzia nafsini uliliona hilo kuwa linawezekana, kwa hiyo ukiamini jambo haliwezekani, hutoliweza kweli. Ukiamini unaweza obviously Utatafuta means za kukusustain hadi ufanikiwe + neema ya Mungu yatosha. Wapo kabisa watu ambao they love, fear and honor God too much to the extent kwamba they are willing to sacrifice temporal gratification for long term sustainability. It's not easy though, but it's worth it all
 
Kuwa faithful kwenye ndoa na kufanya pilot test kabla ya ndoa ni tofauti. Kila kitu ni choice kama ulivyosema, lakini kwa nini niishi kwa majuto(kama sikupima kina), wakati I know I can test and live happily married.

Dunia imeharibika sis, nasubirije na mtu ninayejua has had multiple relationships? Nadhani waliojitahidi(kwa neema ya Mungu) na kujitunza Me/Ke hao ndio wasubiriane ili honeymoon yao iwe full of purity, sisi tulishabeba laana so hatuna cha kupoteza, what I insist is, kuwa waaminifu ndani ya ndoa, kuchepuka ni kuongeza zile laana tulizozisemea.

I might be wrong, lakini binafsi ndivyo ninavyoamini.
 
Mama Mchungajiiiiii, I don't touch you ooooh

At times huwa naona ni better mtu aniumize kuliko mimi kumuumiza. It hurts though, but been there and God brought me through it. And the good thing ni kuwa nimejifunza kusamehe hata bila mtu kuniomba msamaha. Then kiroho safi tu huwa nashukuru "Thank you for the party", no hard feelings; no regrets. Kuna watu wanaumia haswaa, wanaishi na uchungu haswa maisha yao yanaharibika completely because someone has hurt them, so huwa nawaza hivi maisha ya mtu ndo yaharibike kwa ajili yangu? It shall never be my option aisee. I ain't strong, but the Grace of God suffices me. So huwa nawaza huyu mtu nikimuumiza, will he pass trough it? Atanisamehe easily as I do? Above all, will I be able to forgive myself.? Sometimes shetani anatutesa sana kupitia makosa yetu ya past, unaishi kwa "kujihukumu sana" kwa kuwa ulimtendea mtu vibaya, muda wote anakuwa busy kukushtaki na utaishi maisha ya tabu mnoo. So better tu waniumizage, though not to that extent lol, I don't consent that no more

Kuna kitu ulikiongea kule juu kuhusu uzinzi and ndo kitu kikubwa sana Kinachotesa Ndoa zetu za sasa hivi. Ooh ndoa za siku hizi blah blah, but chanzo ni sisi wenyewe. Teh we are doing it for fun, and tukifika ndoani ile starehe ndo inaanza kutuplay sasa na yenyewe. Tumeshahalalisha uzinzi, kuzaa bila ndoa and still tunajustify makosa yetu, as a result laana hizo zinaendelea kutufuata tu. Several times tunaongeleaga kuhusu misingi ya mahusiano yetu, tunaijenga kwenye vitu gani au kwa nani? Mahusiano yetu mengi tumeshayajengea madhabahu za uzinzi, tumeweka nazo maagano ambayo yataambatana na vizazi vyetu. No wonder uasherati kwenye ndoa unakuwa kitu cha kawaida tu just like sex before marriage. Familia za "kwa baba tupo kadhaa, kwa mama tupo kadhaa zinazidi kuwa nyingi, unfortunately na watoto wetu wanafuata nyayo zetu, siku hizi watoto wakifika tu chuoni basi wanagraduate na watoto juu. Tunaona kitu cha kawaida but deep down hii ni shida kubwa sana. Single parenting ndo inakua hatari, na watoto wetu wanafuata mule mule.

Yes hakuna dhambi ndogo na kubwa ila uzinzi ni special case, madhara yake ni makubwa sana tofauti na tunavyoyaona katika ulimwengu wa macho. Before kuanza mahusiano mapya/Ndoa kila mtu afanye toba, kuvunja hizo madhabahu na maagano na kujitakasa na kuziweka wakfu ndoa zetu. Otherwise tunachofanya ni kwamba kila mtu anatoka na garbages zake from mahusiano ya nyuma then tunaziunganisha, tukitoa hapo ni bomu. Kuna soul ties kibao zinatufunga huko nyuma, tulishaolewa na kuolewa kitambo, ndoani we can't offer anything. Ingawa katika yote pia tunahitaji neema ya Mungu katika ndoa zetu. Mungu na atusaidie

(Mmh mjigazeti huu khaa)
Ninavyopenda magazeti yako sasa natamani uwe unayachapisha daily, thanks for this.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kuwa faithful kwenye ndoa na kufanya pilot test kabla ya ndoa ni tofauti. Kila kitu ni choice kama ulivyosema, lakini kwa nini niishi kwa majuto(kama sikupima kina), wakati I know I can test and live happily married.

Dunia imeharibika sis, nasubirije na mtu ninayejua has had multiple relationships? Nadhani waliojitahidi(kwa neema ya Mungu) na kujitunza Me/Ke hao ndio wasubiriane ili honeymoon yao iwe full of purity, sisi tulishabeba laana so hatuna cha kupoteza, what I insist is, kuwa waaminifu ndani ya ndoa, kuchepuka ni kuongeza zile laana tulizozisemea.

I might be wrong, lakini binafsi ndivyo ninavyoamini.

Mfano wa kuwa faithful na kutest niliutoa tu kumaanisha kuwa zote hizo ni choices. Ndo maana japo wewe unaona kuwa faithful ni easy lakini trust me ni wachache wanaoona kuwa ni rahisi.

Kwani tunachotest ni kipi haswa? Na huwa tunatest siku moja na kuacha tukiridhika au tunainvest kabisa kwenye sex? Teh watu tunatest sijui tuna-have fun, tunaanza kuishi pamoja hadi tunazaa na watoto then ndo tunagundua "hatuendani" mweeh. Shukuru Mungu hukuishia kumuoa mtu usiyemuhitaji for the sake of your child. Aisee watu wana majeraha yasiyopona. We can't deny effects za uzinzi kwenye ndoa zetu

Kwamba kwa sababu umeshaharibu basi ni bora uendelee kuharibu zaidi? Still the choice lies in your hands, ila Mungu anajua kuwa watoto wake huwa tunaanguka, ndio maana akaweka TOBA. Ni free tu kwa mtu yeyote anayetaka kuanza upya, ni yeye tu kuchagua. Dhambi ikishakomaa huzaa mauti na ndo wengi maana wengi japo tumeshaharibu basi tunatafuta justification ya kuendelea kuharibu. Ooh what if nikifika ndoani nikakutana na blah blah blah. Wahenga wetu walioana bila hata kutest na cases za kina mandingo, vibamia na mabwawa sidhani kama zilikuwepo. Na ni kweli wengine wanatumia no sex before marriage as an excuse kuficha mabalaa yao. Ila tungekuwa na hofu ya Mungu, haya yote yasingetokea. So far mkifanya kwa dhati yenu kabisa, naamini Mungu hawezi kuwaaibisha

Kwa upande wangu mtu ambaye "been there done that", upo kwenye position nzuri zaidi ya kukataa uharibifu kwa sababu unakuwa ni shuhuda how sex imedestroy maisha yako, so unakataa uharibifu na kuanza upya. Kusema uendelee kufanya ilhali unajua what you are putting yourself into ni choice tu. Na ni sawa tu kwa sababu wewe binafsi ndo utakayesuffer consequences za choice yako.

So brod darlin, it is what it is
 
Amen to that sis.

Hapo tumeongelea tu effects za sex kwa uchache bila kusahau laana na maagano ya tunaolala nao nazo tunazibeba pia. Bado kuna zile ahadi na viapo tunavyopeana mahaba yakiwa mahabani daaaah. Tuna soul ties nyingi sana, sometimes tunajikuta tunashindwa kumove on na mahusiano mapya, sometimes busy kupasha viporo na maex zetu hadi kuzaa nao na bado tupo ndoani hapo mmh

"Mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena". So yes its not an easy journey ila tunayaweza yote katika yeye atutiaye nguvu. Utadondoka, ila nyanyuka piga hatua zaidi ya mwanzoni. Kaza mwendo mpaka mwisho uvikwe taji yako. Mungu awe nasi katika hatua zetu zote

Hapo danger zone twafwa mweh!..
 
Kuwa faithful kwenye ndoa na kufanya pilot test kabla ya ndoa ni tofauti. Kila kitu ni choice kama ulivyosema, lakini kwa nini niishi kwa majuto(kama sikupima kina), wakati I know I can test and live happily married.

Dunia imeharibika sis, nasubirije na mtu ninayejua has had multiple relationships? Nadhani waliojitahidi(kwa neema ya Mungu) na kujitunza Me/Ke hao ndio wasubiriane ili honeymoon yao iwe full of purity, sisi tulishabeba laana so hatuna cha kupoteza, what I insist is, kuwa waaminifu ndani ya ndoa, kuchepuka ni kuongeza zile laana tulizozisemea.

I might be wrong, lakini binafsi ndivyo ninavyoamini.
Eli79 its all in yo mind, kama ambavyo unasema, kuwa faithfull ni rahisi ni kwakuwa umeamua kuichukulia hivyo, kuna ambao hawaamini katka hilo. Inawezekana kabisaa maana Mungu wetu ni muaminifu, atakupa sawasawa na unavyostahili. Tunapofanya dhambi huwa kuna maneno tunajiambia ya kujipa moyo lakini ndani ya nafsi zetu tunajua kabisaaa kuwa sio sahihi.

Kujaribu ni kumthibitishia kuwa haumuamini hivyo unajua zaidi yake. Yaani wewe unajua kilicho bora kwako kuliko yeye aliyekuumba. Ukimuomba na kumuamini atakupa sawasawa na hitaji la moyo wako. Ukimuomba samaki hakika atakupa samaki.

Dunia imeharibika lakini ni sisi binadamu ndio tumeiharibu kwa kuamua kumchagua shetani na kuacha fungu lililojema, hivyo ni sisi sisi ndio wa kuitengeneza tukimtumainia yeye aliye mkuu(MUNGU).

Sasa ukigundua umeharibu ,je unaendelea kuharibu au unaamua kutengeneza? Yawezekana mwanzo haukuwa mzuri lakini unapogundua ulipokosea unaamua kutubu na kuanza upya na kuuomba mwisho mwema. Msamaha upo kwa wanaotambua makosa yao na kutubu.
 
Shikamoo momma
 
espy I know it's not right, I know sex before marriage is wrong and is a sinful act before God. But, tena big BUT, hilo inabidi niliweke kwenye zile "brackets" ambazo huwa tuajihalalishia huku tukijua kwa hakika ni wrong.

Hivi, imagine unakutana na mtu anakuambia kabisa I had several relationships, then anakuambia mkubaliane "no sex till marriage". Hivi inaingia akilini kweli? Well, to each his own!

I only urge people to remain faithful to their partners.
 
espy

You can't do this thing kwa kumlazimisha mtu. Itakuwa successful kama mnakutana wote wawili mlishaona umuhimu wa kubadili njia zenu, so deep down mtu amefanya uamuzi wake mwenyewe so anajua ni nini anakitaka/anakifanya and how to go through it. Otherwise mtaishia tu kudanganyana. Mtu asifanye kwa sababu he/she wants to keep you akishakupata ujiandae tu kisaikolojia teh; Mtu na aamue kufanya mwenyewe moyoni mwake, and if he /she does that to honor God, then inakuwa salama zaidi.
 
Yes inawezekana. Alikuwa na multiple relationships then akatambua makosa yake na kuamua kutubu na kuamua kuishi bila uzinzi. Wewe ni nani hata umjudge? Unawaza kibinadamu then unaiwekea ugumu kwakuwa tu ulishafanya hapo kabla basi unaona ni sawa tu kuendelea kufanya(SI SAWA). Usiwe comfortable katika dhambi, Mungu wetu ni muaminifu.

Mungu anatambua sisi ni dhaifu na tunaanguka, ndio maana kuna toba na msamaha. Usiwe sababu ya kumrudisha nyuma kiimani kwakuwa tu wewe bado uzinzi kwako ni dhambi pendwa. Inawezekana ukiamua na ukimtumainia Mungu.
 
You can't do this thing kwa kumlazimisha mtu. Itakuwa successful kama mnakutana wote wawili mlishaona umuhimu wa kubadili njia zenu, so deep down mtu amefanya uamuzi wake mwenyewe so anajua ni nini anakitaka/anakifanya and how to go through it. Otherwise mtaishia tu kudanganyana. Mtu asifanye kwa sababu he/she wants to keep you akishakupata ujiandae tu kisaikolojia teh; Mtu na aamue kufanya mwenyewe moyoni mwake, and if he /she does that to honor God, then inakuwa salama zaidi.
Na ni ngumu mno kukutana na mtu ambaye atakuwa na fikra sawawna zako, hasa kwenye mahusiano. It's either utampa ideas zako, akatae au akubali ila mostly inakuwa kukubali ili kukufurahisha, at the end ndio mitafaruku katika mapenzi haiishi.
 
Amen!! Fanya kwaajili ya Mungu. Ukiona hauwezi then just let him/her go muache aliyeamua kumfuata Mungu aendelee, usiwe sababu ya kumkatisha tamaa. Na usikubali kukatishwa tamaa pale unapoamua kufuata fungu lililojema maana binadamu watasema mengi, subiri Mungu akupe wa kufanana nawe. Yeye ndio aliyeumba na ndie anayejua lililojema kwako. Ukiwa na mashaka nae basi mashaka yako ndio anguko lako.
 
Na ukiona mna tofauti nyingiiiii zinazoleta mitafaruku basi hiyo ni bonge la red flag, usiipuuze.
 
Amen!! Fanya kwaajili ya Mungu. Ukiona hauwezi then just let him/her go muache aliyeamua kumfuata Mungu aendelee, usiwe sababu ya kumkatisha tamaa. Na usikubali kukatishwa tamaa pale unapoamua kufuata fungu lililojema maana binadamu watasema mengi, subiri Mungu akupe wa kufanana nawe. Yeye ndio aliyeumba na ndie anayejua lililojema kwako. Ukiwa na mashaka nae basi mashaka yako ndio anguko lako.
How do you let go of someone you love? Easier said than done! Hebu weka uhalisia espy, is that so easy??
 
Amen!! Fanya kwaajili ya Mungu. Ukiona hauwezi then just let him/her go muache aliyeamua kumfuata Mungu aendelee, usiwe sababu ya kumkatisha tamaa. Na usikubali kukatishwa tamaa pale unapoamua kufuata fungu lililojema maana binadamu watasema mengi, subiri Mungu akupe wa kufanana nawe. Yeye ndio aliyeumba na ndie anayejua lililojema kwako. Ukiwa na mashaka nae basi mashaka yako ndio anguko lako.
Can i get an Amen? ???
 
Back
Top Bottom