Laana kuu Ubungo mataa!

Laana kuu Ubungo mataa!

Tuko pazuri
63CF0994-23CC-485B-B461-00B634D34858.jpeg
 
Update: 09/09/2020. Naona Punde si punde flyover itakamilika, hongereni waTanzania
 
Kutatatua foleni Dar ni rahisi sana wala hakuhitaji kupoteza fedha kujenga Midaraja mikuubwa, ni kuhakikisha tu kila halmashauri br. zake zote zinapitika, siyo lazima waweke lami hata wahakikishe tu kila baada ya Miezi 3 zinapigwa greda, hilo litapunguza foleni kwa zaidi ya 1/3 na kwa gharama ndogo sana, unafikiri kwa nini Oysterbay hamna foleni? Ni kwa sababu Serikali wamejenga br. zote na zinapitika hivyo kuna njia nyingi sana, kwa hiyo walipaswa wafanye kama Oysterbay kupitisha greda tu br. za Mitaani kunatosha sana tu!

Unaweza kuwa na mashiko kwenye hili ..lakini foleni jijini inasababu nyingine nyingi na kubwa pia.

1) Viungo kati ya city centre na the rest of Dar ni madaraja 4 tu.. Salenda, Jangwani, Buguruni, Pugu road ulivuka mataa ya Chang'ombe, na bandari kuja water front. Asilimia 80-90 lazima tupite kwenye maungio hayo. Ili kupunguza foleni A.Mwinyi Road ongeza lango(Daraja jipya la Salenda.. litasaidia magari ya kuanzia jangwani beach, kawe, mikocheni, msasani na Masaki kufika mjini soothily.

2) Ni concentration ya huduma muhimu.. katikati ya Jiji. Uelekeo wa wakazi wa daresalaam ni posta asubuhi na kwingineko jioni. Ukiwa na watu milioni tano plus na hata asilimia 10 tu waelekee posta unakuwa na watu laki tano wanaotakiwa wapite kwenye mageti(madaraja matano tu.. 🙂 )Kutatua hili serikali imeanza kujenga new CBD .. Morocco-Mwenge-Ubungo and Tandika. Lengo watu wasije mjini wote. Pia halmshauri mpya za ubungo na kigamboni zitapunguza utegemezi wa shughuli za kiserikali mjini.

3) major roads hapa mjini ni Pugu, Bagamoyo, Morogoro na Kilwa.. hizi zinakusanya the rest of Dar and Tanzania na kuziunganisha na Kitovu cha jiji.. kupunguza stress katika makutano yake na barabara za mzunguko unahitaji kuondoa watu kusubiriana .. kuhakikisha smooth flow of people and goods. Maximize people productivity kwa kupunguza time waste.

Kwenye hili tunahitaji madaraja haya kwa wingi tu.. mwenge, Ubungo (tayari), Tazara(Tayari),nk

Muhimu: hata hivyo hasara inayotokana na foleni ni kubwa, upotevu wa mafuta, upotevu wa muda wa uzalishaji.. na hasara yake iko kwenye mamia ya mabilioni kwa mwaka.

Barabara za vumbi zina shida yake.. uharibifu wa mazingira.. ambayo in turn inaathiri afya za wakazi na mali zao. Na yote hiyo ni hasara pia.

Masaki hakuna foleni kwa sababu watanzania wengi hawana sababu ya kwenda huko.. na sio kwa sababu barabara zake zote zina lami tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu kwanini wanakimbia nchi yao? Wana mradi wa reli ya SGR mkubwa kuliko yote barani Afrika. Wana mradi mkubwa wa umeme. Picha ya chini ni moja ya flyover zilizopo mjini Adis Ababa. Wana shirika kubwa la ndege kuliko mashirika mengi barani Afrika. Haka ka 'airbus' kamoja tunakojivunia nako, wao wanazo 45, achilia mbali utitiri wa Boeing, Bombadier na ATR.

Wana mradi mkubwa wa umeme uitwao GRHEP ambao unazalisha karibu megawati 9,000. Mradi huo ni mkubwa karibu mara 5 ya mradi wetu tunaojisifia nao wa "Stiglers gorge" ambao utazalisha megawati 2,000 ukikamilika. Ethiopia wa kwao ni 9,000MW. Wana viwanja vya ndege vya kisasa.

Lakini kila siku watu wanatoroka nchini kwao kukimbilia ughaibuni. Wanasafirishwa kwa magari ya mizigo. Wengine wanazamishwa kwenye magunia ya pumba vichwa tu vinatokeza nje. Wengine wanasafirishwa pamoja na mifugo.

Lakini kwanini mtu aache barabara za lami, flyover, madaraja, viwanja vizuri vya ndege, na akimbilie nje ya nchi na kukubali kusafirishwa pamoja na mifugo? Jibu ni kwamba MAENDELEO YA VITU hayawezi kuwa muhimu kuliko MAENDELEO YA WATU.

Ukijenga Flyover wakati mama anakufa kwa kukosa dawa hospitalini means umethamini vitu kuliko watu. Ukijenga Terminal viwanja vya ndege hadi kijijini kwako wakati vijana hawana ajira na umezuia serikali kuajiri means unathamini vitu kuliko watu.

Ukijenga bwawa la umeme wakati hujapandisha mishahara ya watumishi kwa miaka mitano means unathamini vitu kuliko watu. Ukijenga reli wakati wakulima wa korosho na mbaazi wanahangaika kupata soko means unathanini vitu kuliko watu.

Sijasema tusijenge reli, wala flyover. Tujenge lakini tuwe na vipaumbele. Kuna faida gani kujenga reli kama kuna mama kule Namtumbo anakufa kwa kukosa dawa ya bei rahisi tu? Kuna faida gani kununua ndege kama kuna watu wanakunywa maji machafu ambayo wanayatafuta kilomita 20 kutoka walipo?

Ni baba mpumbavu pekee anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu.
*Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!*
 
Ukikosa umeme utaagiza dawa Kenya na India maana hutokuwa na viwanda.

Ukizipata dawa zitakawia kufika zinakokwenda kwa sababu miundombinu sio rafiki.

Ukikosa miundombinu mazao ya huyu mama yatashindwa kufika sokoni.. yataoza au hatopata kipato.

Chakula kikizalishwa ila kikashindwa kusambazwa wagonjwa wenye dawa watakufa kwa njaa.. na wazima watadhoofu na kukosa uwezo wa kuzalisha au kupambana na magonjwa..

Kwa kifupi huu mjadala ni swala la "kuku na yai" ni kazi sana kuthibitisha kipi kilianza. Kwa maana watu waliostawi wanapimwa kwa vitu.

Quality of life is measured based on things. Je Kuna huduma za hospitali!? Shule!? Masoko!? Miundombinu!?? Hauwezi kusema watu wana Maisha bora kama hawana barabara, hawana Umeme, Hawana Shule nk.

Maana ili waelimike lazima waende shule, ili waboreshe kipato lazima wauze mazao sokoni, ili wafikishe mazao sokoni lazima wawe na barabara.. na serikali ili Iboreshe huduma kama afya, elimu na usafiri lazima ikusanye kodi..

🙂

Unapoteza muda kwa watu wasio na jema. Chochote kinachofanyika wanapinga tu.
 
Kuna mdau alirecommend niangalie "The Social Dilema" that cleared all my Why's.

Nasema hivi RRONDO yawezekana katika historia ya ulimwengu hiki ndicho kipindi tumekuwa wajinga zaidi, wavivu zaidi na self-centered zaidi kuliko kipindi kingine chochote.

The dumb are being fed what they want to hear based on the Algorithms behind social media engineering.. nao wanapokea na kumeza bila kutafuna.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukikosa umeme utaagiza dawa Kenya na India maana hutokuwa na viwanda.

Ukizipata dawa zitakawia kufika zinakokwenda kwa sababu miundombinu sio rafiki.

Ukikosa miundombinu mazao ya huyu mama yatashindwa kufika sokoni.. yataoza au hatopata kipato.

Chakula kikizalishwa ila kikashindwa kusambazwa wagonjwa wenye dawa watakufa kwa njaa.. na wazima watadhoofu na kukosa uwezo wa kuzalisha au kupambana na magonjwa..

Kwa kifupi huu mjadala ni swala la "kuku na yai" ni kazi sana kuthibitisha kipi kilianza. Kwa maana watu waliostawi wanapimwa kwa vitu.

Quality of life is measured based on things. Je Kuna huduma za hospitali!? Shule!? Masoko!? Miundombinu!?? Hauwezi kusema watu wana Maisha bora kama hawana barabara, hawana Umeme, Hawana Shule nk.

Maana ili waelimike lazima waende shule, ili waboreshe kipato lazima wauze mazao sokoni, ili wafikishe mazao sokoni lazima wawe na barabara.. na serikali ili Iboreshe huduma kama afya, elimu na usafiri lazima ikusanye kodi..

🙂

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu pia tunazungumzia shule bora sio hizi ambazo hazina walimu wa kutosha hazina madawati hazina maabara na vifaa vya kufundishia watoto wanafaulu kwenda kidato cha kwanza hawajui kusoma na kuandika, sio hizi hospitali ambazo hazina dawa wala vifaa tiba, hakuna aliyesema vitu visijengwe lkn maendeleo ya watu ni muhimu zaidi

unajenga barabara lkn hakuna ajira kwa miaka 5 hizo sio akili
unajenga barabara unashindwa kupandisha moshahara watumishi wa umma na unakataa kuwapandisha madaraja kwa mujibu wa sheria
unajenga mabarabara huku unadhurumu wakulima kwa kuwakopa na kutokuwalipa kwa wakati
unajenga barabara huku unatoa mikopo ya elimu ya juu kwa upendeleo....

HIZO HAPO JUU NI AKILI MBOVU SANA
 
Nadhani hapa ndipo tunapokosa... Hakuna Serikali inaweza kuajiri watu wote.

Ni kupitia miundombinu kama hii tunaboresha biashara zetu na kusaidia kupanua wigo wa ajira huku tunapunguza utegemezi.

Naelewa frustrations za watumishi na madaraja... Lakini kama miundombinu itapunguza utegemezi mbona ni win pia kwa watumishi!? Kwa maana ndugu zetu vijijini watajikuta wanaweza kuyafikia masoko na kupunguza stress kwa watumishi.. sisemi wasiongezwe hapana lakini kama tunajibana ili kupanua wigo wa fursa za kujiajiri mbona ni swala jema pia!? Na hapo nadhani inakuwa tunawapandidha madaraja wengi zaidi wasio na nafasi kabisa.

Hizi zingine sasa nadhani ni tuhuma.. na kama zina mashiko zitapata ufumbuzi wa kisheria. Haki ya mtu hainyanganywi inacheleweshwa tu. Hayo na udhulumaji na upendeleo wa mikopo siwezi kuyasemea. Maana ni kazi kuwa na vidhibiti.

sawa mkuu....
Mkuu pia tunazungumzia shule bora sio hizi ambazo hazina walimu wa kutosha hazina madawati hazina maabara na vifaa vya kufundishia watoto wanafaulu kwenda kidato cha kwanza hawajui kusoma na kuandika, sio hizi hospitali ambazo hazina dawa wala vifaa tiba, hakuna aliyesema vitu visijengwe lkn maendeleo ya watu ni muhimu zaidi

unajenga barabara lkn hakuna ajira kwa miaka 5 hizo sio akili
unajenga barabara unashindwa kupandisha moshahara watumishi wa umma na unakataa kuwapandisha madaraja kwa mujibu wa sheria
unajenga mabarabara huku unadhurumu wakulima kwa kuwakopa na kutokuwalipa kwa wakati
unajenga barabara huku unatoa mikopo ya elimu ya juu kwa upendeleo....

HIZO HAPO JUU NI AKILI MBOVU SANA
 
Foleni inatonana na miundo mbinu kutokua na mawasiliano.

Mfano kama unakwenda Kimara foleni inaanzia ubungo Maji hadi Kimara mwisho kwa sababu barabara ya ubungo kimara haiwezi kuhimili traffic inayo pitishwa na flyover pia barabara ya kimara ubungo vituo vya mabasi na daladala vijengwe nje ya barabara na madaraja ya abiria wanaotoka mwendo kasi yajengwe kama ilivyo Kimara mwisho.
Acha uongo, nimepita hapo mida ya rush hour yaani gari zinaflow tu, hakuna foleni hata chembe
 
Foleni inatonana na miundo mbinu kutokua na mawasiliano.

Mfano kama unakwenda Kimara foleni inaanzia ubungo Maji hadi Kimara mwisho kwa sababu barabara ya ubungo kimara haiwezi kuhimili traffic inayo pitishwa na flyover pia barabara ya kimara ubungo vituo vya mabasi na daladala vijengwe nje ya barabara na madaraja ya abiria wanaotoka mwendo kasi yajengwe kama ilivyo Kimara mwisho.
Sijaliona hilo, napita hapo sana tu
 
Back
Top Bottom