Laana kuu Ubungo mataa!

Foleni inatonana na miundo mbinu kutokua na mawasiliano.

Mfano kama unakwenda Kimara foleni inaanzia ubungo Maji hadi Kimara mwisho kwa sababu barabara ya ubungo kimara haiwezi kuhimili traffic inayo pitishwa na flyover pia barabara ya kimara ubungo vituo vya mabasi na daladala vijengwe nje ya barabara na madaraja ya abiria wanaotoka mwendo kasi yajengwe kama ilivyo Kimara mwisho.
Sijaliona hilo, napita hapo sana tu
 
Back
Top Bottom