Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

Mafiningo

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
4,048
2,000
Huyo maza mwenye mask kama Subzero amevaa koti jeusi anaonekana mpigaji kwa kumcheki tu.
Mkuu kama una namba yake naiomba ili nimtafute nimuonye na hiyo tabia.

Ona alivyosimama"

20210921_205921.jpg
 
Thesis

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,417
2,000
Mbona gharama za kawaida tuu hizo?? Hahaha
Mimi pia naona ni gharama za kawaida kabisa, nawashangaa wanaoshangaa. Gharama ya ujenzi kwa kawaida hutegemea quality ya material yaliyotumika
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,715
2,000
Binafsi naweza nikasema ni sawa kwa kile kibanda cha M7 kwa sababu
Gharama za ujenzi sass ivi zipo juu mnoo
Kama una experience ya ujenzi wa sasa utaelewa tub
Hiko kibanda hata mtu ambaye hajawahi kujenga hauwezi mdanganya!

Kibanda cha futi 6x6 kijengwe kwa mil.7!
 
Thesis

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,417
2,000
Binafsi naweza nikasema ni sawa kwa kile kibanda cha M7 kwa sababu
Gharama za ujenzi sass ivi zipo juu mnoo
Kama una experience ya ujenzi wa sasa utaelewa tub
Mi pia naona ni gharama ya kawaida kabisa. Gharama za vifaa vya ujenzi zipo juu sana.
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,754
2,000
Hiko kibanda hata mtu ambaye hajawahi kujenga hauwezi mdanganya!

Kibanda cha futi 6x6 kijengwe kwa mil.7!
Mm ninacho zungumzia zaidi ni gharama za vifaa zipo juu sanaa na ukizingatia mikoa ya mbali kule cement wao wananua kwa bei ya juu kidogo mfano mkoa wa njombe kuna wilaya ya ludewa kuna project tuli execute cements ni 18000 per bag sasa embu tazama gharama ilivyo juu , gharama ya bati ndio usiguse ..ukitaka bati bora , misumari 4 inch pia usiguse 4000 per kg,
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,715
2,000
Mm ninacho zungumzia zaidi ni gharama za vifaa zipo juu sanaa na ukizingatia mikoa ya mbali kule cement wao wananua kwa bei ya juu kidogo mfano mkoa wa njombe kuna wilaya ya ludewa kuna project tuli execute cements ni 18000 per bag sasa embu tazama gharama ilivyo juu , gharama ya bati ndio usiguse ..ukitaka bati bora , misumari 4 inch pia usiguse 4000 per kg,
Mkuu nimekuelewa, ulivyoeleza kuhusu gharama kuwa juu na ujenzi kutumia wazabuni.

Lakini ukiangalia picha ya hicho kibanda lazima uishie tu kuguna"hiiiiiiii" kabla hata haujaunga hesabu za gharama halisi ya utekelezaji wake.

Hata hivyo, gharama unazosema wewe ziko juu, mfano wa saruji na misumari, mbona ni bei zitumikazo mitaani kwetu zaidi ya miaka mitatu sasa; saruji Tshs 18,500/= Dangote bag naTshs 5,000/= kilo ya misumari?

Hako kakibanda malighafi za kukajengea hazizidi 1m, sasa kama gharama za zabuni za ujenzi zitakuwa juu mara 4 zaidi ya gharama ya vifaa vya ujenzi, hii inatufunza nini.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
13,279
2,000
Wataalamu wa ujenzi, hiki Kibanda cha mlinzi ambacho Waziri mkuu amekataa kukizundua huko Kyerewa ni kweli hakiwezi kufika milioni 7?
IMG_20210922_085309.jpg
 
Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
3,710
2,000
Ulivyowasilisha itaonekana Waziri Mkuu alienda kuzindua iko kibanda ila si hivyo, Waziri Mkuu alienda kufungua jengo lote la Tanesco sio kibanda cha mlinzi pekee but hicho kibanda katika ujenzi wake kilighalimu Tsh Million 7
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
2,247
2,000
Shida ni kibanda na fence lakini majengo mengine kwa fharama hiyo ni sawa
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
13,279
2,000
Ulivyowasilisha itaonekana Waziri Mkuu alienda kuzindua iko kibanda ila si hivyo, Waziri Mkuu alienda kufungua jengo lote la Tanesco sio kibanda cha mlinzi pekee but hicho kibanda katika ujenzi wake kilighalimu Tsh Million 7
Akili yako ndogo sana kuelewa lakini ni sahihi hiko kibanda cha mlinzi kugharimu milioni 7?
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
12,152
2,000
Wataalamu wa ujenzi, hiki Kibanda cha mlinzi ambacho Waziri mkuu amekataa kukizundua huko Kyerewa ni kweli hakiwezi kufika milioni 7?
View attachment 1948112
Hiyo gharama ni ndogo mno, unajua huo msingi umeenda chini futi 12 kukipa uimara kibanda, pia hayo madirisha hayaingizi risasi yakifungwa ili Hamza akifufuka asilete shida si unajua jamaa anaenda kwenye kibanda cha mlinzi
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
13,279
2,000
Hiyo gharama ni ndogo mno, unajua huo msingi umeenda chini futi 12 kukipa uimara kibanda, pia hayo madirisha hayaingizi risasi yakifungwa ili Hamza akifufuka asilete shida si unajua jamaa anaenda kwenye kibanda cha mlinzi
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
17,019
2,000
Mimi naona inawezekana labda hiyo rangi waliyopaka wamechanganya humo na grams kadhaa za dhahabu ndio maana gharama imekuwa kubwa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom