Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,436
- 4,646
Mkuu kama una namba yake naiomba ili nimtafute nimuonye na hiyo tabia.Huyo maza mwenye mask kama Subzero amevaa koti jeusi anaonekana mpigaji kwa kumcheki tu.
Ona alivyosimama"
Mkuu kama una namba yake naiomba ili nimtafute nimuonye na hiyo tabia.Huyo maza mwenye mask kama Subzero amevaa koti jeusi anaonekana mpigaji kwa kumcheki tu.
Mimi pia naona ni gharama za kawaida kabisa, nawashangaa wanaoshangaa. Gharama ya ujenzi kwa kawaida hutegemea quality ya material yaliyotumikaMbona gharama za kawaida tuu hizo?? Hahaha
Hiko kibanda hata mtu ambaye hajawahi kujenga hauwezi mdanganya!Binafsi naweza nikasema ni sawa kwa kile kibanda cha M7 kwa sababu
Gharama za ujenzi sass ivi zipo juu mnoo
Kama una experience ya ujenzi wa sasa utaelewa tub
Mi pia naona ni gharama ya kawaida kabisa. Gharama za vifaa vya ujenzi zipo juu sana.Binafsi naweza nikasema ni sawa kwa kile kibanda cha M7 kwa sababu
Gharama za ujenzi sass ivi zipo juu mnoo
Kama una experience ya ujenzi wa sasa utaelewa tub
Huo ndio ukweli ambao wengi hawapendi kuusikiaTuweke pembeni maswala yote lakini vizuri vina gharama ifike mahala lazima tuambiane ukweli!!!
no 1 pichaMbona haujaweka kile kibanda cha million saba ?
Mm ninacho zungumzia zaidi ni gharama za vifaa zipo juu sanaa na ukizingatia mikoa ya mbali kule cement wao wananua kwa bei ya juu kidogo mfano mkoa wa njombe kuna wilaya ya ludewa kuna project tuli execute cements ni 18000 per bag sasa embu tazama gharama ilivyo juu , gharama ya bati ndio usiguse ..ukitaka bati bora , misumari 4 inch pia usiguse 4000 per kg,Hiko kibanda hata mtu ambaye hajawahi kujenga hauwezi mdanganya!
Kibanda cha futi 6x6 kijengwe kwa mil.7!
Mkuu nimekuelewa, ulivyoeleza kuhusu gharama kuwa juu na ujenzi kutumia wazabuni.Mm ninacho zungumzia zaidi ni gharama za vifaa zipo juu sanaa na ukizingatia mikoa ya mbali kule cement wao wananua kwa bei ya juu kidogo mfano mkoa wa njombe kuna wilaya ya ludewa kuna project tuli execute cements ni 18000 per bag sasa embu tazama gharama ilivyo juu , gharama ya bati ndio usiguse ..ukitaka bati bora , misumari 4 inch pia usiguse 4000 per kg,
Hapana mkuu, kwa ule ujenzi wa TANESCO keyrwa tumepigwa kila jengo, gharama zimezidishwa sanaShida ni kibanda na fence lakini majengo mengine kwa fharama hiyo ni sawa
Akili yako ndogo sana kuelewa lakini ni sahihi hiko kibanda cha mlinzi kugharimu milioni 7?Ulivyowasilisha itaonekana Waziri Mkuu alienda kuzindua iko kibanda ila si hivyo, Waziri Mkuu alienda kufungua jengo lote la Tanesco sio kibanda cha mlinzi pekee but hicho kibanda katika ujenzi wake kilighalimu Tsh Million 7
Hiyo gharama ni ndogo mno, unajua huo msingi umeenda chini futi 12 kukipa uimara kibanda, pia hayo madirisha hayaingizi risasi yakifungwa ili Hamza akifufuka asilete shida si unajua jamaa anaenda kwenye kibanda cha mlinziWataalamu wa ujenzi, hiki Kibanda cha mlinzi ambacho Waziri mkuu amekataa kukizundua huko Kyerewa ni kweli hakiwezi kufika milioni 7?
View attachment 1948112
standard ya kawaida ni sq m *500000 unapata costHapana mkuu, kwa ule ujenzi wa TANESCO keyrwa tumepigwa kila jengo, gharama zimezidishwa sana
Hiyo gharama ni ndogo mno, unajua huo msingi umeenda chini futi 12 kukipa uimara kibanda, pia hayo madirisha hayaingizi risasi yakifungwa ili Hamza akifufuka asilete shida si unajua jamaa anaenda kwenye kibanda cha mlinzi