Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

Mpuretamu

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
525
1,000
hivi walitaka kijengwe kwa shilingi ngapi?

watu kwa sensational news jamani

nchi nzima ipo policized

kibanda mil 7 sawa kabisa,kina madirisha ya aluminium na vioo kabisa na mlango wa gharama,hivyo ni mil4 kasoro

bati ya kisasa hapo juu,tofali,cement,ufundi,rangi na ndani paa ni gypsum na rangi zake

Mil 7 ni ndogo
Nyie ndio watu mnakatishaga watu tamaa wakitaka kujenga. Tofali hapo hata 300 hazifiki..acheni mentality za upigaji.
 
DocJayGroup

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
1,161
2,000
Ni kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera

View attachment 1948521
Hicho ni ft 8 kwa ft 8 kwenda juu ft 9.
Jipsa board ni 2= shs 34000
Mabati kama ni yale ya 10ft simba si zaidi ya mawili na nusu. Shs 50,000. Hayo tuseme ni shs 100,000.
Mlango na madirisha complete tufanye 700,000 tshs kwa kuwapendelea.
Rangi si zaidi ya lita 20 hizo za green na yellow. Na maji nyeupe si zaidi ya lita 60. Hapo kwa rangi nyeupe ni 120,000. Hizo za special ni 135,000.
Mbao drafting na kupaulia za pine pisi ya mita 5 ni shs 10,000. Hazizidi 100,000.
Matofali block 8ftx8ftx9ft yataingia 64 kila line. Ila kuna milango na madirisha. Si zaidi ya 600. Sawa na 600,000 tshs.
Simenti mifuko 20 inatosha = 360,000.
Jumla= 34000+100000+700000+135000+120000+100000+600000+360000. Jumla materials si zaidi ya 2 million tena kwa bei za juu za sasa.
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,876
2,000
Laki 7 inafika na kupita lets says 4M approximate but not 7.5milion
Mkuu hapana nakuja kwenye uchambuzi
1. Hako hazidi matofali 200,inch 5x5
2 , siment sio chini ya mifuko 6
3, bati na mbao za kupaua sio chin ya 200,
4 fundi wa kukijenga ,kupaua , plaster , sio juu ya laki tatu
5, hivyo vidirisga ,kuweka vigae, hazidi laki mbili, Sasa Iyo 4 m inatoka wapi? Wizi tu,
 
Gamba la Mbu

Senior Member
Jun 28, 2020
102
500

Usichukulie ujenzi wa mbwinde huko ukaleta kwenye ujenzi wa kiserikali.
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,857
2,000
Hahahahahaha. Akina Zerro wanakimbizana na ugaidi fake wanaacha magaidi wa uchumi wetu wanafurahi maisha tu. Huu ni wizi.
Wakiambiwa mfumo wetu wa uongozi una tatizo hivyo unahitajika kufumuliwa na kusukwa upya ili loopholes kama hizi zidhibitiwe, wao ''ohoo subiri tujenge uchumi kwanza''. Haya wajenge sasa. Hii movie za kiongozi kuhoji gharama za ujenzi na kujifanya kuzira tumeshaziona sana na zinaendelea kufumuka kila siku. Hawawezi kuona kuwa kuna walakini? Mwafrika ni nyani!!
 
Gamba la Mbu

Senior Member
Jun 28, 2020
102
500
Hicho ni ft 8 kwa ft 8 kwenda juu ft 9.
Jipsa board ni 2= shs 34000
Mabati kama ni yale ya 10ft simba si zaidi ya mawili na nusu. Shs 50,000. Hayo tuseme ni shs 100,000.
Mlango na madirisha complete tufanye 700,000 tshs kwa kuwapendelea.
Rangi si zaidi ya lita 20 hizo za green na yellow. Na maji nyeupe si zaidi ya lita 60. Hapo kwa rangi nyeupe ni 120,000. Hizo za special ni 135,000.
Mbao drafting na kupaulia za pine pisi ya mita 5 ni shs 10,000. Hazizidi 100,000.
Matofali block 8ftx8ftx9ft yataingia 64 kila line. Ila kuna milango na madirisha. Si zaidi ya 600. Sawa na 600,000 tshs.
Simenti mifuko 20 inatosha = 360,000.
Jumla= 34000+100000+700000+135000+120000+100000+600000+360000. Jumla materials si zaidi ya 2 million tena kwa bei za juu za sasa.
Hizo bati ni upande mmoja tu? ALAF wanauza 1m kwa Tsh. 18,000/= hadi 20,000/= kwa 10ft ni Tsh. 54,000/= hadi 60,000/=. Kwa bati 4 ni Tsh. 240,000/= bado hujapeleka Site.
 
Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,314
2,000
Hatuwezi kupinga gharama kwa kuangalia tu. Inatakiwa zifanywe tests mbalimbali. Kwa mfano
Ratio ya cement na mchanga katika ukuta na matofali kama yalitumika hayo
Ratio ya cement na mchanga katika foundation na kujua uimara wa mawe yaliyotumika.
Idadi ya mabati yaliyotumika nk. Unajua jengo huwa linahesabika.
Katika foudation waangalie imeenda chini kiasi gani nk.
Tukishajua ratios husika then ni rahisi kujua kiasi cha cement. kiasi cha mchanga na mawe yaliyotumika.
No research, no data , no right to speak.

Je hizo hospitali zinazoongelewa, wamefanya test hizo au tunaagalia ukubwa na wingi wa majengo. Nakumbuka zile nyufa za majengo fulani!
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,616
2,000
Mkuu hapana nakuja kwenye uchambuzi
1. Hako hazidi matofali 200,inch 5x5
2 , siment sio chini ya mifuko 6
3, bati na mbao za kupaua sio chin ya 200,
4 fundi wa kukijenga ,kupaua , plaster , sio juu ya laki tatu
5, hivyo vidirisga ,kuweka vigae, hazidi laki mbili, Sasa Iyo 4 m inatoka wapi? Wizi tu,
Ukipewa wewe hiyo 7.3M usimamishe jengo kama hilo kwa standard ya serikali, utashangaa sana utakavyoteseka...!

There are so many factors to consider ktk ujenzi na zote zinakula fedha..

Mathalani site ipo umbali gani toka kwenye sources of construction materials? Mfano ukimpa mtu aliye Mwanza mjini 7.3M na mwingine aliye Kagongwa Kahama hiyo 7.3M na wasimamishe jengo hilo for required standard, wa Mwanza ni rahisi kwake kuliko huyu wa Kagongwa Kahama ambako mfuko wa cement ni zaidi ya 20,000..!

Na, vipi kuhusu transportation cost ya materials hayo km mawe, kokoto nk, hali ya upatikanaji wa construction materials kwa mfano changa, maji etc..?

Je, unafahamu kuwa kuna maeneo mengine hususani huko wilayani na vijijini upatikanaji wa maji tu ni gharama kubwa kuliko akili yako inavyoweza kufikiri..?

Kumbuka huko ni Kyerwa kijijini haswa...!
 
Gamba la Mbu

Senior Member
Jun 28, 2020
102
500
Ukipewa wewe hiyo 7.3M usimamishe jengo kama hilo kwa standard ya serikali, utashangaa sana utakavyoteseka...!

There are so many factors to consider ktk ujenzi na zote zinakula fedha..

Mathali ipo ya umbali, transportation, hali ya upatikanaji wa construction materials MF. nchanga, maji etc..?

Unafahamu kuwa kuna maeneo mengine hususani huko wilayani na vijijini upatikanaji wa maji tu ni gharama kubwa kuliko akili yako inavyoweza kufikiri..?
Watu wanachukulia ujenzi kama kufanyana matusi yani. Wanajua unaingiza na kuchomoa basi. Hawajui kuna complications nyingo sana.
 
The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,616
2,000
Watu wanachukulia ujenzi kama kufanyana matusi yani. Wanajua unaingiza na kuchomoa basi. Hawajui kuna complications nyingo sana.
Hao wote ni bado wapangaji ndugu. Bado wanajua kulipa kodi za nyumba za watu, lakini hawajui mtu ana toil kiasi gani kumiliki nyumba..

Kuna rafiki yangu mwajiriwa wa kampuni moja Mwanza alikuwa na mawazo kama ya wengi humu, ya kudhani ujenzi ni ishu ndogo ya kawaida isiyohitaji misuli...

Akapiga hesabu za juu juu tu za ujenzi. Akaingia benki na kukopa kama 12M. Akaziingiza kwenye ujenzi wa nyumba ya vyumba 4 na sebule...

Nyumba ilishia kozi NNE baada ya msingi hela ikakata.. Anasubiri tena miaka minne amalize mkopo alionao sasa ili akope tena na kisha aipeleke peleke tena..

Mpaka sasa bado mpangaji..!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom