Kyerwa, Kagera: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa agoma kufungua ofisi ya TANESCO kutokana na gharama kutoendana na ujenzi uliofanyika

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,616
2,000
Mmmh, kama jengo limejengwa chini ya viwango (standard), naweza kukubaliana na wanaoshangaa jengo hili kujengwa kwa gharama ya 7.5M....

Lakini, kama limejengwa kwa viwango (standard) stahiki, itakuwa ni ujinga sana kushangaa gharama hiyo ndogo kabisa hasahasa ukizingatia gharama za ujenzi kwa sasa na kushuka kwa kasi kwa thamani ya shilingi yetu.

Na likely, wanaoshangaa ni wale ambao bado wapangaji ktk nyumba za watu wengine wakidhani ishu ya kujenga na kumiliki nyumba yako ni kama kwenda kuchota maji taka kwenye mtaro.
 

Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
12,032
2,000
Ni kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera

View attachment 1948521
hivi walitaka kijengwe kwa shilingi ngapi?

watu kwa sensational news jamani

nchi nzima ipo policized

kibanda mil 7 sawa kabisa,kina madirisha ya aluminium na vioo kabisa na mlango wa gharama,hivyo ni mil4 kasoro

bati ya kisasa hapo juu,tofali,cement,ufundi,rangi na ndani paa ni gypsum na rangi zake

Mil 7 ni ndogo
 

Chiwa

JF-Expert Member
Apr 17, 2008
3,213
2,000
Ni kibanda cha Mlinzi kwenye ofisi ya Tanesco Wilaya ya Kyerwa , Mkoani Kagera

View attachment 1948521
hivi unabisha nini? haya tupeni bei ninyi sasa!

ngoja na mimi nitafute bei kwa kweli

-kimejengwa na mkandarasi ambaya malipo yake hulipwa akiwahi sana baada ya miezi mitatu hivyo kwa mazingira hayo lazima aikopeshe serikali bei zake haziwezi kuwa sawa na kujenga vibanda vyetu vya nyumbani kumbuka kuwa huyu mtu yuko GPSA

Mabati na vifaa vya ujenzi pia vinanunuliwa kwa mkandarasi mnategemea nini.

tufanye tasmini ya kina huku mkikumbuka watoto wanatakiwa ada
 

moyes

JF-Expert Member
Aug 19, 2013
3,195
2,000
Mmmh, kama jengo limejengwa chini ya viwango (standard), naweza kukubaliana na wanaoshangaa jengo hili kujengwa kwa gharama ya 7.5M...
yaani iko chumba ki1 ndo utumie M7?
ina onesha we n mtaalam masuala ya ujenzi
tuna omba
mchanganuo wa /makadirio ya gharama za
idadi ya tofali zilizo tumika kwa ujenzi wa ako kachumba
idadi ya hizo bati za kisasa
idadi ya madirisha
idadi ya mifuko ya cement iliyo tumika
gharama za ufundi
nk nk nk
 

Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
20,727
2,000
Mkuu nimependa Sana post hii, ccm na mfumo wao wote wezi,niliona angalau waziri mkuu alikataa , KIBANDA ambacho hata laki 7 hazifiki eti m7 pumbavu kabasa
Laki 7 inafika na kupita lets says 4M approximate but not 7.5milion
 

DocJayGroup

JF-Expert Member
Jan 17, 2020
1,161
2,000
hivi walitaka kijengwe kwa shilingi ngapi?

watu kwa sensational news jamani...
Nimekuelewa. Simenti mwaka jana mwanzoni tu ililiwa shs 13,000. Ikaja fika hadi 24000. Sasa ni 18000. Gypsum zilikuwa 11,000 sasa ni 17,000. Bati, rangi, kila kitu kimepanda bei. Wakati kipato cha Mtz hakijapanda bei. Kazi ipo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom