Kwenye Uislam, Bima ni Haram kama ilivyo kamari

watu waliokubaliana tuchange hela mtu akiumwa atibiwe, nani anavuna asichostahili hapo ?
Bima ni biashara hawapo hapo Kwa makunaliano na yeyote
Bima na biashara, zinatengeneza faida na kulipa kodi
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Bima ni biashara hawapo hapo Kwa makunaliano na yeyote
Bima na biashara, zinatengeneza faida na kulipa kodi
sasa biashara ni kitu haramu?

bima ni biashara ya kukusanya watu wakubaliane kuchangishana kiasi fulani kwa kupata benefits fulani za kiafya pindi mtu anapopata changamoto za kiafya.

suala la profit, ukiniambia wewe kipindi upo ofisini kwako unachapa kazi alafu watu wa bima wawe ofisi ya bima wanashughulika na masuala ya uendeshaji wa kila siku watalipwa nini au wataendeshaje maisha yao, nitaunga mkono bima haitakiwi kua na faida
 
Biashara ya probability
Huo ni unyanyaji
Wanajua kuwa possibility ya mtu kupata majanga na kunufaika ni ndogo
Bima na kamari ni sawa
Hujanipa tofauti ya bima na gambling au betting
 
Hivi kati ya bima na kamari na uislamu ni kipi haswa ni haramu ? Sidhani kama kuna haramu zaidi ya hizo dini zenu feki
 
Biashara ya probability
Huo ni unyanyaji
Wanajua kuwa possibility ya mtu kupata majanga na kunufaika ni ndogo
Bima na kamari ni sawa
Hujanipa tofauti ya bima na gambling au betting

kila biashara mpaka inakua biashara ni probability zinahusika zinatofautiana levels.

ila msingi wao mkuu, selling price S.P > buying price B.P, hivyo profit = S.P - B.P

mkuu wewe lengo la bima unaona lina manufaa yeyote?
swali la pili lengo la kamari lina manufaa yeyote?
 
Uhausiano wa Bima na kamari

1. Kutokuwa na uhakika
Wa kupata
Yaani ingekuwa hivi unaweka pesa mwisho wa mwaka hujaumwa unarejeshewa pesa zako

2. Kupata zaidi ya usichotoa

3.wengine kupata na wengine kukosa
Hii ni kamari

4. Bima nyingi kuwekeza kwenye mifumo ya riba ambayo Haram katika uislam
 
Bima ni wizi uliorasimishwa kisheria tu

Kama bima ya Afya ni mfuko wa kusaidiana kwanini kuna matabakq VIP Sijui na nyengine

Mfano kama mimi inaweza kufika mwaka wa 8 huu sijui hospitali nilienda lini sasa kwaio miaka 8 yootee nitoe pesa yangu bureee? Wasipoilazimisha kma bima ya vyombo sikati bima
 
Uhausiano wa Bima na kamari

1. Kutokuwa na uhakika
Wa kupata
Yaani ingekuwa hivi unaweka pesa mwisho wa mwaka hujaumwa unarejeshewa pesa zako

2. Kupata zaidi ya usichotoa

3.wengine kupata na wengine kukosa
Hii ni kamari

4. Bima nyingi kuwekeza kwenye mifumo ya riba ambayo Haram katika uislam
wewe tembelea hospitali kila mwisho wa mwezi, ukishaona watu wanavyopata shida na wenye bima wanapeta , utakuja kufuta uzi.

mnapiga debe bima ikataliwe na hamsemi watu waende wapi
 
Mbona husemi watu wa bima pia wanavopata tabu
 
Basi ndo ufahamu pia kua bima ni wizi tu
bima ya hapa nchini ilianza kusua sua kwa kasi kwa tuhuma kwamba pesa zimepelekwa kwenye miradi ya nchi.
bima ya afya haina tofauti na matajiri kusaidia masikini wakati wa sikukuu
 
Wanazuoni wa kiislam, wanaelimisha kuwa ni vyema muislam kujiepusha na aina zote za Bima Aidha iwe ya afya, chombo cha moto, nyumba, biashara n. K

Bima ni gambling tu, yaani pata potea,
Kwa tafsiri ya kiislam ni kamari maana unaweza pata usichostahiri

Mfano unaweza kuweka Bima laki 5 ukatibiwa ungonjwa wa milion 5

Au ukaweka Bima na usiumwe, Kwa hiyo ukawa umekuwa pesa zako bure.

Hivo ni vyema waislam kujiepusha na madhambi makubwa ya kamari Kwa jina la Bima
Tatizo la mtu kuanzisha dini akiwa hajasoma. Hii mifumo ya kidunia haiepukiki, mikopo ya ribs hata kama utadanganya kuwa tuna benki za mfumo wa dini yetu sisi tuna share faida😃😃😃 ndio Ile Ile. riba karakabaho haibadiliki kwa luiiya jina linguine. Bima ya afya nayo haiepukiki otherwise huamini hayo madawa yenu ya kisuna nje ya nyumba zenu za ibada lakini si zinaua figo na majini yenu? hasa zile za kuongeza nguvu za zakar ili muwakomoe wanawake 4 au mna reserve ya kwenda kuwashughilikia wale 72?
 
Duuuuh 😅
 
Back
Top Bottom