Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

Hawa nyoka siyo wachokozi hata kidogo. Achana na story za watu eti wanakimbiza watu. Ndiyo, wana sumu kali ila siyo aggresive.
Mtibue uone moto wake..! Anadevelop aggressiveness kulingana majaribio ya kumuua. Mkikosea kumua akajua anawindwa ni mkorofi sana.

Mtoa mada aliysimulia yote niliwahi kuyaona hadi nikadhani anatokea kijijini kwetu ila mimj siyo muha ni mnyambo.

Iko hivi kuna mtoto wa brother yangu aliuawa na huyu mdudu, huyo nyoka alikuwa anakoswakoswa na wawindaji wa wanyama pori hasa sungura. Alikuwa anakichaka chake kwa ndani kuna kichuguu kina mashimo ya mchwa alikuwa anaishi humo. Sasa bhana ilikuwa anatokaga kuota kijua cha saa 4 hivi mchana au mchana anapanda zake juu ya mti.

Nakumbuka ilikuwa msimu wa senene watu wa bukoba, karagwe wanajua nyakati zile tunakamata senene porini kwenye majini. Kijiji kizima kilikuwa kinajuaa pale huwa kuna huyo nyoka anaitwa engambila(yaani utaniambia).

Sasa yule dogo alikuwa mbishi sana, alipoambia asikaribie kichaka akagoma kwetu wanaamini aliponyoka senene wanakuwa wengi sababu anatoa harufu fulani kuwavutia. Yule dogo akawambia penye nyoka ndipo kuna senene wengi. Kumbe yule nyoka alikuwepo around na kichaka chake anakula zake senene. Dogo ata hakufika kichani kukaribia tu, alishangaa mdudu anamtokea dogo kukimbia akapigwa mgongoni akaaunguka akadungwa kwenye mguu tena akasimama akakimbia anapiga yowe watu wakasema tulikwambia. Alivyoulizwa kama amengatwa akasema ajadungwa, kama dakika kumi akaishiwa nguvu akaanguka na kutokwa na povu akafariki mwili uligeuka ukawa mweusi ghafla. Alikuwa darasa la nne. Huyo nyoka aliua mbuzi, mbwa, ng'ombe sana.

Alikuja kuuliwa na mjomba wake na huyo dogo baada ya kukutana naye akitokea zake shamba mchana wa saa 8, alikimbizwa akaangusha koti nyoka akaanza kudunga koti akampiga na kipisi cha mti alikuwa anainuka juu kuspoti adui.

Watu walikusanyika kuja kumuona.
 
Watu walikusanyika kuja ku

Kuna siku huko langai simanjiro tunahifadhi mahindi kwenye store Sasa Kuna dogo akasema kamuona black mamba mle ndani! Nikawaambia madogo wote tukusanyike upande mmoja tufungue milango na tusogeze vitu taratibu,kweli bana alitoka kupitia dirisha kwa Kasi ya ajabu alivyoingia kwa majirani wakanyanyua majembe,mawe,miti kumuua akambusu kijana mmoja!
Sijajua kama alikufa ama vipi manake alikimbizwa hospital na Mimi nikaendelea na mbishe zangu
 
Na hasa ndicho nilichosema. Asipotibuliwa hana tabia ya kudunga watu. Huyo alishajenga uadui na binadamu.
 
Ndio alichoandika jamaa asichokozwe na Kila mtu atambe kwenye mipaka yake, Kwa kwenda tu kwenye kichuguu ambalo ndo maficho yake automatically atakudhuru maana hana option nyingine zaidi ya kukudunga tofauti kama angekuwepo kwenye kichaka kingine cha kwanza angetafuta chimbo lake Kwa kusepa faster Kwa kukimbilia hapo kichuguuni na ukijafanya kumfukuza alafu anaona kabisa ngoma nzito anakubadilikia faster alafu anasepa zake.

Na kuanzia hapo ndo atakuwa dungadunga mpaka auliwe yaani hata upite mita tatu kutoka alipo atahisi anashambuliwa anafanya tukio
 
Koboko huwa anagonga kichwani..Wazee walikuwa wanafanya hivi;
Wanachemsha Choroko na zikiwa zimeiva na za moto..zinawekwa kichwani zikiwa za moto kwa mtu mwenye ujasiri anaenda eneo alilokuwepo huyo Nyoka na kumchokoza...si atakuja kwa hasira na kumgonga mhusika kichwani...hapo atakuwa ameingiza kichwa chake kwenye chungu cha Choroko za moto na kufa.
Ila..yataka Moyo.
Choroko, uji wa ulezi au wa mchele.
Lakini hii hasa kama nyoka ameweka makazi kwenye matawi ya mti.

Kama Koboko mwenyewe anaishi kwenye miamba anaweza kukung'ata shingoni au kifuani na jungu lako la uji kichwani😂😂
Koboko anayeshambulia akiwa chini anasimama ili ang'ate, lakini siyo lazima agonge kichwani.
 
Mtibue uone moto wake..! Anadevelop aggressiveness kulingana majaribio ya kumuua. Mkikosea kumua akajua anawindwa ni mkorofi sana.

Mtoa mada aliysimulia yote niliwahi kuyaona hadi nikadhani anatokea kijijini kwetu ila mimj siyo muha ni mnyambo.

Iko hivi kuna mtoto wa brother yangu aliuawa na huyu mdudu, huyo nyoka alikuwa anakoswakoswa na wawindaji wa wanyama pori hasa sungura. Alikuwa anakichaka chake kwa ndani kuna kichuguu kina mashimo ya mchwa alikuwa anaishi humo. Sasa bhana ilikuwa anatokaga kuota kijua cha saa 4 hivi mchana au mchana anapanda zake juu ya mti.

Nakumbuka ilikuwa msimu wa senene watu wa bukoba, karagwe wanajua nyakati zile tunakamata senene porini kwenye majini. Kijiji kizima kilikuwa kinajuaa pale huwa kuna huyo nyoka anaitwa engambila(yaani utaniambia).

Sasa yule dogo alikuwa mbishi sana, alipoambia asikaribie kichaka akagoma kwetu wanaamini aliponyoka senene wanakuwa wengi sababu anatoa harufu fulani kuwavutia. Yule dogo akawambia penye nyoka ndipo kuna senene wengi. Kumbe yule nyoka alikuwepo around na kichaka chake anakula zake senene. Dogo ata hakufika kichani kukaribia tu, alishangaa mdudu anamtokea dogo kukimbia akapigwa mgongoni akaaunguka akadungwa kwenye mguu tena akasimama akakimbia anapiga yowe watu wakasema tulikwambia. Alivyoulizwa kama amengatwa akasema ajadungwa, kama dakika kumi akaishiwa nguvu akaanguka na kutokwa na povu akafariki mwili uligeuka ukawa mweusi ghafla. Alikuwa darasa la nne. Huyo nyoka aliua mbuzi, mbwa, ng'ombe sana.

Alikuja kuuliwa na mjomba wake na huyo dogo baada ya kukutana naye akitokea zake shamba mchana wa saa 8, alikimbizwa akaangusha koti nyoka akaanza kudunga koti akampiga na kipisi cha mti alikuwa anainuka juu kuspoti adui.

Watu walikusanyika kuja kumuona.
Hizi ni true story ambazo mimi mwenyewe nimeona kwa macho yangu za kusimuliwa ni nyingi t. ukweli ni kwamba huyu koboko sio wa kufanya nae masihara kabisa jiulize mtoto aliyeenda kuokota maembe hakufika kwao japo umbali huwezi tumia hata dk3 mama yake alisikia kelele ile anafika kamkuta mwane kashakufa na kukauka kabisa!
 
Choroko, uji wa ulezi au wa mchele.
Lakini hii hasa kama nyoka ameweka makazi kwenye matawi ya mti.

Kama Koboko mwenyewe anaishi kwenye miamba anaweza kukung'ata shingoni au kifuani na jungu lako la uji kichwani😂😂
Koboko anayeshambulia akiwa chini anasimama ili ang'ate, lakini siyo lazima agonge kichwani.
Watu nawashangaa sana wanaposema ubebe chungu na uji wa moto hawaoni kuwa ni kubetia maisha hii
 
Kuna siku huko langai simanjiro tunahifadhi mahindi kwenye store Sasa Kuna dogo akasema kamuona black mamba mle ndani! Nikawaambia madogo wote tukusanyike upande mmoja tufungue milango na tusogeze vitu taratibu,kweli bana alitoka kupitia dirisha kwa Kasi ya ajabu alivyoingia kwa majirani wakanyanyua majembe,mawe,miti kumuua akambusu kijana mmoja!
Sijajua kama alikufa ama vipi manake alikimbizwa hospital na Mimi nikaendelea na mbishe zangu
Nahisi jamaa alikata moto . wale ng'ombe na watoto kipindi wanapokea dose walikuwa hawachukui muda wanakufa.

iko hivi kipindi wanampiga na kumponda wale watoto kuna watu waliokuwa mbali kidogo waliwaona wao wakajua huenda wanacheza tu michezo ya kitoto hadi wanashambuliwa hawakujua.Nyoka alipoanza kushambulia ng'ombe ndo wakashituka kuna nini pale mbona ng'ombe wameanguka na watoto wamelala ndo wakaja mbio bahati nzuri kabla hata hawajafika walihisi kuna hatari wakageuza mbio huku wanapiga yowe kuomba msaada watu walikusanyika lakini bado wakasema huyu nyoka kashakasirika inahitaji ujasiri na kujitoa hasa maana tiyari alikuwa kwenye mti mwingine kasubiri tu nani aanze. walimshambulia na kumuua na sisi tukiwapo hasa alipo kufa na kusogea eneo la tukio . tukiwashuudia wenzetu wamelala na kubadirika rangi.

police walikuja na kuamru ng'ombe wazikwe na wasiliwe na mtu. lilikuwa tukio kubwa sana na la ghafla
 
Kama uliwaona koboko maana yake wapo wengi mitaa hiyo, ni nyoka flani hapendi bugudha wala kelele. Hapo kwenye mti alikuwa kwenye mawindo ya ndege na ingekuwa yupo chini msingemuona angewaepuka kwa kusikia vishindo na kelele mkiwa mbali. Mimi nafuga nyuki.
Fuga nyuki na uwe na tahadhari wakati wote kwa kuvaa mavazi ya kukinga nyuki na nyoka. Kwa kuwa kuna koboko vaa kofia ngumu kichwani, huyo nyoka ni msumbufu na anambinu sana, anaweza kukuwinda akiwa kwenye mti akagonga kichwa.

Ni nyoka bingwa wa kujificha usimuone na ni bingwa wa "camouflage" hasa akiwa wa Kijani. Anaweza tulia kwenye nyasi au kwenye mti usimuone ukapita akaendelea na shughuli zake.

Mimi nafuga nyuki, najua habari za nyoka na nyuki wenyewe. Usiogope nyoka wala nyuki ila kuwa na tahadhari. Ni kawaida kufungua mzinga kukutana na nyoka. Penye nyoka pana nyuki na penye nyuki pana nyoka. Ni wanyawa wenye "coexistence" moja na wanapendana.

Jaribu kufanya shughuli zako kama ni kufuga nyuki mitaa hiyi kwa tahadhari ila msijifanye eti mnataka kupambana na nyoka hao kuwamaliza, mtajipa kibarua kigumu na mtasanda. Mtatumia nguvu nyingi kupambana na nyoka kuliko kuzielekeza nguvu hizo kufanya shughuli za kiuchumi porini.

Nyongeza: Koboko hapigwi na fimbo wala mawe, anapotaka kukugonga akisala anakufuata huku anajinyonga nyonga kwa kasi ni ngumu kumchapa au kumpiga jiwe. Kufumba na kufumbua ushapigwa sindano kadhaa. Koboko anatupiwa shuka/blanketi ndipo zinafuata fimbo akiwa ndani ya shuka.

Mbinu za kupambana na Koboko: Beba fimbo ndefu ya kisukuma ile, beba shuka au blanketi zito wastani, ukikosa beba kikoi cha kimasai kila unapoingia pori, vaa kofia ngumu. Shuka/blanketi litakuokoa mbele ya koboko. Akisala kukufuata mtupie shuka kwa lengo la kumfukia na kumpunguzia kasi kisha mshambulie na fimbo. Ni mrefu ana mwili mkubwa, shuka huwa linamchanganya na kumfunika sehemu ya mwili au pote. Atataka kupambana na shuka akifikiri ni wewe ndipo unamshambulia kwa urahisi na fimbo au kukimbia yani toka nduki kama umeme mzee.
 
Back
Top Bottom